OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Haters at workTajirinamba 1 ni S S Bakhresa, huyo mo ni tajiri uchwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haters at workTajirinamba 1 ni S S Bakhresa, huyo mo ni tajiri uchwara
Huo ndiyo ukweli, hata mo anajua kuwa hamfikii Bakhressa sema Bakhressa alikataa kabisa kutoa ushirikiano na taasisi zinazo chukua takwimu za utajiri wa watu akawaambia yeye hafanyi ujinga huo na hayupo kushindana wala kutangaza utajiri wake.Haters at work
Samia kimataifa anaeleweka vizuri sana. Hana roho ya kutaka kuwaona matajiri wakiishi kama viumbe vilivyotengwa na ufalme wa mbinguni.Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu wa kutazama kwa jicho la mbali, utaona kali hii ni mtaji mkubwa kwa Tanzania hasa katika kuleta uwekezaji zaidi Tanzania. Nanukuu.
"Now we have a new President, she a woman, a very very vibrant, she's doing a fantastic job, she's moving around the whole world. So-called the 'Royal Tour', we can already see the impact in terms of a huge influx of tourists bringing foreign revenues and a lot of investments coming into the country I think she's doing a fantastic job and Tanzania is ready to fly."
Kauli hii ukiisikiliza vizuri utajua tu hapa Mo amefanya jambo kubwa sana kwa Taifa lake. Sasa basi kwa nini narejelea kusema kwamba kauli ya Mo ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania?
Kauli ya Mo itarejesha imani ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa. Miaka kadha nyuma wakati wa JPM, kutokana na aina ya uongozi wake, imani ya wawekezaji ilishuka sana.
Hata kama wawekezaji walifika nchini, lakini waliwekeza fedha zao kwa woga sana kutokana na kutoeleweka kwa Serikali ya JPM aliyokuwa na maamuzi ya kushutukiza ambayo wawekezaji waliohofia pengine wangeteketeza mitaji yao. Kwa kauli ya Mo, kutokana na nafasi yake nchini Tanzania na fedha alizowekeza, ni wazi kwamba wawekezaji wa aina yake ambao Tanzania inawahitaji sana, wanaweza kuja Tanzania, kuwekeza na kuleta ajira zaidi kwa Watanzania.
Tujiulize, wakati wa Magufuli ambao Mo mwenyewe alitekwa kwa wiki kadhaa hata tusijue alikuwa wapi, mbona hakuwahi kusema popote pale kama eti, Magufuli ni Rais mzuri sana na kumpa sifa kedekede? Mnadhani Mo na ukubwa wake huko nje, na jopo la watu mashuhuri wanaojuana naye, mnadhani walifurahi yeye kupotezwa? Acha hiyo, vipi kuhusu imani zao juu ya kuja kuwekeza Tanzania, nchi ambayo mtu aina ya Mo, a million dollars rich anapotea tu kama Kuku.
Matajiri aina ya Mo wanalindwa Duniani kote. Mo ni mtu muhimu sana. Ameajiri zaidi ya watu 40,000 hapa Tanzania. Imagine afunge viwanda vyake vyote hao watu 40K Serikali itawabeba kwa mbeleko gani, kama sio kuongezeka tu kwa uhalifu. Tuseme tu Mo kwa sasa ana amani na furaha kuliko wakati wowote ule. Hiyo tu, inatosha sana kuonesha Dunia sasa Tanzania ni nchi ya aina gani, na hii ni faida kwetu kwani italeta wawekezaji zaidi na kutanua fursa za kibiashara Tanzania.
Ni wazi, hii isingewekezana bila uongozi thabiti na wenye maarifa wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Uyanga wako unakusumbua mkuu.Huo ndiyo ukweli, hata mo anajua kuwa hamfikii Bakhressa sema Bakhressa alikataa kabisa kutoa ushirikiano na taasisi zinazo chukua takwimu za utajiri wa watu akawaambia yeye hafanyi ujinga huo na hayupo kushindana wala kutangaza utajiri wake.
Mwaka huu BBC wakasema tajiri mkubwa zaidi nchini Tanzania amekataa jina lake kuwekwa wazi😂 sasa jiulize huyo mtu aliye kataa ni moo?🐄
Pigeni makofi.Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu wa kutazama kwa jicho la mbali, utaona kali hii ni mtaji mkubwa kwa Tanzania hasa katika kuleta uwekezaji zaidi Tanzania. Nanukuu.
"Now we have a new President, she a woman, a very very vibrant, she's doing a fantastic job, she's moving around the whole world. So-called the 'Royal Tour', we can already see the impact in terms of a huge influx of tourists bringing foreign revenues and a lot of investments coming into the country I think she's doing a fantastic job and Tanzania is ready to fly."
Kauli hii ukiisikiliza vizuri utajua tu hapa Mo amefanya jambo kubwa sana kwa Taifa lake. Sasa basi kwa nini narejelea kusema kwamba kauli ya Mo ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania?
Kauli ya Mo itarejesha imani ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa. Miaka kadha nyuma wakati wa JPM, kutokana na aina ya uongozi wake, imani ya wawekezaji ilishuka sana.
Hata kama wawekezaji walifika nchini, lakini waliwekeza fedha zao kwa woga sana kutokana na kutoeleweka kwa Serikali ya JPM aliyokuwa na maamuzi ya kushutukiza ambayo wawekezaji waliohofia pengine wangeteketeza mitaji yao. Kwa kauli ya Mo, kutokana na nafasi yake nchini Tanzania na fedha alizowekeza, ni wazi kwamba wawekezaji wa aina yake ambao Tanzania inawahitaji sana, wanaweza kuja Tanzania, kuwekeza na kuleta ajira zaidi kwa Watanzania.
Tujiulize, wakati wa Magufuli ambao Mo mwenyewe alitekwa kwa wiki kadhaa hata tusijue alikuwa wapi, mbona hakuwahi kusema popote pale kama eti, Magufuli ni Rais mzuri sana na kumpa sifa kedekede? Mnadhani Mo na ukubwa wake huko nje, na jopo la watu mashuhuri wanaojuana naye, mnadhani walifurahi yeye kupotezwa? Acha hiyo, vipi kuhusu imani zao juu ya kuja kuwekeza Tanzania, nchi ambayo mtu aina ya Mo, a million dollars rich anapotea tu kama Kuku.
Matajiri aina ya Mo wanalindwa Duniani kote. Mo ni mtu muhimu sana. Ameajiri zaidi ya watu 40,000 hapa Tanzania. Imagine afunge viwanda vyake vyote hao watu 40K Serikali itawabeba kwa mbeleko gani, kama sio kuongezeka tu kwa uhalifu. Tuseme tu Mo kwa sasa ana amani na furaha kuliko wakati wowote ule. Hiyo tu, inatosha sana kuonesha Dunia sasa Tanzania ni nchi ya aina gani, na hii ni faida kwetu kwani italeta wawekezaji zaidi na kutanua fursa za kibiashara Tanzania.
Ni wazi, hii isingewekezana bila uongozi thabiti na wenye maarifa wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwani English ndio nini? Angalia alichosemaMbona Tajiri ana Kiingereza hicho cha Kawaida sana? au Umemlisha tu hayo Maneno?
Kiukweli chini ya Samia uwekezaji umeshamili, Uhuru pia wakujieleza umestawi tofauti na kipindi Cha MaguRais Samia Suluhu aliingia madarakani Machi 2021 hadi August 2021 tayari Tanzania kumekuja uwekezaji mkubwa zaidi ya miaka yote aliyokuwepo Magufuli madarakani. Mikataba yote iliyokwamishwa na Magufuli kama vile mkataba wa LNG, Bagamoyo port, Katanga Nickel na kadhalika, Rais Samia ameifanya imekuwa smooth na uwekezaji umekuwa zaidi. Tanzania ina more favorable investment environment kuliko Taifa lolote EA, sasa we endelea kula upupu kudhani kwamba katiba inaleta wawekezaji.
Wewe ndio umesema huyo jamaa kuwa ndio mtekaji ila kama mwenye angesema kuwa yeye ndio aliyemteka au ikathibitika kuwa yeye ndio alikuwa mtekaji hapo sawa.muulize mtekaji sio mimi
Uhuru huo kwa nani? Maana Ndugai yamemkuta ya yaliyomkuta baada ya kutaka kutumia huo uhuru.Kiukweli chini ya Samia
uwekezaji umeshamili, Uhuru pia wakujieleza umestawi
tofauti na kipindi Cha Magu
Andika uwerevu wako mkuu ili tukusome..... ....Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania.......
Basi hapa uliandika ujinga
Wanashangaza Sana, kwanza hawajui Mo amesoma Havard university iliyopo Amerca? Huko alikuwa anazungumza kisukuma?? Wamekariri vingerexa VYA kwenye kitabu, ni kama umkutebmkenya anaongea kiswahili Cha kwenye kamusi. Mo ameongea kingerezaTuna matatizo sana vijana wa Kitanzania. Hakuna hata uhusiano kati ya Kingereza chake na akili zake, wala utajiri wake. Tunashinda kutilia maanani hoja za msingi tunahangaika na vitu petty. Haya nitajie mtu anayejua kiingereza zaidi halafu ni tajiri zaidi ya Mo, hapa Tanzania. Mnawaza kwa kutumia kitu gani?
kilichoulizwa ni sababu za kutekwa sio uthibitisho! halafu una uhakika kama hajawahi kusema? au kusema mpaka atangaze kwenye media?Wewe ndio umesema huyo jamaa kuwa ndio mtekaji ila kama mwenye angesema kuwa yeye ndio aliyemteka au ikathibitika kuwa yeye ndio alikuwa mtekaji hapo sawa.
Kwani ujui kuwa waarabu mafisadi wanajambo lao ......kwa kumtumia sa100 hadi sasa team msoga imeanza kuvurugana na team sultani...japo ni kwambaliKatika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu wa kutazama kwa jicho la mbali, utaona kali hii ni mtaji mkubwa kwa Tanzania hasa katika kuleta uwekezaji zaidi Tanzania. Nanukuu.
"Now we have a new President, she a woman, a very very vibrant, she's doing a fantastic job, she's moving around the whole world. So-called the 'Royal Tour', we can already see the impact in terms of a huge influx of tourists bringing foreign revenues and a lot of investments coming into the country I think she's doing a fantastic job and Tanzania is ready to fly."
Kauli hii ukiisikiliza vizuri utajua tu hapa Mo amefanya jambo kubwa sana kwa Taifa lake. Sasa basi kwa nini narejelea kusema kwamba kauli ya Mo ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania?
Kauli ya Mo itarejesha imani ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa. Miaka kadha nyuma wakati wa JPM, kutokana na aina ya uongozi wake, imani ya wawekezaji ilishuka sana.
Hata kama wawekezaji walifika nchini, lakini waliwekeza fedha zao kwa woga sana kutokana na kutoeleweka kwa Serikali ya JPM aliyokuwa na maamuzi ya kushutukiza ambayo wawekezaji waliohofia pengine wangeteketeza mitaji yao. Kwa kauli ya Mo, kutokana na nafasi yake nchini Tanzania na fedha alizowekeza, ni wazi kwamba wawekezaji wa aina yake ambao Tanzania inawahitaji sana, wanaweza kuja Tanzania, kuwekeza na kuleta ajira zaidi kwa Watanzania.
Tujiulize, wakati wa Magufuli ambao Mo mwenyewe alitekwa kwa wiki kadhaa hata tusijue alikuwa wapi, mbona hakuwahi kusema popote pale kama eti, Magufuli ni Rais mzuri sana na kumpa sifa kedekede? Mnadhani Mo na ukubwa wake huko nje, na jopo la watu mashuhuri wanaojuana naye, mnadhani walifurahi yeye kupotezwa? Acha hiyo, vipi kuhusu imani zao juu ya kuja kuwekeza Tanzania, nchi ambayo mtu aina ya Mo, a million dollars rich anapotea tu kama Kuku.
Matajiri aina ya Mo wanalindwa Duniani kote. Mo ni mtu muhimu sana. Ameajiri zaidi ya watu 40,000 hapa Tanzania. Imagine afunge viwanda vyake vyote hao watu 40K Serikali itawabeba kwa mbeleko gani, kama sio kuongezeka tu kwa uhalifu. Tuseme tu Mo kwa sasa ana amani na furaha kuliko wakati wowote ule. Hiyo tu, inatosha sana kuonesha Dunia sasa Tanzania ni nchi ya aina gani, na hii ni faida kwetu kwani italeta wawekezaji zaidi na kutanua fursa za kibiashara Tanzania.
Ni wazi, hii isingewekezana bila uongozi thabiti na wenye maarifa wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Sidhani, ila nadhani angeongea kiarabu, si ni huko huko Uarabuni?Hivi yule wa "TIMU YA WANANCHI" ngeli inapanda kweli?
EeenHeeee!Kikubwa bwana yule kafa
Umekimbia huko Twitter unakuja kuleta maneno yako huku, ukae kwa kutulia binti.Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu wa kutazama kwa jicho la mbali, utaona kali hii ni mtaji mkubwa kwa Tanzania hasa katika kuleta uwekezaji zaidi Tanzania. Nanukuu.
"Now we have a new President, she a woman, a very very vibrant, she's doing a fantastic job, she's moving around the whole world. So-called the 'Royal Tour', we can already see the impact in terms of a huge influx of tourists bringing foreign revenues and a lot of investments coming into the country I think she's doing a fantastic job and Tanzania is ready to fly."
Kauli hii ukiisikiliza vizuri utajua tu hapa Mo amefanya jambo kubwa sana kwa Taifa lake. Sasa basi kwa nini narejelea kusema kwamba kauli ya Mo ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania?
Kauli ya Mo itarejesha imani ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa. Miaka kadha nyuma wakati wa JPM, kutokana na aina ya uongozi wake, imani ya wawekezaji ilishuka sana.
Hata kama wawekezaji walifika nchini, lakini waliwekeza fedha zao kwa woga sana kutokana na kutoeleweka kwa Serikali ya JPM aliyokuwa na maamuzi ya kushutukiza ambayo wawekezaji waliohofia pengine wangeteketeza mitaji yao. Kwa kauli ya Mo, kutokana na nafasi yake nchini Tanzania na fedha alizowekeza, ni wazi kwamba wawekezaji wa aina yake ambao Tanzania inawahitaji sana, wanaweza kuja Tanzania, kuwekeza na kuleta ajira zaidi kwa Watanzania.
Tujiulize, wakati wa Magufuli ambao Mo mwenyewe alitekwa kwa wiki kadhaa hata tusijue alikuwa wapi, mbona hakuwahi kusema popote pale kama eti, Magufuli ni Rais mzuri sana na kumpa sifa kedekede? Mnadhani Mo na ukubwa wake huko nje, na jopo la watu mashuhuri wanaojuana naye, mnadhani walifurahi yeye kupotezwa? Acha hiyo, vipi kuhusu imani zao juu ya kuja kuwekeza Tanzania, nchi ambayo mtu aina ya Mo, a million dollars rich anapotea tu kama Kuku.
Matajiri aina ya Mo wanalindwa Duniani kote. Mo ni mtu muhimu sana. Ameajiri zaidi ya watu 40,000 hapa Tanzania. Imagine afunge viwanda vyake vyote hao watu 40K Serikali itawabeba kwa mbeleko gani, kama sio kuongezeka tu kwa uhalifu. Tuseme tu Mo kwa sasa ana amani na furaha kuliko wakati wowote ule. Hiyo tu, inatosha sana kuonesha Dunia sasa Tanzania ni nchi ya aina gani, na hii ni faida kwetu kwani italeta wawekezaji zaidi na kutanua fursa za kibiashara Tanzania.
Ni wazi, hii isingewekezana bila uongozi thabiti na wenye maarifa wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Nimekuuliza kwanini amteke Mo na sio tajiri mwengine? Ukasema nimuulize aliyemteka ambaye mie sina ushahidi wa kwamba huyo mtu uliyemtuhumu ndio kweli alimteka hadi aweze kujibu kwanini alimteka Mo.kilichoulizwa ni sababu za kutekwa sio uthibitisho! halafu
una uhakika kama hajawahi
kusema? au kusema mpaka
atangaze kwenye media?