Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi


Pole sana. Wewe enedelea kuabudu Sabato, wakati wenzako wanamwabudu Bwana wa Sabato.

Kristo alikufa kwa sababu ya kutotii sheria, na sheria kuu kwenye torati ilikuwa ni utii wa sabato. Ugomvi wa Kristo na wayahudi, wa mwanzo kabisa ni kutoitii sabato. Wakamtengenezea kesi ya uchochezi lakini hasa ilikuwa ni kwa sababu ya kutoitii sabato.

Mt. Paulo anasema, kama Kristo aliuawa kwa sababu ya kutoitii sheria (sabato). Akafufuka, akayashinda mauti, halafu sisi tuliokufa na Kristo na kufufuka naye, tukarudi kuitumikia sheria (sabato), basi kifo cha Kristo kilikuwa bure.

Ndiyo maana mitume wa Kristo, baada ya Kristo kufufuka, hawakuwa watumwa tena wa sabato. Walikutana siku ile ya kwanza ya juma, waliypiita siku ya Bwana au siku ya kumega mikate. Siku hiyo ya Bwana, ndiyo wafuasi wa Kristo wanakutana mpaka leo kutafakari ushindi wa Kristo, ushindi dhidi ya shetani, ushindi dhidi ya mauti.

Siku ya Bwana wala siyo siku ya sabato. Wengine wanakosea au wanapotosha kwa kudai eti kuna watu wameibadili sabato kuwa Jumapili, jambo ambalo siyo kweli. Sabato ni siku ya saba ambayo ni Jumamosi. Siku ya Bwana, ni siku ya kwanza ya Juma, yaani Jumapili. Hata hivyo mttime Paulo anasisitiza kuwa katika siku alizoziumba Mungu, hakuna iliyo bora zaidi. Zamani watu waliabudu sabato, lakini sasa wanatamiwa kumwabudu Bwana wa Sabato, na siyo siku.
 
Siwezi kukukasirikia Ila nakushangaa kwanini unalazimisha kitu ambacho hakipo au una maalahi nacho.
Mimi ni mtu wa kukubali ukweli haijalishi unauma kiasi gani maana kukataa ukweli hakufuti ukweli huo. Kukataa kauli ya papa haimaanishi itafuta maamuzi yake.
Huyo papa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli zenye utata ambazo mara waje watu kuzitolea ufafanuzi kama mistari ya biblia vile.
Kasema, na vyombo karibu vyote vikubwa vimereport...
 
Papa Hana kauli tata, Kuna vyombo Kama BBC wanabeba ajenda ya ushoga. Wamekuwa wakimwuliza maswali kuhusu watu wanaojihusisha na Mambo ya ushoga anawapowajibu wanapenda kubadilisha ukweli wa like kilichosemwa.
Wakati wa Vita vya ghuba sijui ulikuwa na umri gani lakini BBC, CNN walidanganya wazi na baadae kujifanya kukiri huku lengo lao likiwa limeshatimia na ndicho kipindi tv ya aljaazera iliibuka na kupata umaarufu.
 
Itafahamika.
Ingekuwa wamereport kuwa russua kadundwa huko ukraine au hamas kamalizwa na idf bila shaka haya mashaka usingekuwa nayo.
Binadamu tuna hali ya kuamini kile kinachotuoendeza.
 
Kauli kama ile ingetolewa hata na ustaadh wa huko buza ndani ndani huu uzi ungejaa kejeli za kuitukana dini ya ustaadh 😀,kitu kimekuja kasema papa mtu mkubwa zaidi kwenye dini ileee 😀,wenye dini kazi kwenu sasa boss kishatoa go ahead mtinduane 😂😂
 
ACHA bla bla nenda kaolewe wewe unapitwaa
 
Hakuna upotoshaji wowote BBC waliofanya
 
UBARIKIWE KWA HUO UFAFANUZI KUNA WAJINGA NA WAPUMBAVU WENGI WANAENDELEA KUPOTOSHA ILA LAANA YA MUNGU ITAWAADHIBU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wanasahau kwamba wateja wakubwa wa mashoga ni kutoka mikoa ya mwambao wa bahari hasahasa wa dini ileeeeee, ambayo kila mmmoja anaijua!
 
Wanasahau kwamba wateja wakubwa wa mashoga ni kutoka mikoa ya mwambao wa bahari hasahasa wa dini ileeeeee, ambayo kila mmmoja anaijua!
Mbona mimi siijui aisee? Hebu kuwa jasiri halafu unitajie.
BTW: Komenti yako haina uhusiano na alichoandika blessed Fanikio.
 
Hata mimi nimeishia kucheka tu, maana kauli yake haisemi RC wafungishe ndoa za jinsia moja wala kuspoti ndoa za aina hiyo, bali wanaojihusisha na tabia hiyo.., wanaweza kubarikiwa wao kama binadamu..,Ila sio kubariki wanayoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…