Pre GE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

Pre GE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!

Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA.

NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani!

Muda ni mwalimu. Tusubiri.
 
Hata Lissu alidai Hana Mpango kugombea uenyekiti, GIA ikabadilikia angani, ndege ikarudi reverse.

Tusubiri.
 
Hellow!

Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA.

NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani!

Muda ni mwalimu. Tusubiri.
Sisi wafuasi wake hatukabali. Ni lazima agombee na kushinda kwa kishindo.
 
Lema hawezi kushinda hata udiwani... Tunakataa wahuni skuizi tunataka wasomi wastaarabu wasioropoka!
Kwanza makonda atampa nafasi kivipi mfano? Yaani zuchu anajua kujieleza kuliko lema
 
Lema hawezi kushinda hata udiwani... Tunakataa wahuni skuizi tunataka wasomi wastaarabu wasioropoka!
Kwanza makonda atampa nafasi kivipi mfano? Yaani zuchu anajua kujieleza kuliko lema
Pole pole alishasema wahuni wapo chama Gani!
 
Pole pole alishasema wahuni wapo chama Gani!
Haya mahuni ya chadema nimajinga kuliko yale ya kijani!!
Leo kalema kanasema hakajajengwa Kwa kualikwa chadema? Kamesahau fadhila na hakuna busara kesho katataka kumpindua Lissu Kwa matusi yahovyo!!
Hii nchi tuna mavijana hayafikirii yanakariri tuu na kushabikia ujinga.
Mitano yamwisho Kwa mbowe kisha akabidhi chama kistaarabu Kwa mwenye akili
 
Hili sasa Si tetesi tena.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom