Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?


Mwenye kuijua kauli ya mwisho kabla ya kufa ni mola peke yake tu!
 
Siku ya Mwisho ndo utaiona hekima ya MUNGU...
 
Jamaa anakuuliza uliza hajui kuwa wewe ni saa mbovu 0 IQ🤪
 
Mara paap unafika mbinguni ishu ya moto kumbe ilikua tishia nyau tu...kama nawaona extremist mtakavo nuna
 
Atakuwa upande wa watukanaji.
Maana Biblia imesema " watukanaji, wazinzi, walawiti, wafilaji, waongo, wabudu sanamu zehemu yao Jehanamu ya moto.
 
Kwa Waislam, hukumu zetu ni Allah ajuwaye, hakuna binadam ajuwaye. Wajibu wetu ni kufanya toba.
Sasa kwa nini huwa mnawaombea watu msamaha dhidi ya adhabu ya kaburi??
 
Hakuna kiama
Hakuna mbinguni
Hakuna jehanam
They are all myth..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…