🤣🤣 Wewe usie na assignment mbona unashinda Jf kulalamikia maisha magumu?Utajadili vipi tetesi bwana mdogo, assignment za shule huja kamilisha hichi kizazi chenu kina tatizo
Sawa babu sikujua kwamba wewe ni tajiri kiasi hicho katika umri wako wa miaka 90🤣🤣 Wewe usie na assignment mbona unashinda Jf kulalamikia maisha magumu?
Alafu mimi siwezi kuwa bwana mdogo wako hata siku moja,mimi na wewe hatuwezi kulingana umri mpaka kiama.Ukichoka kulalamika nyuma ya keyboard nitafute nikupe mtaji.
Sawa kidampa.Sawa babu sikujua kwamba wewe ni tajiri kiasi hicho katika umri wako wa miaka 90
Kuna Nini kinaandaliwa kwa ajili take na wote wanaolilia haki.Ponda dawa yake ipo jikoni
Shkh ponda ganda la ndizi hajielewi kabisa ukilikanyaga lazima utaulamba mwereka wa kisogo.Haya mambo yabkuingiza dini kwenye siasa bila exit plan, ndo yameifanya dini ya kiislamu kuhusishwa na ugaidi kwa muda mrefu sana hapa duniani. Kuna wapuuzi wachache wameibadilisha sana taswira ya uislam, Cha ajabu wengine ni viongozi kabisa...
Kwa staili hii,itakuwa ngumu sana kuutenganisha uislam na ugaidi,maana Kuna waislam wanashabikia maneno ya huyo mshenzi.Shkh ponda ganda la ndizi hajielewi kabisa ukilikanyaga lazima utaulamba mwereka wa kisogo...
Mimi anachoniskitsha kwann atumie dini kama mwamvuli kwa upumbavu wake..
Hungry Lion Never Sleep!!!Dah hata huyu Sheikh Kipozeo, sheikh wetu wa mtaa akipita kijiweni kwetu tunamuona ni mtu-huru wa kusema akionacho ni swafi leo hii anaondoa uhuru wake kisa CCM Mpya !
Asante kwa taarifaView attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
HatudanganyikiiWananchi wote watamiminika kumwondoa wakala wa beberu.
View attachment 1604502
Kuna dawa au udhwalim, huyu Ponda mliempiga risasi morogoro? Labda Kifo otherwise ni hofu za kipumbavuPonda dawa yake ipo jikoni
Sijamsikia pale Dodoma akisema "waislamu wote" alisema sisi waislamu. Na kudhibitisha hilo alipowauliza walisema ndio! Hivyo wale waliokuwa pale wamekubali
My friend ponda ana ushawishi kwa waislamu ingawa sii wote.
Mkuu,,mufti ni kiongozi wa bakwata, OverPonda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!View attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Mkuu nini kirefu cha bakwata ?Mkuu,,mufti ni kiongozi wa bakwata, Over