Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI

Na Mansour Jumanne (Senior Journalist )

Kumekuwa na upotoshaji mkubwa saana ,ambao umenukuliwa na Vyombo vingi vya habari vya ndani na nje kuhusu Kauli aliyoitoa Papa kiufupi jambo hili limepotoshwa na Vyombo vingi vya ndani na nje ya Tanzania kwa ufupi Papa aliulizwa swali na waandishi kuhusu watu wanaojihusisha na ndoa za jinsia moja kwa maana ya ushoga na usagaji.

Swali hilo aliulizwa alipokuwa na mkutano na vijana ambao umekuwa ni utaratibu wake.

Aliulizwa yapo Mataifa yamepitisha sheria ya kuwauwa watu wanaojihusisha na ushoga na usagaji na pia yapo makanisa na jamii zimewatenga na hawaruhusiwi hata kusogelea Kanisa.

Papa akajibu,Hatutakiwi kuwauwa wala kuwatenga na akasema,inapotokea watu wanaojihusisha na usagaji,ushoga na usenge wameenda Kanisani wasifukuzwe wala kuadhibiwa kwa kuuliwa bali ni kazi ya Kanisa kuwapokea na kuwaombea ili wabadilike na kumrejea mwenyezi Mungu.

Papa alisema hayo kutokana na baadhi ya mataifa kuchukua uamuzi wa kuwauwa na kuwatenga.

Akasema kazi ya Kanisa siyo kuwauwa na Kuwatenga bali kuwapokea na kuwaombea.

Hili suala sielewi linaleta mkanganyiko wapi?

1.Je ni kosa kuwaombea mashoga na wasagaji ili waongoke?

2.Watenda dhambi adhabu yao ni kuwauwa ama kuwasaidia watoke dhambini?

Kanisa Katoliki katika moja ya Dogma zake ni kutokubaliana na adhabu ya Kifo.

Pamoja na Mataifa mengi kupitisha adhabu ya kifo msimamo wa Kanisa Katoliki haujawahi kuunga mkono adhabu ya kifo,siyo kwa mashoga na wasagaji tu bali hata kwa watenda dhambi wengine wanaoadhibiwa kifo.

Kiufuli Taarifa hiyo haina effects yeyote. Halafu “Vatican policy ndo nini? The Roman Catholic Church haiongonzwi na policy. Vatican as a state kama Tanzania has its policy. We don’t have policies in Religious matters.

Pope anapotoa anapoongea issue nzito ambayo huleta mabadiliko ya kiulimwengu kwanza lazima asome kilichoandikwa, pili lazima akae kwenye kiti maalum au tunaita “ex cathedra” Mengine kwenye mahojiano mbalimbali is just an opinion

Still a Pope is like any other bishops. We call him “ First among the equal” Pope alone hawezi fanya mabadiliko pale anapojisikia na kama akijaribu basi “Curia” itafanyakazi yake. When I have time I will write about…”killing in God’s name.

Changamoto ambazo zinausumbua ulimwengu wa habari kwa sasa ni pamoja na...
Misinformation,Disinformation,Propaganda,Black Propaganda,White Propaganda,Grey Propaganda,Fake news,Wrong sources,Hate Speeches,Single source,Defamation,Sedition.

Ukisoma Waraka uliotoka Jumatatu hii ya tarehe 18.12.2023.

Umesisitiza,msimamo wa Kanisa Katoliki unabaki kuwa ndoa ni Kati ya mwanaume na mwanamke na hautabadilika.

Ila watu hawa walioanguka dhambini kwa kujihusisha na ndoa za jinsia moja wasiuliwe wala kufukuzwa wanapokwenda Kanisani.

Waraka unesisitiza makasisi kuwapa huduma watu hawa kwa kuwaombea waongoke.

Kanisa limeelekeza kutowatenga bali kuwapa huduma za kiroho kama wadhambi wengine na ikibidi waungame na kuacha dhambi ya ushoga na usagaji.

Nadhani mkanganyiko ni msimamo wa Kanisa wa..
1.Kutowauwa

0757449757
Mansour Jumanne
Senior Journalist
Watu wanashindwa kuelewa jambo moja muhimu sana

Sera ya ushoga na ndoa za jinsia moja zinaenezwa na kupigiwa debe sana na nchi za magharibi na nyenzo inayotumika ni vyombo vyao vya habari kwasababu vimeenea dunia nzima

Shirika kama BBC limekuwa mstari wa mbele kupenyeza agenda za magharibi kwa gharama yoyote ile

Ni rahisi sana kutafuta "angle" wanayoitaka wao kutoka kwa kiongozi huyo mkubwa na hatimaye kuikuza na kuiandika wanavyotaka wao kwani wanafahamu kabisa wao ni shirika kubwa na watu wengi sana hawana uwezo wa kutafuta ukweli sahihi tofauti na wanachoripoti.

Katika matamshi ni jambo la kawaida kabisa mtu ku note kulingana na malengo yake binafsi

Sio ajabu Papa anaposema "wasiuawe bali waruhusiwe kuingia kanisani na kuombewa" wao wakatafuta heading inayoendana na matakwa yao binafsi ya kutaka kuonyesha kwamba kanisa "linakumbatia" mashoga

Lakini ki uhalisia hakuna kiongozi wa dini atasema "wapigwe mawe wauwawe". Dini ya Kikristo inasisitiza kutohukumu kwani mwenyekuhukumu ni Mungu pekee
 
Watu wanavyolohofia Kanisa Katoliki kwa uimara wake basi Papa hata aliongea ukweli kuhusu ushoga hawamuelewi wanakimbiliaga kusema karuhusu😄

Mtoa post utashambuliwa na mazuzu hapa mpaka basi

Katika post au comment ninazobisha na watu insta ni kujibu mambo kama haya basi utashambuliwa na wajinga mi naishiaga kucheka tu
 
Acheni kumtetea PAPA,amekosea kweli, na mnahitaji Papa mwingine. huyu kawaharibia sana.
Tuanze kwanza kuipinga Quran inayohalalisha uzinifu, mfano Quran 33:37 Allah anamruhusu Mtume Mohammad amuoe mke wa mtu, na Aya zingine nyingi tu zinazohalalisha ufiraji, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo,na tafsiri nyingi zinafafanua maana ya Aya hiyo ilishuka kwa kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanavyolohofia Kanisa Katoliki kwa uimara wake basi Papa hata aliongea ukweli kuhusu ushoga hawamuelewi wanakimbiliaga kusema karuhusu😄

Mtoa post utashambuliwa na mazuzu hapa mpaka basi

Katika post au comment ninazobisha na watu insta ni kujibu mambo kama haya basi utashambuliwa na wajinga mi naishiaga kucheka tu
Acha kupulizia kinyesi perfume. Hakitanukia hata siku moja
 
hapo ndipo papa alipowapiga, amesahau ule mstari unasema "jitengeni nao,nuru na giza havichangamani".
Yesu alisema nimekuja kutafuta waliopotea, mgonjwa anahitaji daktari( mwenye dhambi) , pia Yesu alishutumiwa na Wayahidi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi kama unavyomshutumu wewe Papa. Wadhambi waombewe wabadilike siyo kuwaua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yesu alisema nimekuja kutafuta waliopotea, mgonjwa anahitaji daktari( mwenye dhambi) , pia Yesu alishutumiwa na Wayahidi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi kama unavyomshutumu wewe Papa. Wadhambi waombewe wabadilike siyo kuwaua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnawaombea kwa kuwaozesha makanisani sio. Mna akili sana wazee wa kinyesi
 
Kwa hiyo tuwaue au?
Wanatakiwa wafe ndio. Tena ukiua shoga unapata swawabu.

Hutakiwi kua hata na jilani shoga, yaani mtu wa aina hii anatakiwa atengwe na jamii...umbali wa nyumba arobain kila upande. Akikalibia kwako kuomba hata maji usimpe funga mlango wako.
 
Umewasaliana na mungu kwani? Au Mungu anakupenda we peke yako. Je kama anapendwa mashoga kuliko asiyekuwa shoga
 
UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI

Na Mansour Jumanne (Senior Journalist )

Kumekuwa na upotoshaji mkubwa saana ,ambao umenukuliwa na Vyombo vingi vya habari vya ndani na nje kuhusu Kauli aliyoitoa Papa kiufupi jambo hili limepotoshwa na Vyombo vingi vya ndani na nje ya Tanzania kwa ufupi Papa aliulizwa swali na waandishi kuhusu watu wanaojihusisha na ndoa za jinsia moja kwa maana ya ushoga na usagaji.

Swali hilo aliulizwa alipokuwa na mkutano na vijana ambao umekuwa ni utaratibu wake.

Aliulizwa yapo Mataifa yamepitisha sheria ya kuwauwa watu wanaojihusisha na ushoga na usagaji na pia yapo makanisa na jamii zimewatenga na hawaruhusiwi hata kusogelea Kanisa.

Papa akajibu,Hatutakiwi kuwauwa wala kuwatenga na akasema,inapotokea watu wanaojihusisha na usagaji,ushoga na usenge wameenda Kanisani wasifukuzwe wala kuadhibiwa kwa kuuliwa bali ni kazi ya Kanisa kuwapokea na kuwaombea ili wabadilike na kumrejea mwenyezi Mungu.

Papa alisema hayo kutokana na baadhi ya mataifa kuchukua uamuzi wa kuwauwa na kuwatenga.

Akasema kazi ya Kanisa siyo kuwauwa na Kuwatenga bali kuwapokea na kuwaombea.

Hili suala sielewi linaleta mkanganyiko wapi?

1.Je ni kosa kuwaombea mashoga na wasagaji ili waongoke?

2.Watenda dhambi adhabu yao ni kuwauwa ama kuwasaidia watoke dhambini?

Kanisa Katoliki katika moja ya Dogma zake ni kutokubaliana na adhabu ya Kifo.

Pamoja na Mataifa mengi kupitisha adhabu ya kifo msimamo wa Kanisa Katoliki haujawahi kuunga mkono adhabu ya kifo,siyo kwa mashoga na wasagaji tu bali hata kwa watenda dhambi wengine wanaoadhibiwa kifo.

Kiufuli Taarifa hiyo haina effects yeyote. Halafu “Vatican policy ndo nini? The Roman Catholic Church haiongonzwi na policy. Vatican as a state kama Tanzania has its policy. We don’t have policies in Religious matters.

Pope anapotoa anapoongea issue nzito ambayo huleta mabadiliko ya kiulimwengu kwanza lazima asome kilichoandikwa, pili lazima akae kwenye kiti maalum au tunaita “ex cathedra” Mengine kwenye mahojiano mbalimbali is just an opinion

Still a Pope is like any other bishops. We call him “ First among the equal” Pope alone hawezi fanya mabadiliko pale anapojisikia na kama akijaribu basi “Curia” itafanyakazi yake. When I have time I will write about…”killing in God’s name.

Changamoto ambazo zinausumbua ulimwengu wa habari kwa sasa ni pamoja na...
Misinformation,Disinformation,Propaganda,Black Propaganda,White Propaganda,Grey Propaganda,Fake news,Wrong sources,Hate Speeches,Single source,Defamation,Sedition.

Ukisoma Waraka uliotoka Jumatatu hii ya tarehe 18.12.2023.

Umesisitiza,msimamo wa Kanisa Katoliki unabaki kuwa ndoa ni Kati ya mwanaume na mwanamke na hautabadilika.

Ila watu hawa walioanguka dhambini kwa kujihusisha na ndoa za jinsia moja wasiuliwe wala kufukuzwa wanapokwenda Kanisani.

Waraka unesisitiza makasisi kuwapa huduma watu hawa kwa kuwaombea waongoke.

Kanisa limeelekeza kutowatenga bali kuwapa huduma za kiroho kama wadhambi wengine na ikibidi waungame na kuacha dhambi ya ushoga na usagaji.

Nadhani mkanganyiko ni msimamo wa Kanisa wa..
1.Kutowauwa

0757449757
Mansour Jumanne
Senior Journalist
Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".

Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.

Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Papa walimwokotea wapi. Kila siku yeye anajadili ushoga tu. Hamna Jambo jingine.
 
Kwani kubadili siku ya kupmzika (sabato), ilikuwa ni overnight process au ilichukua muda mrefu?

Kama kilikuwa kitendo cha masiku mengi, basi hata ushoga kufungishwa ndoa na mambo kama hayo haitakuwa kitu cha kukubalika mara moja kichwani pa wanadamu, bali itaingizwa kidogo kidogo hadi watu waone kawaida.

Hivyo, pope anarusha nyavu baharini mdogo mdogo kuset akili za watu kuzoea na kuona kawaida, kisha ndipo iwe halali.

Acheni kumdhihaki ukristo. Ushoga pelekeni huko Italia kwa huyo Papa asiyejitambua.
 
Achana na papa, kamsikilize na NYANGUMI utaelewa vizuri..
 
Yesu alipokuja hakuwatenga wenye dhambi na hata alipoulizwa aliwajibu mtu mzima haitaji tabibu Bali wagonjwa.
 
Back
Top Bottom