Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Kuna tetesi kwamba CCM inapasuka kupitia wazee na jamaa huenda akashindwa vibaya
 
mimi nlikuwa mpagan...lakini nataka nisilimu kwaajili ya sheikh ponda...nataka pia nichore tatoo ya TAL kifuani
 
Duh...eti jumuiya ya kimataifa itawabana...umekariri ya Jammeh duh. Tanzania bado tuko nyuma Sana kwa issues za kimataifa...umekaririshwa tu ya Jammeh...na inawezekana Wala hujui huyo alikuwa Rais wa wapi...
Imekupata, maana unaanza matusi na kejeli. Nakujua ngoja nikuibukie baadaye!

Majizi wakubwa na wauaji wakubwa!
 
Hao wanaoitwa masheikh wengi wao hawajulikani. Sijui wametolewa wapi. Maarufu hapo ni Alhadi Mussa ambaye unafiki wake unajulikana wazi. Na sheikh Kipozeo ni msanii sana na njaa inamfanya ayumbe huku na huku.
 
Niseme tu kweli kwamba kila Mtanzania anatambua kila uzuri wa kiongozi wanaujua watanzania wenyewe kwayo watafanya maamuzi sahihi oktoba28
 
Sisi waislamu wa Haqi tupo pamoja na Sheikh Ponda kura zetu kwa lissu
Masheikh wanafiki wapo pamoja na BAKWATA na ubwabwa kura zao kwa yule katili anaetesa waislamu na watanzania kwa ujumla
wee ni kachero mzoefu sana. Sasa mbona alhadi hali ubwabwa aliofuata.
 
Bakwata walikaa kimya Ponda aliposhughulikiwa na Utawala huu dhalimu sasa hawana haki ya kumuaria Ponda cha kuongea.

 
sijui alikuwa anataka kujikuta nani huyo sheikh Ponda alafu waislaam wakamvamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ni tetesi siwezi kupoteza muda wangu kuzijadili.Sina muda wa kupoteza kama jobless waliomo humu.
Utajadili vipi tetesi bwana mdogo, assignment za shule huja kamilisha hichi kizazi chenu kina tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…