Kauli ya Waziri Mkuu imebeba ujumbe mzito si ya kubeza. Jaribu kufikiri kwa upana

Hili la kushuku limepata nguvu kutokana na msimamo wa nchi yetu kuhusu korona.Kila mtu kila nchi kila shirika wema kwa wabaya wanaitolea Tz macho.

Ni km tuko kwenye target ya kufanyiwa chochote.
 

Conspiracy theorist, wewe na wenzio ni watu hatari sana!! Hupaswi tu kusema “barakoa zina virusi” halafu ukaishia hapo. Sasa hivi una taarifa za corona na madhila yake, ni kwa sababu kuna watu wasiokuwa wewe walifanya utafiti. Nini utafiti wako kuwa barakoa hizi zina virusi??

Unajenga tabia ya kulaumu wengine kwa madhaifu yako mwenyewe. Usizime taa ya umeme ili mshumaa wako usemwe una mwanga mkubwa zaidi! Hakuna mnalojua zaidi ya kusema kuna vita ya kiuchumi, tunaonewa wivu nk??? Unaweza kusema hata kitu kimoja ambacho nchi za wengine wamekopi kwetu??
 
Umesoma andiko langu na hukuelewa chochote.Labda ukadome Tena.

Kimsingi hakuna taifa lolote ulimwenguni hapa ambalo haliko ktk vita ya uchumi.Hilo Ni taifa mfu.Labda ili bongo ndogo ziweze kuelewa tutumie neno mapambano ya kiuchumi.

Rasilimali zetu kila mtu anazitaka. Hujiulizi kwanini siku zote Kenya huwa wanajinasibu kuwa Mlima Kilimanjaro uko kwao. Au mbuga ya Serengeti iko Kenya.Unafikiri Ni bahati mbaya.

Hujiulizi kwanini India, Kenya, SA walikuwa wao ndio wenye akiba na wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani ilhali madini hayo yanapatikana Tz pekee.

Ni kwanini Misri hataki Ethiopia wajenge bwawa la kufua umeme ktk mto Nile ilihali mto huo umepita Ethiopia.

Vita ya uchumi Ina maana na uwanja Moana sana. ILA ukiwaza kitanzania utabaki kumuwaza Magufuli tu.
 
Kuna barakoa za light blue zilionekana zimetoka China, nani aliruhusu ziingie na kwanini hakuwajibishwa kama msimamo wetu ni kutumia za kwetu
 
Kuruka ruka kwa maharage ndo kuiva kwake..Mwanzoni hakuna Koonaa..Baadaye kuna watu walichanjwa huko wametuletea Koona...Baadaye kwanza baakoa zina Koonaaa...Mwishoo tutumie baakoa zilizotengenezwa nchini.......Msambaa mimi nasubiri kitachofuataaa😀😀
 
 
Ukivaa barakoa huna imani
Wanakubeza
Unapuuzwa
Kama mh alivyowapa makavu live masister waliovaa barakoa zao UCHWARAView attachment 1708217
Huyu Baba!!!

Watanzania hebu tuwe waelewa malumbano ya nini asemacho bwana huyu hayatatuokoa katika janga hili. JIFIKIRIE wewe mwenyewe, JALI na KULINDA uwapendao. Nimejifunza kitu kwa familia za hawa waliofiliwa na wapendwa wao hususani ambao ni waajiriwa au watumishi........Ikumbukwe tu kuwa pale tu taarifa za kifo chako zinapofika ofisini au kwa mwajiri wako tayari kiti chako kinapewa wa kuki-replace... kama ndio uko nyumba ya serikali barua ya kuitaka familia yako ikabidhi nyumba hiyo inaanza kuandaliwa. Maumivu na mashaka ya maisha ya baadae wanayafeel watu wako wa karibu/familia yako. Sasa wewe kaa kusubiria bwana huyu akupe maelekezo.
 
kauli ya mkuu ina walakin lakini vile vile ukifikwa na wanayopitia wafiwa utapata kuelewa kuchukua hatua ni muhimu
 
Mambo ni mengi muda ni mchache
 
Concentrate at what you are good at-polishing your apple.
Mambo ya wanasayansi waachie wenyewe.
Mnatuaibisha kwa arguments zenu za kijinga zisizoenda shule.
Hata maabara hamjui ziko wapi.
 
Mjinga kila kitu anaona ni ujinga,hujakosea.Huna ujualo kuhusu virus so hiki Cha korona tu hujui chochote kuhusu virus.
Ndio maana nmekuambia...ACHA UJINGA


huyu waziri wako, na Mkubwa wake, hao wote wanategemea Taarifa sahihi kutoka Kwetu sisi watu wa Afya.


Hayo mengine ni porojo
 
Ndio maana nmekuambia...ACHA UJINGA


huyu waziri wako, na Mkubwa wake, hao wote wanategemea Taarifa sahihi kutoka Kwetu sisi watu wa Afya.


Hayo mengine ni porojo
Mkuu ni maajabu wanasiasa wanaelezea virus wanavyomutate wakati hata bunsen burner hawajui ni nini!
 
Ndio maana nmekuambia...ACHA UJINGA


huyu waziri wako, na Mkubwa wake, hao wote wanategemea Taarifa sahihi kutoka Kwetu sisi watu wa Afya.


Hayo mengine ni porojo

Mtu wa afya ambaye hata ufahamu kuhusu kovidi HUNA ndiyo rais akutegemee mpumbavu km wewe kupata taarifa , acha vituko.

Kwa hiyo mpaka sasa hivi umeshatoa taarifa sahihi zipi. Total trash
 
Concentrate at what you are good at-polishing your apple.
Mambo ya wanasayansi waachie wenyewe.
Mnatuaibisha kwa arguments zenu za kijinga zisizoenda shule.
Hata maabara hamjui ziko wapi.
Mpumbavu wewe,zilizoenda shule ni zipi ulizoweka humu? Km siyo kuharisha kwa mdomo halafu HUNA lolote la tofauti.

Kumwita mtu mjinga halafu huwezi kuthibitisha ujinga wake kwa hoja zilizoshiba ,HUNA jina jingine zaid ya mpumbavu uliyetopea.Stupid!!!
 
Ukikua utaelewa maana
 
TBS wanapima kila unit iliyopo kwa kontena yote au wanapima sampo tu. Na hii Ni spesho kesi kwa wakat maalumu.
Aiseee! Kwa hiyo barakoa zenye korona zinakuwa zimejificha kiasi kwamba TBS, TFDA na TMDA wote wasizipate?
Kama ndivyo, hizi taasisi ni redundant, zifutiliwe mbali kama ilivyofutwa CDA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…