Kauli ya Waziri Mkuu imebeba ujumbe mzito si ya kubeza. Jaribu kufikiri kwa upana

Kirusi cha corona kina kaa kwenye nguo kwa mda wa siku ngap na barakoa zinasafirishwa n kutufikia kwa siku ngap vitu vingine tujiulize maelezo mengii kma ni vita ya uchumi ni kwetu tu au Tanzania kuna nn cha pekee mpka tupigwe vita ya kiuchumi kenya tu hatuwawez kiuchumi ndio tuje tuwe n vita n wazungu akili yang imegoma kulishwa ujinga
Wewe unayegoma kulishwa ujinga ni mjinga tangia hapo.aliyetengeneza hichi kirus unamjua.anaweza kikiwekea mazingira ya kusurvive anavyotaka yeye. Tatizo watu hamwelewi nia nisikio la kufa.kila mara mnaambiwa hichi kirus kinaundergo mutation kila kikiwa kwenye mazingira mapya mbona husutuki ili na unasema umegoma kulishwa ujinga.shida hapa ni uelewi na umeshiba utaki kijibidisha kusoma.kirus kilianza covid 19 sasa hivi ni kipya kina n480 kutoka n218 na sasa ni covid 21 hujastuka tu
 
Kirusi cha corona kina kaa kwenye nguo kwa mda wa siku ngap na barakoa zinasafirishwa n kutufikia kwa siku ngap vitu vingine tujiulize maelezo mengii kma ni vita ya uchumi ni kwetu tu au Tanzania kuna nn cha pekee mpka tupigwe vita ya kiuchumi kenya tu hatuwawez kiuchumi ndio tuje tuwe n vita n wazungu akili yang imegoma kulishwa ujinga
Labda kama.wanataka kinyang'anya Mlima Kilimanjaro au Serwngeti
 
Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na mwenzetu ktk serikali au chama. Kuna wanaoongea kwa hofu kwanini PM atoe kauli hii.

Kuna wanaofikiri nje box ambao Ni wachache na mimi ni mmoja wao.

Mosi, Watu wanahoji TBS kazi yao Ni nini km Waziri Mkuu anatoa kauli ya mashaka kama hii. Waziri mkuu anajua uwezo wa TBS katika kupima na kujiridhisha ubora wa bidhaa km hii. Hapa kuna mambo mawili ambayo mashaka ya Waziri Mkuu hayajagusia:
a. Je, Ni barakoa SALAMA lakini tatizo tu hazina ubora kwa maana hazina uwezo wa kuzuia kirusi kupenya.
b. Ni barakoa zenye UBORA lakini tayari zina maambukizi na si salama kwa matumizi.
Haya ndiyo ambayo unaweza kuyafikiria na kujiuliza Je, TBS wana uwezo wa kudhibiti yote mawili? Ubora na Usalama.

Pili, simsemei Waziri Mkuu, lakini fikra zangu zinanielekeza kuona kwamba hii ni kauli ya tahadhari kwasababu msimamo wa serikali yetu kimataifa unaeleweka juu ya suala la korona. Ni msimamo ambao si kuwafurahisha. Korona ni suala lenye malengo ya kiuchumi ndani yake, lengo ambalo Tanzania tunalikwamisha. Kwahiyo wanaweza kutumia njia ya kuingiza barakoa zisizo salama ili maambukizo yawe juu, vifo viwe vingi ili kuonyesha dunia kuwa tumefeli, na hivyo kwenda kusujudu kwao na kupokea chanjo ambayo pengine nayo si Salama.

Wametengeneza tatizo na wao ndiyo wanaokuja na suluhisho. Suluhisho Ni chanjo ambayo itawaingizia matrilioni ya shilingi, na pengine chanjo yenyewe si salama., Tukajikuta tunanunua mauti yetu kwa pesa zetu.

Tatu, Waziri Mkuu Ni mtu nwenye access ya habari nyeti za ndani na nje ya nchi, hivyo yuko informed vya kutosha kuhusu kinachoendelea hata kwa nchi majirani. Si nchi zote jirani zinakubaliana na msimamo wa serikali yetu. Wanaweza kutumika pia.

Chakula ulichopika mwenyewe nyumbani Ni salama kuliko cha hotelini au mghahawani.

Wakati mwingine kuna kauli zinatolewa na serikali Ni kwasababu ya tahadhari na nia njema. Kwa hali km hii Ni vyema tukadoubt kila kitu juu ya korona na tukachukua tahadhari.

Ushauri: Serikali inapaswa kutoka hadharani na kutangaza hadharani korona ipo na inauwa.Inatamkwa tu kuchukua tahadhari bila kukiri uwepo wake.

Kuna mwananchi kila kitu lazima asikie serikali inasema ndiyo anaona ni jambo siriazi.

Serikali ina plani gani baada pengine hii ya kujifukiza na tiba asili kufeli. Imejipanga kiasi gani?

Watanzania tuchukue tahadhari, tuache mzaha, si lazima kila kitu uambiwe na serikali.
Maneno maneno tu yasiyo na substance yanaifanya mada kuwa mfu.
Siku hizi seikali inaendeshwa kwa hisia?
Kama mnonjwa anaweza kupimwa hospitali kuwa ana covid, barakoa zinazoingizwa toka nje je zenenyewe haziwezi kupimwa?
Tunaingiza siasa hata pasipostahili.
This is a non issue.
 
Nimezungumzia vita ya uchumi kwa maana ya mauzo ya chanjo ya korona. Umesahau kuwa uchumi wetu Ni rasilimali zetu,unafikiri mzungu hawazihitaji.KWANINI TUNA GESI ASILIA LAKINI LEO HII HATUYAONI MANUFAA YAKE.Kama umesoma kwa makini.

Kuhusu uhai wa kirusi, sayansi, teknolojia imekua sana hakuna linaloshindikana. Mbona Ni jambo jepesi tu.
Ili mtu aelewe kwanza anatakiwa aondoe chuki au kupenda kulikopitiliza ndipo afanye judgement. Wengi hapa wanatafuta cha kukosoa au kusifia wakiongozwa na hisia juu ya muhusika si uhalisia wa fikra.

Mtu anauliza kirusi kinakaa muda gani kwenye nguo, mtu haoni hata umuhimu wa uwepo wetu kwenye uchumi wa dunia. Hawazi kama hatuna impact kwenye uchumi kwann tuna mikopo mikubwa kutoka bank ya dunia? Kwann maamuzi yetu ya kiuchumi huwa yanatolewa maoni hata na wanauchumi wa mataifa makubwa? Kwann leo tukiamua tuzaliane bila kujali uzazi wa mpango dunia nzima itatushukia?
 
Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na mwenzetu ktk serikali au chama. Kuna wanaoongea kwa hofu kwanini PM atoe kauli hii.

Kuna wanaofikiri nje box ambao Ni wachache na mimi ni mmoja wao.

Mosi, Watu wanahoji TBS kazi yao Ni nini km Waziri Mkuu anatoa kauli ya mashaka kama hii. Waziri mkuu anajua uwezo wa TBS katika kupima na kujiridhisha ubora wa bidhaa km hii. Hapa kuna mambo mawili ambayo mashaka ya Waziri Mkuu hayajagusia:
a. Je, Ni barakoa SALAMA lakini tatizo tu hazina ubora kwa maana hazina uwezo wa kuzuia kirusi kupenya.
b. Ni barakoa zenye UBORA lakini tayari zina maambukizi na si salama kwa matumizi.
Haya ndiyo ambayo unaweza kuyafikiria na kujiuliza Je, TBS wana uwezo wa kudhibiti yote mawili? Ubora na Usalama.

Pili, simsemei Waziri Mkuu, lakini fikra zangu zinanielekeza kuona kwamba hii ni kauli ya tahadhari kwasababu msimamo wa serikali yetu kimataifa unaeleweka juu ya suala la korona. Ni msimamo ambao si kuwafurahisha. Korona ni suala lenye malengo ya kiuchumi ndani yake, lengo ambalo Tanzania tunalikwamisha. Kwahiyo wanaweza kutumia njia ya kuingiza barakoa zisizo salama ili maambukizo yawe juu, vifo viwe vingi ili kuonyesha dunia kuwa tumefeli, na hivyo kwenda kusujudu kwao na kupokea chanjo ambayo pengine nayo si Salama.

Wametengeneza tatizo na wao ndiyo wanaokuja na suluhisho. Suluhisho Ni chanjo ambayo itawaingizia matrilioni ya shilingi, na pengine chanjo yenyewe si salama., Tukajikuta tunanunua mauti yetu kwa pesa zetu.

Tatu, Waziri Mkuu Ni mtu nwenye access ya habari nyeti za ndani na nje ya nchi, hivyo yuko informed vya kutosha kuhusu kinachoendelea hata kwa nchi majirani. Si nchi zote jirani zinakubaliana na msimamo wa serikali yetu. Wanaweza kutumika pia.

Chakula ulichopika mwenyewe nyumbani Ni salama kuliko cha hotelini au mghahawani.

Wakati mwingine kuna kauli zinatolewa na serikali Ni kwasababu ya tahadhari na nia njema. Kwa hali km hii Ni vyema tukadoubt kila kitu juu ya korona na tukachukua tahadhari.

Ushauri: Serikali inapaswa kutoka hadharani na kutangaza hadharani korona ipo na inauwa.Inatamkwa tu kuchukua tahadhari bila kukiri uwepo wake.

Kuna mwananchi kila kitu lazima asikie serikali inasema ndiyo anaona ni jambo siriazi.

Serikali ina plani gani baada pengine hii ya kujifukiza na tiba asili kufeli. Imejipanga kiasi gani?

Watanzania tuchukue tahadhari, tuache mzaha, si lazima kila kitu uambiwe na serikali.

Ni kweli.
 
Kirusi cha corona kina kaa kwenye nguo kwa mda wa siku ngap na barakoa zinasafirishwa n kutufikia kwa siku ngap vitu vingine tujiulize maelezo mengii kma ni vita ya uchumi ni kwetu tu au Tanzania kuna nn cha pekee mpka tupigwe vita ya kiuchumi kenya tu hatuwawez kiuchumi ndio tuje tuwe n vita n wazungu akili yang imegoma kulishwa ujinga
Huijui nchi yako ndo maana unauliza umuhimu wa uchumi wake duniani kama upo au la? Ungekuwa hauna umuhimu usingewahi kuwa koloni. Kwenye vita vya kugawana makoloni hata nchi yako ilikuwa sehemu ya mgawo kwa wakubwa. Hilo swali la Tz tuna nn huwa linakera sana esp likitoka kwa mzawa.

Hata hujiulizi watu m50+ ni soko la viwanda vingapi huko duniani na wakikuza uchumi wataimpact vp soko la dunia. Madhara ni yapi na faida ni zipi kwa watu m50+ kuamua wanaloamua juu ya uchumi wao.
 
Maneno maneno tu yasiyo na substance yanaifanya mada kuwa mfu.
Siku hizi seikali inaendeshwa kwa hisia?
Kama mnonjwa anaweza kupimwa hospitali kuwa ana covid, barakoa zinazoingizwa toka nje je zenenyewe haziwezi kupimwa?
Tunaingiza siasa hata pasipostahili.
This is a non issue.
TBS wanapima kila unit iliyopo kwa kontena yote au wanapima sampo tu. Na hii Ni spesho kesi kwa wakat maalumu.
 
Ondoa upumbavu wako wewe! Watanzania kama wewe ni hasara kubwa kwa Taifa.
Umemaliza hoja,hujui hata sayansi ya virusi.hujui hata kirusi Cha Covid 19 kilikuja kwa code gani na Sasa kimeupgrade kiasi gani.

Wapumbavu ndiyo wanaita watu wajinga au wapumbavu km wao.

Hujui chochote kuhusu Covid 19 na Sasa Ni Covid 21,kwa hili we Ni mwanafunzi wangu.Nyie mnadhani rais au Pm wanaropoka tu.
Pamoja na kwamba Wana matatizo ya kiungozi ktk kupambana na korona. Siwatetei,Ila hii Ni sayansi.
 
Ondoa upumbavu wako wewe! Watanzania kama wewe ni hasara kubwa kwa Taifa.
Kwa Mara nyingine acha nikupe pole kwasababu huna ujualo Zaid ya hisia zako.pole mkuu.
 
Kirusi cha corona kina kaa kwenye nguo kwa mda wa siku ngap na barakoa zinasafirishwa n kutufikia kwa siku ngap vitu vingine tujiulize maelezo mengii kma ni vita ya uchumi ni kwetu tu au Tanzania kuna nn cha pekee mpka tupigwe vita ya kiuchumi kenya tu hatuwawez kiuchumi ndio tuje tuwe n vita n wazungu akili yang imegoma kulishwa ujinga
Wewe Ni wa kucheka kabisa eti kinakaa kwa nguo kwa muda gani.
Elimu
Elimu
Elimu
 
Nimezungumzia vita ya uchumi kwa maana ya mauzo ya chanjo ya korona. Umesahau kuwa uchumi wetu Ni rasilimali zetu,unafikiri mzungu hawazihitaji.KWANINI TUNA GESI ASILIA LAKINI LEO HII HATUYAONI MANUFAA YAKE.Kama umesoma kwa makini.

Kuhusu uhai wa kirusi, sayansi, teknolojia imekua sana hakuna linaloshindikana. Mbona Ni jambo jepesi tu.
Tuna gesi asilia na hatuoni manufaa yake kwa sababu ya viongozi tuliowapa mamlaka ya usimamizi kujali matumbo yao tu na ubinafsi, siyo kwa sababu ya mzungu. Hivi mbona tumezidi kuwasingizia wazungu kwa matatizo tuanzishayo wenyew?
 
Unajaa mulemule mkuu,Ni nani anayefanya hiyo lobing ili apate hizo rasilimali.Ni mzungu anazitamani rasilimali zetu na anazijua akili za viongozi wetu hivyo ni rahisi kuwaingiza mkenge.
Pili huna teknolojia huna mitambo wataachaje kukupiga kwa mfano.Wazungu wanaokuja hapa kimkakati .Huwezi kuwatetea kwa lolote.Labda basi uniambie duniani ukoloni na ubepari haupo.Basi tutaelewana kuwa wazungu ni watu wazuri hawana tatizo na rasilimali zetu.

Mpaka leo mahali popote duniani inapogundulika almasi basi dunia nzima inajua hiyo Ni mali ya kina Williamson. Wamehodhi.
 
Ondoa upumbavu wako wewe! Watanzania kama wewe ni hasara kubwa kwa Taifa.
Usipaniki mkuu,leta hoja,kwamba sisi lazima tuwasikie wazungu kwanza ndiyo tuongee kwasababu hatuna tujualo. Kila kitu wafanye wengine kwanza.

Hii Ni Slavery Mentality.
 
Back
Top Bottom