Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

Huyu jamaa ndio alikuwa anataka uraisi ? atakuwa raisi wa familia yake .......
 
Unajuaje kama walimpigia kumuuliza kama wakirushe au la, na yeye akawaambia warushe tu??

Mkuu, usihukumu bila kujua upande wa pili.
Mbona nyie mnahukumu kwa upande mmoja?Huyo kauli yako mbona hutaki kuiweka kinyume na wewe?
 
Nimekumbuka ya Mh. Albert Chalamila kutumbuliwa

Juni 11, 2021

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA RC CHALAMILA, ATEUA MWINGINE KWENDA MWANZA



11 Jun 2021
#BREAKING: Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na kuteua wengine ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Luhumbi anahamia Mkoa wa Mwanza na Albert Chalamla uteuzi wake umetenguliwa, swipe kuona mabadiliko mengine.
 
WaTanzania bhana😂😂😂,,,,hamjui mnachezewa tactic moja inaitwa Good Cop- Bad Cop!!mwigulu is the bad cop,Samia is the good cop!..lengo lao ni moja-mwisho wa siku mlale kwenye mstari tu...idara ya propaganda iko kazini 24/7..
 
Inaitwa tengeneza tatizo tatua tatizo,,..
Wako katika reli maridadi
 
Au Somali iseme Magaidi wote waende Tanzania huko ndio watafanya ugaidi kwa amani.
Hahahaha 😂😂
 
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi, Kisha siku hiyo hiyo jioni katika kipindi cha tv anazungumza haya?...
Jamaa yuko arrogant sana. Anadhani PhD inakufanya ujue kila kitu. Abadirike.
 
Mtu anaejua mambo ya miili ya kwenye viroba ni hatari kwa taifa na kwa rais pia.

Huyu mtu ni hatari zaidi ndio maana maza kamuacha kiaina.

Huyu ni kama makonda kwa magu.

Ni ngumu kumpiga chini maana anajua mipango mingi miovu!
Anaweza kupita naye yeye mwenyewe
 
Chongolo Na Shaka Shaka Mmeona Toleo Jipya La Waziri Huyu
Anayetokana Na Ccm 😏🙄😶😑😐😐
Huyu Mpaka Sasa Hivi Alitakiwa Kufutwa Kazi Haraka
 
Last ditch
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi, Kisha siku hiyo hiyo jioni katika kipindi cha tv anazungumza haya?...
 
1)Kauli ya waziri Mwigulu kuwa hii sheria ya miamala ishasainiwa bungeni kwa hivo hawezi kubadilishwa. Je Raisi hawezi kwiibadilisha?

2)asieweza kulipa kodi, ahamie Burundi, kwa nini hakutaja nchi nyingine akaitaja Burundi?

Hajui inaweza ikatafsirika kaitaja Burundi kwa vile wakati kadhia hii ya kodi ya miamala ikitokea Rais Samia alikua Burundi au vingine?
 
1)Kauli ya waziri Mwigulu kuwa hii sheria ya miamala ishasainiwa bungeni kwa hivo hawezi kubadilishwa. Je Raisi hawezi kwiibadilisha?...
Tuliambiwa tutakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe - Basi Mramba.

Tuliambiwa kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe - David Msuya
 
513D4816-58EA-44FD-BC10-B2FB5A122FB4.jpeg


ACB924B4-C7D8-4E28-8247-1CF0795BA6A2.jpeg
 
Back
Top Bottom