Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

Tafuta pesa ni kauli ya kijinga sana na ya kihuni. Bora useme tafuta utajiri, tafuta mafanikio ya kipesa n.k.

Jitu lizima linasema, "tafufuta hela", utadhani hela inaokotwa jalalani. Kumanyoko kwelikweli yaani!
Watu weusi na Waswahili wana utamaduni na mtazamo wa hovyo uhusu pesa, ndio maana huwa wanaona ufahari na kupenda kuonyesha maburungutu ya pesa kila mahali na kuomba omba pesa.
 
Tatizo ni kwamba kitu kikishaoewa airtime basi watu wengi wanaikimbila kukifanya.

Cc ChiefGolove.
 
Tafuta pesa ni kauli ya kijinga sana na ya kihuni. Bora useme tafuta utajiri, tafuta mafanikio ya kipesa n.k.

Jitu lizima linasema, "tafufuta hela", utadhani hela inaokotwa jalalani. Kumanyoko kwelikweli yaani!
Wengi wanaosema hivyo, hawajapitia njia halali; wanataka na wengine wapitie njia hizohizo haramu ili wawe wengi.
 
Tafuta pesa ni kauli ya kijinga sana na ya kihuni. Bora useme tafuta utajiri, tafuta mafanikio ya kipesa n.k.

Jitu lizima linasema, "tafufuta hela", utadhani hela inaokotwa jalalani. Kumanyoko kwelikweli yaani!
Sasa hapo yawezekana uwasilishaji wa hoja unautafsiri vibaya.Kutafuta hela ni nahau/msemo/mbinu ya msemo wa kiswahili.Huwezi kupata hela bila kufanya kazi.Ndiyo misingi inayokusudiwa.Kwani mtu akisema "anaenda mwayo" ndiyo maana yake "anatembea kuelekea sehemu inaitwa mwayo"?
 
They bera wochi thea baki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…