bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
sijui ulipokuwa unaandika hii ulikuwa usingizini au vipi kijana wa zamani? Ati tumewatawalaje sasa, kwani Zanzibar ina uwezo wa kuchagua raisi, si huwa wanachaguliwa na nyinyi wabara au umesahau?tumewatawalaje sasa? Rais mnae wa kwenu na serikali yenu, sisi tanganyika hatuna rais pia hatuna tulichonufaika kuungana na nyinyi zaidi ya kero makerere ulalamishi na pia sisi watanganyika kupata hasara kuungana na kainchi masikini kasiko na rasilimali yoyote kenye watu wavivu kufanya kazi wenye kupenda misaada.! Sisi tuna kila kitu kuanzia madini aina zote, tuna maziwa na mito na bahari, tuna misitu na mashamba makubwa kujitosheleza, tunawatu wenye nguvu ya kufanya kazi na pia bado tuna maadili na uvumilivu wa kiimani yani mkiristo muislamu na mpagani wote wanachangamana na hakuna shida, halafu imekua vema nyie kutawala ili tuwajue rangi zenu halisi. Ili akija rais mtanganyika jambo la kwanza n kuvunja muungano na kufukuza kila mzanzibari aliyeko tanganyika ili muishi kwa misaada ya hao warabu wenu. Sasa sijui warabu washindwe kupeleka misaada palestina halafu walete zanzibar inafikirisha sana. Yote kwa yote tumewachoka bandari zetu na wanyama wetu wanatuuma sanaa!
Hiyo misitu yenu na mashamba makubwa na kila aina za madini mbona munalia njaa na bado ni moja katika nchi masikini kabisa duniani?
Hivi kabla ya muungano Zanzibar ilikuwa watu wanakufa njaa? Chuki zenu tu ndizo zinazowasumbua, hata muungano ukivunjika hakuna atakaekufa njaa Zanzibar.