Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi waislamu wa kweli ambao tunaguswa na dhulma wanayofanyiwa mashekh zetu kule jela imefikia kitendo cha kuwaminya korodani mpaka hawataweza kukutana na wake zao tena!Achana na mambo yasiyo na msingi. Liko jambo la msingi sana hapa la dini ya Allah. Wasilamu dunia yote itashangaa wakimuacha Lissu na Ponda kuendelea kuchezea imani yao kwa jinsi hii
matonge machache ya UBWABWA
Wangeanza kukanusha kauli ya Sheikh mkuu wa Dar es Salaam aliposimama jukwaani na kunadi kuwa hakuna mitano kwanza kuna mitano tena, kinyume na hapo wakae kimya tu waache wananchi waamue. Kama wao hawaoni haja ya kuungana kuwatetea Masheikh wanaaozea jela basi waendelee kutumikia matumbo yao tu.View attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Soma kwa makini ulichoandika, fisadi hapo hapo anataka mali za waislam zirudi, vipi wale walioziuzaMzee ponda ni fisadi wa mali za waislam, anahasira za kurejeshwa mali za waislam, ni kibaraka wa magaidi ka alivyo lisu
Mimi ni Mkristu ila nina mahusiano makubwa sana na Waislamu kifamilia, kikazi na kijamii. Hakuna Muislamu wa kweli ambaye hajakwazwa na utawala wa Magufuli. Kwa uzoefu wangu wa ninavyowafahamu Waislamu wanaojitambua wako na Sheikh Ponda kwenye mioyo yao.Watu wanateswa bila huruma mpaka wengine wamekua vichaa kwa mateso makali ya kikatiliSisi waislamu wa kweli ambao tunaguswa na dhulma wanayofanyiwa mashekh zetu kule jela imefikia kitendo cha kuwaminya korodani mpaka hawataweza kukutana na wake zao tena!
Wangine wamekufa na kufukiwa kama mizoga, bado tu tumpende muovu hivi?
Sisi waislamu wa kweli tunajisikia huzuni kwa hilo sio tu waislamu wa Tanzania Bali ulimwengu mzima
Wallahi naapa waislamu wanafiki pekee Ndio watakaompigia kura Katili Magufuli
Waumini wanao muamini Allah na Siku ya mwisho na Familia zetu tutampigia kura Lissu
Wanaume msiokuwa na nywele mkyundn, mna papara na viherehere vya kuquote vitu msivyoweza kuvielewa.Nyie wanawake weupe mna gubu sana. Ponda kashaagiza waisilamu wapenda haki wapigie kura upande wa haki. Tunasubiri tume isiyo huru ya uchaguzi ichezee matokeo ya kweli ili tujue tunatokaje hapa.
APANA NDUGU, HAKUNA UKWELI NA ULISEMALO, KWANZA TATIZO AU SHIDA YOYOTE ITOKEYAYO NCHINI INAWAKWAZA WANANCHI WOTE NA HAICHAGUI KABILA WALA DINI. KAMA WANANCHI WENGINE TUKO TUNAO MUUNGA MKONO RAISI NA WAKO WANAO MPINGA NA KUMUUNGA TL AU WAGOMBEA WENGINE. SHEIKH PONDA HANA WAFUASI WENGI , ANGEJUWA ANA WAFUASI WENGI ASINGE CHEZEWA NA POLISI.Mimi ni Mkristu ila nina mahusiano makubwa sana na Waislamu kifamilia, kikazi na kijamii. Hakuna Muislamu wa kweli ambaye hajakwazwa na utawala wa Magufuli. Kwa uzoefu wangu wa ninavyowafahamu Waislamu wanaojitambua wako na Sheikh Ponda kwenye mioyo yao.
Hayo waliyoyaongea kwenye vyombo vya habari ni biashara tu. Yaani Polepole anawapa hela, wanakwenda wanaongea yanaisha japo wanazodolewa. Lakini kura ya Sheikh Kipozeo na wenzie ni kwa Tundu Lissu, halina ubishi
Wala mufti hana madaraka hayo yeye ana madaraka na Bakwata na wafuasi wao ndio maana hata Ramadhan na Eid kuna makundi mawili. Ponda kaongea kama muislamu na anao watufuasi wake. sisi waislamu njaa ndio shida yetu na bahati mbaya wenye njaa sana wanaojiita mashekh wanachukiana wenyewe kwa wenyewe hata akimuona mwenzake anakubalika zaidi. Mashekh wetu we nenda kwa shekh yoyote halafu msifie shekh mwingine atakunja uso hapohapo na kuropoka.Ponda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Mimi ni muislamu Sala tano Amiin nakwambia tumechoka na Bakwata kwa ubadhirifu wa Mali za waislamu na kufumbia macho kero zetuAPANA NDUGU, HAKUNA UKWELI NA ULISEMALO, KWANZA TATIZO AU SHIDA YOYOTE ITOKEYAYO NCHINI INAWAKWAZA WANANCHI WOTE NA HAICHAGUI KABILA WALA DINI. KAMA WANANCHI WENGINE TUKO TUNAO MUUNGA MKONO RAISI NA WAKO WANAO MPINGA NA KUMUUNGA TL AU WAGOMBEA WENGINE. SHEIKH PONDA HANA WAFUASI WENGI , ANGEJUWA ANA WAFUASI WENGI ASINGE CHEZEWA NA POLISI.
Mpeleekeni Lissu mpayakaji aone asijifanye ni msahaulifu kilichotokea mwaka 2015. Na mwaka 2020 kitajirudia mara tatu zaidi. Jambo la muhimu ni kuhakikisha kibaraka huyu wa mabeberu na mashago hatoroki nchi baada ya 28/10.
Asije akapata nafasi ya kwenda kutumiwa na yule rais wa mashoga dunia kuzunguka ulaya na marekani akiichafua nchi kwa mambo ya kutunga ya uongo na uzushi. Fursa hii ya huyu adui wa Taifa hili kujilete mwenyewe itumiwe vizuri.
20452025