Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Itakuwa umeelewa sana mada au hujaolewa kabisa.Hizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.
Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.
Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.
If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.
Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.
Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
Wanachokifanya leo jeshi la polisi kuzunguka mtaani.Itakuwa umeelewa sana mada au hujaolewa kabisa.
ICC ipi?Vitisho vya kuua watu 29 Oct 2025 ndio imekua faraja ya Viongozi wa chama tawala Kwa Sasa baada ya kuona Hali ni ngumu na halisi.
Wamepoteza matumaini kabisa na hofu imewajaa.
Hua najiuliza hivi Hawa Viongozi hua ni Viongozi wa watu ama Ni Viongozi wa kuongozana wao Kwa wao?
Mbona hawawajali watu wao na mbona wanawatishia watu wao?
Anyway Dunia imebadiika sana Kwa kuwasaidia TU ni kwamba kauli zao za kupanga kuua ni mtaji mkubwa kwa mahakama ya ICC.
Na kwa ujinga wa uchaguzi wa Tanzania hua unavutia sana vyombo na taasisi za kimataifa kwa mtazamo wa Hali ya hatari.
Na kwa Teknolojia ya Sasa Kila kitu linakua hadharani Dunia nzima ndani ya sekunde.
Tuache kukalili na tusiishi kwa mazoea,sio Kila siku ni jumapili.
Unaposema halipo unakusudia nini wewe mr clean?Hizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.
Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.
Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.
If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.
Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.
Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
He may be an idiot, but not “useful idiot” like Samia. Lissu ana msimamo wake, he stands for it.,,,,,, honestlyWanachokifanya leo jeshi la polisi kuzunguka mtaani.
Amini usiamiamini.
Kunielewa mimi unahitaji elimu; siyo ya magumashi.
Na uwa siandikj ujinga, 90% ya post zangu ni analytical or evaluation of the situation; with predicted outcome.
9/10 uwa nakuwa right
Mimi siandiki ujinga humu only that kuna watu wachache wenye uwezo wakwenda sambamba na mimi.
If you are analytical of a situation results take time to occur.
Kama ninavyokueleza wanachofanya polisi leo kudhurura nimewafundisha; likewise ni mimi pia wa kwanza kusema hadi muda wa uchaguzi ukifika Hakuna mtu ata taka kumsikia Samia.
But then all this to me is just simple, akili zangu naumiza kwa mambo magumu ya wazungu.
Siasa za Tanzania simple.
Sikulazimishi kunisoma, lakini mimi siandiki ujinga na 80-90% uwa right in the long run. Sio kwa bahati ila kwa elimu.
Sasa fanyeni makosa taahira kama Lissu kudhani ndio mwokozi wenu.
Lissu is just an idiot, shida ya Tanzania ni mamlaka ya raisi na poor civil service ndio tuko hapa
At the end of the day of ethical thinking; ukweli ni kwamba whatever the outcome doesn’t impact my life.
Lengo la michango yangu kwa asilimia kubwa is to raise the JF curiosity.
Otherwise vita vyangu vya maisha vingine kabisa na siasa za Tanzania.
But then someone has to tell you the hard truth.
....... focus.........Wanachokifanya leo jeshi la polisi kuzunguka mtaani.

Umeandika upuuzi!!Hizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.
Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.
Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.
If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.
Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.
Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
https://www.imdb.com/list/ls050515402/U
Unaposema halipo unakusudia nini wewe mr clean?
Analytics gani bwana ache ku massage your ego.Wanachokifanya leo jeshi la polisi kuzunguka mtaani.
Amini usiamiamini.
Kunielewa mimi unahitaji elimu; siyo ya magumashi.
Na uwa siandikj ujinga, 90% ya post zangu ni analytical or evaluation of the situation; with predicted outcome.
9/10 uwa nakuwa right
Mimi siandiki ujinga humu only that kuna watu wachache wenye uwezo wakwenda sambamba na mimi.
If you are analytical of a situation results take time to occur.
Kama ninavyokueleza wanachofanya polisi leo kudhurura nimewafundisha; likewise ni mimi pia wa kwanza kusema hadi muda wa uchaguzi ukifika Hakuna mtu ata taka kumsikia Samia.
But then all this to me is just simple, akili zangu naumiza kwa mambo magumu ya wazungu.
Siasa za Tanzania simple.
Sikulazimishi kunisoma, lakini mimi siandiki ujinga na 80-90% uwa right in the long run. Sio kwa bahati ila kwa elimu.
Sasa fanyeni makosa taahira kama Lissu kudhani ndio mwokozi wenu.
Lissu is just an idiot, shida ya Tanzania ni mamlaka ya raisi na poor civil service ndio tuko hapa
At the end of the day of ethical thinking; ukweli ni kwamba whatever the outcome doesn’t impact my life.
Lengo la michango yangu kwa asilimia kubwa is to raise the JF curiosity.
Otherwise vita vyangu vya maisha vingine kabisa na siasa za Tanzania.
But then someone has to tell you the hard truth.
Like I said, kunielewa mimi inataka uwezo.Umea
Umeandika upuuzi!!
Hiyo kesi waliyompa Lissu, imetokana na mimi kuandika sheria anazovunja.He may be an idiot, but not “useful idiot” like Samia. Lissu ana msimamo wake, he stands for it.,,,,,, honestly
Hope una hangover bado just sleep.https://www.imdb.com/list/ls050515402/
Jafibu kuangalia hizo movies, yes I know hapo nyingi ni fictions. Iła kuna serious CIA movies na changamoto zao za kulinda US interest.
Halafu angalia hizo movies sio zote serious, ila asilimia kubwa ni uhalisia to how things works.
☝️For that all to make sense uwe na abc ya elementary politics, finance, economics and willing to read books of civil servants.
Kwa hili jukwaa you might as well take my words.
Sitaki kuandika unpopular comments zangu, sijisemei ninapoandikaga 90% ya michango ya jukwaa la siasa ni ujinga.
But then na mimi pia ni mwepesi nikiwaangalia wazungu wanao andika vitabu ninavyosoma.
Ndio ukweli
I am gonna give you the benefit of the doubt with the believe you might be someone who knows what you are talking about.Analytics gani bwana ache ku massage your ego.
Ya mwendokasi ilikuwa ni anomaly na hakuna aliye prophecize Ile glitch Ila tumeona reaction na jogging mitaani.
Ball is rolling na yajayo itakuwa surprise pia.
Bingo!!!Hiyo kesi waliyompa Lissu, imetokana na mimi kuandika sheria anazovunja.
Ndio @adriz kuokota hoja.
Lissu aelewi ugumu wa vita ya Tanzania, ni self centred tu.
We have bigger problem as a nation and Lissu sio iota of a solution.