Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

Watu wanashindwa kuelewa jambo moja muhimu sana

Sera ya ushoga na ndoa za jinsia moja zinaenezwa na kupigiwa debe sana na nchi za magharibi na nyenzo inayotumika ni vyombo vyao vya habari kwasababu vimeenea dunia nzima

Shirika kama BBC limekuwa mstari wa mbele kupenyeza agenda za magharibi kwa gharama yoyote ile

Ni rahisi sana kutafuta "angle" wanayoitaka wao kutoka kwa kiongozi huyo mkubwa na hatimaye kuikuza na kuiandika wanavyotaka wao kwani wanafahamu kabisa wao ni shirika kubwa na watu wengi sana hawana uwezo wa kutafuta ukweli sahihi tofauti na wanachoripoti.

Katika matamshi ni jambo la kawaida kabisa mtu ku note kulingana na malengo yake binafsi

Sio ajabu Papa anaposema "wasiuawe bali waruhusiwe kuingia kanisani na kuombewa" wao wakatafuta heading inayoendana na matakwa yao binafsi ya kutaka kuonyesha kwamba kanisa "linakumbatia" mashoga

Lakini ki uhalisia hakuna kiongozi wa dini atasema "wapigwe mawe wauwawe". Dini ya Kikristo inasisitiza kutohukumu kwani mwenyekuhukumu ni Mungu pekee
 
Watu wanavyolohofia Kanisa Katoliki kwa uimara wake basi Papa hata aliongea ukweli kuhusu ushoga hawamuelewi wanakimbiliaga kusema karuhusu😄

Mtoa post utashambuliwa na mazuzu hapa mpaka basi

Katika post au comment ninazobisha na watu insta ni kujibu mambo kama haya basi utashambuliwa na wajinga mi naishiaga kucheka tu
 
Acheni kumtetea PAPA,amekosea kweli, na mnahitaji Papa mwingine. huyu kawaharibia sana.
Tuanze kwanza kuipinga Quran inayohalalisha uzinifu, mfano Quran 33:37 Allah anamruhusu Mtume Mohammad amuoe mke wa mtu, na Aya zingine nyingi tu zinazohalalisha ufiraji, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo,na tafsiri nyingi zinafafanua maana ya Aya hiyo ilishuka kwa kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha kupulizia kinyesi perfume. Hakitanukia hata siku moja
 
hapo ndipo papa alipowapiga, amesahau ule mstari unasema "jitengeni nao,nuru na giza havichangamani".
Yesu alisema nimekuja kutafuta waliopotea, mgonjwa anahitaji daktari( mwenye dhambi) , pia Yesu alishutumiwa na Wayahidi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi kama unavyomshutumu wewe Papa. Wadhambi waombewe wabadilike siyo kuwaua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mnawaombea kwa kuwaozesha makanisani sio. Mna akili sana wazee wa kinyesi
 
Kwa hiyo tuwaue au?
Wanatakiwa wafe ndio. Tena ukiua shoga unapata swawabu.

Hutakiwi kua hata na jilani shoga, yaani mtu wa aina hii anatakiwa atengwe na jamii...umbali wa nyumba arobain kila upande. Akikalibia kwako kuomba hata maji usimpe funga mlango wako.
 
Wanatakiwa wafe ndio. Tena ukiua shoga unapata swawabu.

Hutakiwi kua hata na jilani shoga, yaani mtu wa aina hii anatakiwa atengwe na jamii...umbali wa nyumba arobain kila upande. Akikalibia kwako kuomba hata maji usimpe funga mlango wako.
Umewasaliana na mungu kwani? Au Mungu anakupenda we peke yako. Je kama anapendwa mashoga kuliko asiyekuwa shoga
 
Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".

Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.

Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Papa walimwokotea wapi. Kila siku yeye anajadili ushoga tu. Hamna Jambo jingine.
 

Acheni kumdhihaki ukristo. Ushoga pelekeni huko Italia kwa huyo Papa asiyejitambua.
 
Achana na papa, kamsikilize na NYANGUMI utaelewa vizuri..
 
Yesu alipokuja hakuwatenga wenye dhambi na hata alipoulizwa aliwajibu mtu mzima haitaji tabibu Bali wagonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…