Wanajitakia wenyewe kwa kumpa airtime ili wamsimange marehemuHili litaanza kuwa jipya kwa makamba kufikiri kabla ya kusema?[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajitakia wenyewe kwa kumpa airtime ili wamsimange marehemuHili litaanza kuwa jipya kwa makamba kufikiri kabla ya kusema?[emoji23]
Nimepata kugundua zaidi namna watu wa chini (wanyonge) wanavyoumia tangu JPM afariki, aliwatendea mengi mazuri ambayo ingechukua miaka zaidi ya 30 kutoka sasa kuja kutimia. Mfano ni ishu ya umeme maeneo ya Vijijini.Wewe tangu uanze kumsafisha huyu jini umepata nn?
Mzee na wanawe ni wachawi kupindukia,wasipodhibitiwa mapema Makamba Jr na Makamba Sn Nchi itatumbukia shimoniMzee Yaelekea ndiye M/K wa Kamati ya Ufundi ndani ya Chama Cha Mambuzi.
Namkumbusha Mzee Makamba:Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?)
Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi?
Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au kikundi wanaweza amua Rais gani aishi na yupi afe. Na hili si jambo dogo hata kidogo. Tunaweza lichukulia kiwepesi ila ujumbe umefika kwa Sukuma Gang na wengineo.
Alichoniudhi ni kumtishia Rais. Kusema hutokufa.... Ni kumtishia Rais. Ni kauli ya mtu mwenye mamlaka ya kuamua mtu afe au asife.
Wanategemea Mpango akishika URaisi watamchomekea makamu wake mwanamke kama walivyo mchomekea Magufuli, lakini naamini Mpango atamtumbua tu huyo pandikizi lao hawezi kukubali yatokee kama yalitokea kwa Magufuli kuzubaa kuto mtumbua Makamu wakeMambo machache unayoyafahamu ni matokeo ya mengi usiyoyajua, Mzee kasema hata mama akiondoshwa kabla ya 2025 Mungu atatuletea mwingine…. mimi nimechukua hapo tu.
Chizi umemuelewa vizuri sana, natamani waTz wote wangechukua tafsiri hii halafu tuanzie hapo,Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?)
Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi?
Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au kikundi wanaweza amua Rais gani aishi na yupi afe. Na hili si jambo dogo hata kidogo. Tunaweza lichukulia kiwepesi ila ujumbe umefika kwa Sukuma Gang na wengineo.
Alichoniudhi ni kumtishia Rais. Kusema hutokufa.... Ni kumtishia Rais. Ni kauli ya mtu mwenye mamlaka ya kuamua mtu afe au asife.
Acha uongo!Nimepata kugundua zaidi namna watu wa chini (wanyonge) wanavyoumia tangu JPM afariki, aliwatendea mengi mazuri ambayo ingechukua miaka zaidi ya 30 kutoka sasa kuja kutimia. Mfano ni ishu ya umeme maeneo ya Vijijini.
Wakati huo huyu tuliyenae alikuwa wapi?Jiwe alikuwa mbaya kwa kila mtu.
Mzee Rugemarira
Kabendera
Tundu Lisu
Lwajabe
Ben Sa8
Tito Magoti
Azory Gwanda
Godbless Lema
Maizti za kwenye viriba ufukweni.
N.k
Hawa wote walimgeuka nani?
Magufuli hasafishiki. Kilichomuua ni dhambi zake. Ukiua unauawa. Imeandikwa "auawae kwa upanga hufa kwa upanga"
Yule dikteta mnaomtetea mna roho chafu
Mungu ana bezi au sauti ya kukwaruza wakati mkizungumza?Achana na huyo Pimbi wa Chato, Magufuli amekufa dhambi zake dhidi ya watanzania. Tulisali mpaka Mungu alitusikia
Hasameheki nasema, na nitampigia simu mtoa msamaha asimsamehe.tuzee tuna laana utu.Akipata mtu wa kumkumbusha juu ya umuhimu wa kutubu kile kitubio cha kutoka moyoni atasamehewa inategemea kama busara ya akilini mwake itampa muda wa kutafakari kwa kina juu ya kauli yake.
Mungu anasamehe hivyo na yeye Mzee Makamba anaweza kuingia katika kundi hilo.
Ana beziMungu ana bezi au sauti ya kukwaruza wakati mkizungumza?