Kauli za baadhi ya Viongozi kuelekea uchaguzi wa ajabu ni mtaji wa ICC

Kauli za baadhi ya Viongozi kuelekea uchaguzi wa ajabu ni mtaji wa ICC

Hizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.

Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.

Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.

If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.

Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.

Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
Hiki ndio nini?

Kuna wakati unapoteana mkuu dishi linakuwa linayumba?
 
Hope una hangover bado just sleep.
Learn, sijaweka hizo link bure bure.

Mimi naangalia hizo cinema kila nikipata muda.

Trust me kuna mengi ya kujifunza hapo, but then it is more interesting c kama una abc za siasa for group one and abc za finance and economics for group two.

Sijaweka hizo links for nothing, kwangu zipo saved kwa kujifunza; I was just sharing.

Sasa sijaweka vitabu vya ex-spies; sijui ingekuwaje

Intelligence sio mchezo wa bila za.
 
Hizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.

Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.

Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.

If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.

Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.

Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
Kiswahili ni Lugha ya Taifa
 
Learn, sijaweka hizo link bure bure.

Mimi naangalia hizo cinema kila nikipata muda.

Trust me kuna mengi ya kujifunza hapo, but then it is more interesting c kama una abc za siasa for group one and abc za finance and economics for group two.

Sijaweka hizo links for nothing, kwangu zipo saved kwa kujifunza; I was just sharing.

Sasa sijaweka vitabu vya ex-spies; sijui ingekuwaje

Intelligence sio mchezo wa bila za.
Kwa hiyo mkuu,wewe ndio ume influence lissu kukamatwa ?
 
Hiyo kesi waliyompa Lissu, imetokana na mimi kuandika sheria anazovunja.

Ndio @adriz kuokota hoja.

Lissu aelewi ugumu wa vita ya Tanzania, ni self centred tu.

We have bigger problem as a nation and Lissu sio iota of a solution.

Kwani Lissu/simba amekujaje hapa mbona hoja na heading ya mtoa mada na huu mchango MBALIMBALI kabisa?
 
Grounded au self centered.

Labda wengine mnaona empty glass full
Akili ni uwezo wa ku-predict walau 70% of success chances ya course of action.

Sasa mtu ambae anatishia nyau serikali kwa backup ambayo hana; we unaona mzima huyo.

Nimeweka links za cinema kuna mengi ya kujifunza huko.

Sasa kuna watu wa kujifunza how the world works na kuna watu wa kuamini how the world works watakavyo.

Kwetu kumekucha; asubuhi njema.

👋
 
Analytics gani bwana ache ku massage your ego.
Ya mwendokasi ilikuwa ni anomaly na hakuna aliye prophecize Ile glitch Ila tumeona reaction na jogging mitaani.
Ball is rolling na yajayo itakuwa surprise pia.
Huyu ni Mpuuzi Kiranga kaja na ID nyingine.
 
Akili ni uwezo wa ku-predict walau 70% of success chances ya course of action.

Sasa mtu ambae anatishia nyau serikali kwa backup ambayo hana; we unaona mzima huyo.

Nimeweka links za cinema kuna mengi ya kujifunza huko.

Sasa kuna watu wa kujifunza how the world works na kuna watu wa kuamini how the world works watakavyo.

Kwetu kumekucha; asubuhi njema.

👋

Sio kwa nia mbaya lakini just curiuos, mkuu we ni nshomile?
 
Nimeweka links za cinema kuna mengi ya kujifunza huko.

Sasa kuna watu wa kujifunza how the world works na kuna watu wa kuamini how the world works watakavyo.

Kwetu kumekucha; asubuhi njema.

👋
Hizo cinema ni mental masturbation.
Yaani directors stunts ndo stance yako. Jitathmini.

Katafute Classics kama
"The Black Swan: The Impact of the Highly Improbable is a 2007 book by Nassim Nicholas. The book focuses on the extreme impact of rare and unpredictable outlier events—and the human tendency to find simplistic explanations for these events, retrospectively.
Kisha uje tuongee vizuri.
 
Ndio msingi wa member kama ELI COHEN ku-post movies sijui series na kuwaambia ni best spy series.

Wakati anaangalia series tu, ilihali hajui how things work kwenye hayo mazingira,

You must be very stupid kudhani unaweza ingia compound ya raisi wa marekani kama series anazoangalia.

The only way unaweza zani series kama hizo ni top spy movies, ni kwa sababu ujawahi kusoma vitabu vya ex spies and senior civil servants wa US (na vipo vitabu luluki).

Huwa sijiandikii tu ninaposema 90% ya michango ya jukwaa la siasa ni ujinga.

It’s a fact
 
Oyaa you are all over.
Hueleweki,mara movies mara spies.
Na unatumia very light brush kubeza jukwaa la siasa as if you're ego is a friend.
Acha hizo fantasy na movies, take a walk smell the coffee au take your pills.
Whatever suits you mate.

But I right for the curious mind it, only make sense sometimes if you know the back the story.

But then I already know, you don’t have what it takes to decode my posts.

Or else you wouldn’t come with that stupid,

Serious enough I believe, you are standard seven.
 
Hizo coded posts zako ni mental.

Simplicity is ultimate Sophistication.
What is it you want to know, the reason of links which I have shared it is for educational purposes (whilst some of those are based on actual CIA events).

Like have you ever watched this movie Charlie Wilson's War (2007) ⭐ 7.0 | Biography, Comedy, Drama

☝️to understand the reasons how US and CIA began assisting Afghanistan and how their abrupt support cessation led to the rise of Taliban.

On the finance side have you ever watched ‘Matt Demon’ auditory, documentary “Inside Job” to learn the banking events leading to 2018 financial crisis.

You actually think I just posted those links out of the blue, there several movies from there you could learn something.

But then you are standard seven, many of those movies are beyond your comprehension.

This is why I say, to understand me you ought to be educated, and you ain’t (idiot).
 
This is why I say, to understand me you ought to be educated, and you ain’t (idiot).
You can lead a boy to college, but you cannot make him think.

By the way I have never let my school interfere with my education sababu learning from experience to me never need graduation. Smart ass.
 
Back
Top Bottom