Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mazinge 😆😆😆😆 , kipozeo 😆😆😆View attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Astaghafillulah !..sasa kumleta Shekhe wa aina hii hapa akanushe kauli za Shekhe Ponda inasaidia nini?
Alitumwa na polepoleNa yule shehe aliyeapa kikristo alitumwa na nani?
wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza uwezaje kujua mshenzi wakati wewe ni mshenzi namba mojaKwa staili hii,itakuwa ngumu sana kuutenganisha uislam na ugaidi,maana Kuna waislam wanashabikia maneno ya huyo mshenzi.
Kelele ni zao wachumia tumbo tokea chombo binafsi cha CCM kiitwacho Bakwata, mashehe wa Bakwata na wao wanawinda uteuzi tokea kwa Mkoloni mweusi kaburu tokea chatoMkuu nini kirefu cha bakwata ?
In short hakuna kiongozi yoyote wa kidini anayepaswa kuzungumza kwa niaba ya waumini wake kura ni siri ya mtu na maamuzi binafsi, hizi nyingine ni kelele tuu.
CCM ndiyo Serikali pekee Duniani inatumia magari ya gharama kuliko Serikali zote DunianiHuu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii wanafiki wamekuwa wengi sana kila kona ni unafiki tuu.Kelele ni zao wachumia tumbo tokea chombo binafsi cha CCM kiitwacho Bakwata, mashehe wa Bakwata na wao wanawinda uteuzi tokea kwa Mkoloni mweusi kaburu tokea chato
Kwa hiyo nyie mnaowahi kufunga na kuswali idi mapema ndio mmekubaliana kumpa lisu?Wangeanza Kukanusha habari ya BAKWATA Mtwara ningewaona wa maana ila ya Mtwara sawa ila ya PONDA wanakanusha shuwaini kabisa, wangekua wahadhiri wa maana wangekanusha kuhususu dua iliyoombwa kwa jina la YESU...
Chadema wameunda serikali?Sheikh Ponda mbona hajahoji uwiano wa kidini wa viongozi hapo CHADEMA?? Au ndio kusema CHADEMA kuna uwiano Sawa?
Vipi kuhusu Shekh wa DarSidhani Kama Itakua Sahihi Yeye Kuwaongelea Waislam Ikiwa Sio Kiongozi Rasmi.
Issa Ponda Ni Mwanazuoni Mzuri Lakini Mihemko ya Kisiasa Imekua Ikimchukua Mara Kwa Mara Na Kuifanya Elimu Aliyonayo Kuwa Useless Kwa Hapa Hapana Ajipange Na Waislam Sio Wakupelekwa Hivo!
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchunguAmeshasema. HIYO NDIO AWALI na hakuna awali mbovu...sasa ni kazi yao kukanusha
Mwislam mimi sihitaji ushawishi wa mtu yeyote. Mimi sio gari kwamba mtu ataniendesha kuelekea anakotaka kwenye mambo ya kidunia. Hata hayo ya mbinguni atanielekeza tu, kufuata ni hiari yangu. Kesi ni kati yangu na mwenyezi Mungu wangu.
Ccm ni chama sio serikaliCCM ndiyo Serikali pekee Duniani inatumia magari ya gharama kuliko Serikali zote Duniani
Najikuta Sitaki Hata Kumzungumzia Jamaa Ni AibuVipi kuhusu Shekh wa Dar
Sikuwahi mfuatilia lakin kama amethubutu hivyo ni changamoto, Tunaongozwa na waigizaji wanaotafuta ugali, misimamo ya kidini hamna wamekua wafuasi wa vibahasha vya pesaNitajie masheikh wakubwa ambao elimu yao sio useless. Vipi yule sheikh wa bakwata aliyeomba dua kwa jina la yesu yeye elimu yake sio useless?