Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kwani Kiongozi halisi wa Umma wa Waislamu ni nani? Yuko wapi Sheikh anayeheshimika na kukubalika miongoni mwa Waislamu mwenye moral authority ya kusema na kukemea kwamba; "Alhad Musa Salum umekosea, BAKWATA mmekosea, Ponda Isa Ponda umekosea na hata Hilal Shaweji aka Kipozeo, Habib Mazinge na wenzenu nyote mmekosea"
Aje Sheikh kutoka Tanga au Kondoa au Kigoma au Mwanza au wawaite Masheikh kutoka Malindi Kenya waje kuwapatanisha Waislamu wenzao na wawaonye waache kuugawa umma, kwamba kwenye mambo ya siasa wasiingilie maamuzi ya Waslamu binafsi. Kwa hapa Dar es Salaam bado sijamuona atakayekubalika kufanya mediation hiyo