Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Haya mambo yabkuingiza dini kwenye siasa bila exit plan, ndo yameifanya dini ya kiislamu kuhusishwa na ugaidi kwa muda mrefu sana hapa duniani. Kuna wapuuzi wachache wameibadilisha sana taswira ya uislam, Cha ajabu wengine ni viongozi kabisa.

Halafu baadae mtaanza kusema kwamba ni propaganda za watu wa magharibi kuuchafua uislam. Haya bwana kwahiyo waislam msiposhinda kwenye huu uchaguzi itakuwaje Sasa🤔!
 
Wakala wa mashoga na wasagaji, mwenye mpango wa kuuza nchi kikanda, mwenye mpango wa kuuza mashirika yote ya umma, mwenye mpango wa kuuza rasilimali zetu kwa bwana zake, mwenye mpango wa kupewa kodi na vibaraka wake na mabeberu ili watanzania wasilipe kodi. Mtu atakayempa kura huyu jamaa akapimwe akili. Maana najua, hakuna upinzani wa kuongoza nchi hii hata mpaka 2040 huko.
 
Kiukweli wooote wanaotetea ccm na kumshambulia Sheikh Ponda wanajaribu tuu kutetea ugali wao, ila Mimi ni mkristo ila kwa unafiki unaofanywa na viongozi wa dini tunazoabudu, hata church nimeacha kwenda siku hizi, "religion is business in Africa" wacha niwe tu kama mababu zetu kabla ya ukoloni.
 
Vijana waumini wa Ushoga ndo wako wanaimba Lissu..... Watanzania kwa sasa nguvu yetu iko katika miaka mitano mingine ya mafanikio zaidi. Tanzania lazima ifanikiwe na Magufuli
NI MWAKA JANA TU SERIKALI YA CCM ,KUPITIA LUGOLA

WALIWEKA WAZI KUA HATA WAO WANALINDA MASHOGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ponda alikurupuka aisee, hakuna aliyemtuma kusema vile,

Wala hakuna kikao kilichokaa na kupitisha maazimio ya aina ile.
 
Wahadhiri ndio akina nani? Wanafundisha wapi hawa?
Ukiwaona wote wamevimba mashavu kwa ufisadi.
Watajihangaisha bure Ponda ana watu wengi nyuma yao
Anatetea haki kwa watanzania.
Amesimama kutetea Masheikh walio Jela
Hawa mashehe wa ccm hawana wanao wafata wala kuwasikiliza zaidi ya maccm wenzao
Ponda mmoja wanajikusanya mashehe ubwabwa 10
 
Hili suala sasa limefikia pabaya, acha mambo ya serikali kwanza. Lissu hana aibu anawezaje kumrubuni shehe anaye jinasibisha na Imani ya Kislamu apigie kampeni wakati anajua anazo tuhuma za uhanarakati wa kueneza ushoga Tanzania aliotoka na USA na Ulaya. Tuhuma anazojitahidi kwa hila na ulaghai kuzikwepa.

Shehe Ponda anawezaje kuchafua taswira ya Uislamu kiasi hiki?
Tulieni sindano ziwaingie.
Endeleeni kumpandisha majukwaani Sheikh Alhad mwacheni Sheikh Ponda yuko na Lissu.
 
WEWE MUISLAM FALAA ...JPM MBONA ANATUHUMA ZA KUMPIGA LISSU RISASI..KUUMIZA NA KUTESA WATU???


PIMBI WEWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Achana na mambo yasiyo na msingi. Liko jambo la msingi sana hapa la dini ya Allah. Wasilamu dunia yote itashangaa wakimuacha Lissu na Ponda kuendelea kuchezea imani yao kwa jinsi hii.
 
Sheikh Ponda mbona hajahoji uwiano wa kidini wa viongozi hapo CHADEMA?? Au ndio kusema CHADEMA kuna uwiano Sawa??
Wakati tunasubiri ujibiwe na Sheikh Ponda na wewe tupe uwiano wa kidini wa viongozi wa kitaifa...Taasisi, mashirika, idara n.k za serikali.
 
Back
Top Bottom