Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

Huko nje kwa East Africa nchi inayojulikana ni Kenya
 
mkuu hiyo ni lugha tu kulinda brand yake isitoshe ana wadhamini wamemleta nchini na wameweka mpunga mrefu kwake..pia hawezi izungumzia bure brand nyingine juu ya brand yake..tatizo waandishi wa bongo msanii kafika nchini kwa ajili ya show badala ya wamuulize kuhusu yeye na muziki wake na jinsi gani amejipanga,na mashabiki wategemee nini kwenye show yake.. eti badala yake wanakimbilia kumuuliza kuhusu diamond kwani anahusiana nini na ujio wake... bongo hakuna waandishi wa mahojiano ni pumba tu
 
Kama waandishi ndio hawa basi inashangaza yaan lugha yenyewe ya kuunga unga na maswali ya ajabu ajabu
 

Ulitakiwa useme land of Mt Kilimanjaro au Serengeti - Great Migration; Hivyo ndio vitu viwili vinafahamika zaidi kidumia kuliko Nchi yenyewe
 
Ulitakiwa useme land of Mt Kilimanjaro au Serengeti - Great Migration; Hivyo ndio vitu viwili vinafahamika zaidi kidumia kuliko Nchi yenyewe
Kuna haja ya kubadili jina tujiite Republic of Kilimanjaro 😉
 
Ila ni ukweli
 
Sasa star wa africa tena Tanzania lazima ajulikane Carribbean? Wewe unamjua star wa Barbados kwa sasa? Sean Paul ni habari kubwa 2000 wakati diamond na kiba wanapenga kamasi. Huyu ni star wa dunia, mwenye top charting hits kibao billboard na kila nchi uijuayo na usozijua
 
Kidogo siku hizi ukimtaja Magufuli wanatuelewa si unajuwa ukiwa mtu wa vituko unaeleweka. Magufuli katuwezesha kidogo
Nan sasa alikua mtu wa vituko heshimu watu sema alikua mwamba hao wazungu bila umwamba hawakuelewi kama ni mtu wa vituko uwe una mtaja sasa Bambo au kingwendu wakuelewe unatokea Tanzania.
 
Hii shida ya kudhani umaarufu nyumbani ndio umaarufu huko nje imeanzia kwa wasanii baadae ikaende kwa wana siasa
Kuna kenge humu ndani, yeye anadhani viongozi wake huko nje ni maarufu sana, kumbe hata hawajulikani
 
U
Point sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…