Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Na yule shehe aliyeapa kikristo alitumwa na nani?
Alitumwa na polepole
Kwa staili hii,itakuwa ngumu sana kuutenganisha uislam na ugaidi,maana Kuna waislam wanashabikia maneno ya huyo mshenzi.
wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza uwezaje kujua mshenzi wakati wewe ni mshenzi namba moja
 
Mkuu nini kirefu cha bakwata ?

In short hakuna kiongozi yoyote wa kidini anayepaswa kuzungumza kwa niaba ya waumini wake kura ni siri ya mtu na maamuzi binafsi, hizi nyingine ni kelele tuu.
Kelele ni zao wachumia tumbo tokea chombo binafsi cha CCM kiitwacho Bakwata, mashehe wa Bakwata na wao wanawinda uteuzi tokea kwa Mkoloni mweusi kaburu tokea chato
 
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ndiyo Serikali pekee Duniani inatumia magari ya gharama kuliko Serikali zote Duniani
 
Kelele ni zao wachumia tumbo tokea chombo binafsi cha CCM kiitwacho Bakwata, mashehe wa Bakwata na wao wanawinda uteuzi tokea kwa Mkoloni mweusi kaburu tokea chato
Awamu hii wanafiki wamekuwa wengi sana kila kona ni unafiki tuu.
 
Wangeanza Kukanusha habari ya BAKWATA Mtwara ningewaona wa maana ila ya Mtwara sawa ila ya PONDA wanakanusha shuwaini kabisa, wangekua wahadhiri wa maana wangekanusha kuhususu dua iliyoombwa kwa jina la YESU...
Kwa hiyo nyie mnaowahi kufunga na kuswali idi mapema ndio mmekubaliana kumpa lisu?
 
Sidhani Kama Itakua Sahihi Yeye Kuwaongelea Waislam Ikiwa Sio Kiongozi Rasmi.

Issa Ponda Ni Mwanazuoni Mzuri Lakini Mihemko ya Kisiasa Imekua Ikimchukua Mara Kwa Mara Na Kuifanya Elimu Aliyonayo Kuwa Useless Kwa Hapa Hapana Ajipange Na Waislam Sio Wakupelekwa Hivo!
Vipi kuhusu Shekh wa Dar
 
Wapenda haki wanajuana!!
Madhulimati poa wanajuana!!
 
Wewe ni kati ya hao wachache
Mwislam mimi sihitaji ushawishi wa mtu yeyote. Mimi sio gari kwamba mtu ataniendesha kuelekea anakotaka kwenye mambo ya kidunia. Hata hayo ya mbinguni atanielekeza tu, kufuata ni hiari yangu. Kesi ni kati yangu na mwenyezi Mungu wangu.
 
Nitajie masheikh wakubwa ambao elimu yao sio useless. Vipi yule sheikh wa bakwata aliyeomba dua kwa jina la yesu yeye elimu yake sio useless?
Sikuwahi mfuatilia lakin kama amethubutu hivyo ni changamoto, Tunaongozwa na waigizaji wanaotafuta ugali, misimamo ya kidini hamna wamekua wafuasi wa vibahasha vya pesa
 
Back
Top Bottom