Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

Mambo ya kiroho kwa jf ya sasa huwezi kupata majibu ya swali lako

 
Yaani huku utaambulia kuambiwa Mungu hayupo🤣🤣na dini ni utapeli🤣
 
Kwahyo kutukana ndo kumpeleka mtu motoni?Big No
 
Ungeweka na kifungu cha biblia sasa
1 korintho 6: 9-10
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Lakini na yesu si alikuwa anatukana kiaina?🤔
 
Kuna nabii mmoja katika kurekebisha mitambo akapigwa shoti katukana 'kum....ake walai"
Ila hakufa
 
Nimekuuliza unijibu yesu hakutukana mtu ?
Mithali 26
4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

Unataka nikujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…