Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Utajadili vipi tetesi bwana mdogo, assignment za shule huja kamilisha hichi kizazi chenu kina tatizo
🤣🤣 Wewe usie na assignment mbona unashinda Jf kulalamikia maisha magumu?

Alafu mimi siwezi kuwa bwana mdogo wako hata siku moja,mimi na wewe hatuwezi kulingana umri mpaka kiama.Ukichoka kulalamika nyuma ya keyboard nitafute nikupe mtaji.
 
Kwa hari ya kushangaza sana kiongozi wa dini unaposema uongo mbele ya umma kwamba yeye na waisilam wote wamakubaliana kuchagua mtu Fulani.

Hapo ndipo unaweza kupima yote anayoyaongea na kuona kabisa ni yauongo. Dini ijitenge na Siasa.

Huyu Ponda anapenda shari wala hajawahi penda utulivu.

Na kwa hari aliyonayo anaweza akawadanganya CHADEMA hadi waambulie aibu.

Ponda haaminiki kabisa na mambo anayo yafanya. Na Bahati mbaya tu kwenye kampeni watu huwa hawapewi nafasi ya kukataa papo kwa papo.
 
🤣🤣 Wewe usie na assignment mbona unashinda Jf kulalamikia maisha magumu?

Alafu mimi siwezi kuwa bwana mdogo wako hata siku moja,mimi na wewe hatuwezi kulingana umri mpaka kiama.Ukichoka kulalamika nyuma ya keyboard nitafute nikupe mtaji.
Sawa babu sikujua kwamba wewe ni tajiri kiasi hicho katika umri wako wa miaka 90
 
Bado nasema na nitasema shkh ponda ganda la ndizi...

Na Hawa wengine maganda ya maembee...hawana tofauti na ponda bora wangenyamazaa tuu

Sababu uislamu upo mbali na haya mambo.
 
Haya mambo yabkuingiza dini kwenye siasa bila exit plan, ndo yameifanya dini ya kiislamu kuhusishwa na ugaidi kwa muda mrefu sana hapa duniani. Kuna wapuuzi wachache wameibadilisha sana taswira ya uislam, Cha ajabu wengine ni viongozi kabisa...
Shkh ponda ganda la ndizi hajielewi kabisa ukilikanyaga lazima utaulamba mwereka wa kisogo.

Mimi anachoniskitsha kwann atumie dini kama mwamvuli kwa upumbavu wake..
 
Shkh ponda ganda la ndizi hajielewi kabisa ukilikanyaga lazima utaulamba mwereka wa kisogo...

Mimi anachoniskitsha kwann atumie dini kama mwamvuli kwa upumbavu wake..
Kwa staili hii,itakuwa ngumu sana kuutenganisha uislam na ugaidi,maana Kuna waislam wanashabikia maneno ya huyo mshenzi.
 
Dah hata huyu Sheikh Kipozeo, sheikh wetu wa mtaa akipita kijiweni kwetu tunamuona ni mtu-huru wa kusema akionacho ni swafi leo hii anaondoa uhuru wake kisa CCM Mpya !
Hungry Lion Never Sleep!!!
Wasaka Tonge Hao
 
Sijamsikia pale Dodoma akisema "waislamu wote" alisema sisi waislamu. Na kudhibitisha hilo alipowauliza walisema ndio! Hivyo wale waliokuwa pale wamekubali

Sio wale wa pale tu.. Waislam wote tumekubaliana hivyo. Jamani kura zetu ziko kwa Tundu Lissu.
 
Jamani wasiwadanganye hao.. Waislam wote tunampa kura Lissu. Hatutaki masikhara safari hii. Liwalo na liwe.
 
Namuunga mkono Sheikh Ponda kwani anatetea haki.

Siku zote uislamu unapigania haki kwani no dini ya Haki..hao masheik sijawasikia wakitamka neno haki hapo hata mmoja..inaonyesha no namna gani wanatumika na madharimu kwa ajili ya Tamaa za dunia.
 
View attachment 1604268

Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.

Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.

Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,,mufti ni kiongozi wa bakwata, Over
Mkuu nini kirefu cha bakwata ?

In short hakuna kiongozi yoyote wa kidini anayepaswa kuzungumza kwa niaba ya waumini wake kura ni siri ya mtu na maamuzi binafsi, hizi nyingine ni kelele tuu.
 
Back
Top Bottom