Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
BAKWATA ni tawi la CCMWametoshwa. Hawana namna. Mufti ni kiongozi wa Bakwata siyo waislam.
Njaa imewapanda kichwani ndiyo maana hawaelewaniKwani Kiongozi halisi wa Umma wa Waislamu ni nani? Yuko wapi Sheikh anayeheshimika na kukubalika miongoni mwa Waislamu mwenye moral authority ya kusema na kukemea kwamba; "Alhad Musa Salum umekosea, BAKWATA mmekosea, Ponda Isa Ponda umekosea na hata Hilal Shaweji aka Kipozeo, Habib Mazinge na wenzenu nyote mmekosea"
Aje Sheikh kutoka Tanga au Kondoa au Kigoma au Mwanza au wawaite Masheikh kutoka Malindi Kenya waje kuwapatanisha Waislamu wenzao na wawaonye waache kuugawa umma, kwamba kwenye mambo ya siasa wasiingilie maamuzi ya Waslamu binafsi. Kwa hapa Dar es Salaam bado sijamuona atakayekubalika kufanya mediation hiyo
Sisi waislamu wa Haqi tupo pamoja na Sheikh Ponda kura zetu kwa lissuKwani Kiongozi halisi wa Umma wa Waislamu ni nani? Yuko wapi Sheikh anayeheshimika na kukubalika miongoni mwa Waislamu mwenye moral authority ya kusema na kukemea kwamba; "Alhad Musa Salum umekosea, BAKWATA mmekosea, Ponda Isa Ponda umekosea na hata Hilal Shaweji aka Kipozeo, Habib Mazinge na wenzenu nyote mmekosea"
Aje Sheikh kutoka Tanga au Kondoa au Kigoma au Mwanza au wawaite Masheikh kutoka Malindi Kenya waje kuwapatanisha Waislamu wenzao na wawaonye waache kuugawa umma, kwamba kwenye mambo ya siasa wasiingilie maamuzi ya Waslamu binafsi. Kwa hapa Dar es Salaam bado sijamuona atakayekubalika kufanya mediation hiyo
Bakwata ni tawi la Ccm. Waislamu napenda haki tunamuunga mkono ponda. Ukienda kwa mufti hata mkata MAJANI KAVAA LI T SHIRT LA CCMPonda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Mwislam mimi sihitaji ushawishi wa mtu yeyote. Mimi sio gari kwamba mtu ataniendesha kuelekea anakotaka kwenye mambo ya kidunia. Hata hayo ya mbinguni atanielekeza tu, kufuata ni hiari yangu. Kesi ni kati yangu na mwenyezi Mungu wangu.My friend ponda ana ushawishi kwa waislamu ingawa sii wote.
Siyo wahadhiri wa kiislam bali ni wahadhiri wa matumbo yaoView attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Jamani hapa tusichanganye hao mashehe wanaopinga kauli ya sheponda embu tuwapime kwa hayaDah hata huyu Sheikh Kipozeo, sheikh wetu wa mtaa akipita kijiweni kwetu tunamuona ni mtu-huru wa kusema akionacho ni swafi leo hii anaondoa uhuru wake kisa CCM Mpya !
Nitajie masheikh wakubwa ambao elimu yao sio useless. Vipi yule sheikh wa bakwata aliyeomba dua kwa jina la yesu yeye elimu yake sio useless?Sidhani Kama Itakua Sahihi Yeye Kuwaongelea Waislam Ikiwa Sio Kiongozi Rasmi.
Issa Ponda Ni Mwanazuoni Mzuri Lakini Mihemko ya Kisiasa Imekua Ikimchukua Mara Kwa Mara Na Kuifanya Elimu Aliyonayo Kuwa Useless Kwa Hapa Hapana Ajipange Na Waislam Sio Wakupelekwa Hivo!!
Namuona Alhad pembeni, hii Ni Team BAKWATA ' ni vyema nao wangejiweka wazi kama ponda kuliko kujifuchaficha(unafiki)View attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Ponda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Ponda ameshamaliza ya moyoni mwake, waendelee kumkumbusha hata Alhadi, shekhi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam naye asiingie kwenye siasa maana anaonekana onekana kupiga kampeni. Atatuletea matatizo.
Leo hii kauli moja tu ya Ponda imewatoa nyoka wote pangoniView attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu..