mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Hiki ndio nini?Hizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.
Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.
Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.
If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.
Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.
Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
Grounded au self centered.Lissu aelewi ugumu wa vita ya Tanzania, ni self centred tu.
We have bigger problem as a nation and Lissu sio iota of a solution.
Learn, sijaweka hizo link bure bure.Hope una hangover bado just sleep.
Kiswahili ni Lugha ya TaifaHizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.
Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.
Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.
If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.
Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.
Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
Kwa hiyo mkuu,wewe ndio ume influence lissu kukamatwa ?Learn, sijaweka hizo link bure bure.
Mimi naangalia hizo cinema kila nikipata muda.
Trust me kuna mengi ya kujifunza hapo, but then it is more interesting c kama una abc za siasa for group one and abc za finance and economics for group two.
Sijaweka hizo links for nothing, kwangu zipo saved kwa kujifunza; I was just sharing.
Sasa sijaweka vitabu vya ex-spies; sijui ingekuwaje
Intelligence sio mchezo wa bila za.
Hiyo kesi waliyompa Lissu, imetokana na mimi kuandika sheria anazovunja.
Ndio @adriz kuokota hoja.
Lissu aelewi ugumu wa vita ya Tanzania, ni self centred tu.
We have bigger problem as a nation and Lissu sio iota of a solution.
Kiswahili ni Lugha ya Taifa
Akili ni uwezo wa ku-predict walau 70% of success chances ya course of action.Grounded au self centered.
Labda wengine mnaona empty glass full
Huyu ni Mpuuzi Kiranga kaja na ID nyingine.Analytics gani bwana ache ku massage your ego.
Ya mwendokasi ilikuwa ni anomaly na hakuna aliye prophecize Ile glitch Ila tumeona reaction na jogging mitaani.
Ball is rolling na yajayo itakuwa surprise pia.
Boss Maxence Melo mzawadie Ngwathra plantnum memberKwani Lissu/simba amekujaje hapa mbona hoja na heading ya mtoa mada MBALIMBALI kabisa?
Lissu Halipo😅🙌Na ni kigumu kwelikweli japo tunalala na kuamka nacho deile
Akili ni uwezo wa ku-predict walau 70% of success chances ya course of action.
Sasa mtu ambae anatishia nyau serikali kwa backup ambayo hana; we unaona mzima huyo.
Nimeweka links za cinema kuna mengi ya kujifunza huko.
Sasa kuna watu wa kujifunza how the world works na kuna watu wa kuamini how the world works watakavyo.
Kwetu kumekucha; asubuhi njema.
👋
NakaziaItakuwa umeelewa sana mada au hujaolewa kabisa.
Hizo cinema ni mental masturbation.Nimeweka links za cinema kuna mengi ya kujifunza huko.
Sasa kuna watu wa kujifunza how the world works na kuna watu wa kuamini how the world works watakavyo.
Kwetu kumekucha; asubuhi njema.
👋
Ndio msingi wa member kama ELI COHEN ku-post movies sijui series na kuwaambia ni best spy series.Hizo cinema ni mental masturbation.
Yaani directors stunts ndo stance yako. Jitathmini.
Katafute Classics kama
"The Black Swan: The Impact of the Highly Improbable is a 2007 book by Nassim Nicholas. The book focuses on the extreme impact of rare and unpredictable outlier events—and the human tendency to find simplistic explanations for these events, retrospectively.
Kisha uje tuongee vizuri.
Oyaa you are all over.Huwa sijiandikii tu ninaposema 90% ya michango ya jukwaa la siasa ni ujinga.
It’s a fact
Whatever suits you mate.Oyaa you are all over.
Hueleweki,mara movies mara spies.
Na unatumia very light brush kubeza jukwaa la siasa as if you're ego is a friend.
Acha hizo fantasy na movies, take a walk smell the coffee au take your pills.
Hizo coded posts zako ni mental.But then I already know, you don’t have what it takes to decode my posts.
Serious enough I believe, you are standard seven.
What is it you want to know, the reason of links which I have shared it is for educational purposes (whilst some of those are based on actual CIA events).Hizo coded posts zako ni mental.
Simplicity is ultimate Sophistication.
You can lead a boy to college, but you cannot make him think.This is why I say, to understand me you ought to be educated, and you ain’t (idiot).