Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

Haters at work
Huo ndiyo ukweli, hata mo anajua kuwa hamfikii Bakhressa sema Bakhressa alikataa kabisa kutoa ushirikiano na taasisi zinazo chukua takwimu za utajiri wa watu akawaambia yeye hafanyi ujinga huo na hayupo kushindana wala kutangaza utajiri wake.
Mwaka huu BBC wakasema tajiri mkubwa zaidi nchini Tanzania amekataa jina lake kuwekwa wazi😂 sasa jiulize huyo mtu aliye kataa ni moo?🐄
 
Samia kimataifa anaeleweka vizuri sana. Hana roho ya kutaka kuwaona matajiri wakiishi kama viumbe vilivyotengwa na ufalme wa mbinguni.

Mo Dewji kwa kuongea namna hiyo anajenga taswira chanya ya Tanzania kimataifa. Anakaribisha wawekezaji wakubwa waje wafungue viwanda ili watu wa hali ya chini waweze kupata ajira. Hayo yanaitwa maono sio kila kiongozi anakuwa nayo.

Wasio na akili za kimaendeleo wanakimbilia kuongelea uanamke wa SSH, wanakimbilia kuongelea uislamu wake wanakimbilia kuongelea mwarabu wa Oman aliyewekeza huko mbugani.
 
Uyanga wako unakusumbua mkuu.
 
Pigeni makofi.
 
Kiukweli chini ya Samia uwekezaji umeshamili, Uhuru pia wakujieleza umestawi tofauti na kipindi Cha Magu
 
Kiukweli chini ya Samia
uwekezaji umeshamili, Uhuru pia wakujieleza umestawi
tofauti na kipindi Cha Magu
Uhuru huo kwa nani? Maana Ndugai yamemkuta ya yaliyomkuta baada ya kutaka kutumia huo uhuru.
 
.... ....Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania.......



Basi hapa uliandika ujinga
Andika uwerevu wako mkuu ili tukusome.
 
Wanashangaza Sana, kwanza hawajui Mo amesoma Havard university iliyopo Amerca? Huko alikuwa anazungumza kisukuma?? Wamekariri vingerexa VYA kwenye kitabu, ni kama umkutebmkenya anaongea kiswahili Cha kwenye kamusi. Mo ameongea kingereza
 
Wewe ndio umesema huyo jamaa kuwa ndio mtekaji ila kama mwenye angesema kuwa yeye ndio aliyemteka au ikathibitika kuwa yeye ndio alikuwa mtekaji hapo sawa.
kilichoulizwa ni sababu za kutekwa sio uthibitisho! halafu una uhakika kama hajawahi kusema? au kusema mpaka atangaze kwenye media?
 
Kwani ujui kuwa waarabu mafisadi wanajambo lao ......kwa kumtumia sa100 hadi sasa team msoga imeanza kuvurugana na team sultani...japo ni kwambali
 
Umekimbia huko Twitter unakuja kuleta maneno yako huku, ukae kwa kutulia binti.
 
kilichoulizwa ni sababu za kutekwa sio uthibitisho! halafu
una uhakika kama hajawahi
kusema? au kusema mpaka
atangaze kwenye media?
Nimekuuliza kwanini amteke Mo na sio tajiri mwengine? Ukasema nimuulize aliyemteka ambaye mie sina ushahidi wa kwamba huyo mtu uliyemtuhumu ndio kweli alimteka hadi aweze kujibu kwanini alimteka Mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…