Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
I went through every post to see, If I quoted you first leading to this unnecessary exchanges which don’t make sense.You can lead a boy to college, but you cannot make him think.
By the way I have never let my school interfere with my education sababu learning from experience to me never need graduation. Smart ass.
Uwe unanisoma kwa makini, wenzako serikalini wanafanya hivyo.Bingo!!!
You Quimby, the author of such law which “indicts” Liss,,,,,,,
Whiffing—— pungent!!!
Ewaah entertainment that's your core theme.but I’ll be happy to entertain a fool.
IgnoredHizi ndio fikra ambazo, zimepelekea Lissu awepo halipo.
Huwezi kufikiria vitu tu kichwani kwako na kudhani; that’s how the world works.
Sasa kama unaelewa siasa, utaelewa Lissu yupo halipo kwa ujinga wake na kiherehere chake.
If you are analytical na mkweli Samia ni raisi wa hovyo; ila Lissu ni taahira.
Inabidi muache hizi akili za kutishia serikali nyau.
Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti kwenye nchi zinazoangalia permanent interest.
Grow up, I entertain differences of opinion; not someone obsession.Ewaah entertainment that's your core theme.
As if our life purpose hinge on series and Hollywood drama.
Tupe burdani!
Salaleh kwa hiyo mitusi uliyonitukana na mambo uliyonizushia; bora ulivyoniweka kwenye ignore list.Ignored
Wewe ni Malaya na CHAWA wa kisiasa.Wewe unanufaika na mfumo huu wa unyanyasaji.
Wewe ni miongoni ambao wanaamini MUNGU hayupo kwakuwa hata mkiua hakuna baya linawakuta.
Growing up sounds fun, but have you tried napping and eating maandazi for dinner instead?Grow up, I entertain differences of opinion; not someone obsession
You got issues, like now I am supposed to entertain your imaginary thoughts on what I ought to be doing.Growing up sounds fun, but have you tried napping and eating maandazi for dinner instead?
Congratulations for growing up now you can trade your dreams for your entanglements.
Unaposema Lisu ni "idiot " ningependa kuuliza grounds zako za hii statement, nawasilisha.Wanachokifanya leo jeshi la polisi kuzunguka mtaani.
Amini usiamiamini.
Kunielewa mimi unahitaji elimu; siyo ya magumashi.
Na uwa siandikj ujinga, 90% ya post zangu ni analytical or evaluation of the situation; with predicted outcome.
9/10 uwa nakuwa right
Mimi siandiki ujinga humu only that kuna watu wachache wenye uwezo wakwenda sambamba na mimi.
If you are analytical of a situation results take time to occur.
Kama ninavyokueleza wanachofanya polisi leo kudhurura nimewafundisha; likewise ni mimi pia wa kwanza kusema hadi muda wa uchaguzi ukifika Hakuna mtu ata taka kumsikia Samia.
But then all this to me is just simple, akili zangu naumiza kwa mambo magumu ya wazungu.
Siasa za Tanzania simple.
Sikulazimishi kunisoma, lakini mimi siandiki ujinga na 80-90% uwa right in the long run. Sio kwa bahati ila kwa elimu.
Sasa fanyeni makosa taahira kama Lissu kudhani ndio mwokozi wenu.
Lissu is just an idiot, shida ya Tanzania ni mamlaka ya raisi na poor civil service ndio tuko hapa
At the end of the day of ethical thinking; ukweli ni kwamba whatever the outcome doesn’t impact my life.
Lengo la michango yangu kwa asilimia kubwa is to raise the JF curiosity.
Otherwise vita vyangu vya maisha vingine kabisa na siasa za Tanzania.
But then someone has to tell you the hard truth.
Most definitelySio kwa nia mbaya lakini just curiuos, mkuu we ni nshomile?
Wow, two hours of explosions and zero plot. Truly a cinematicHiyo ni moja ya websites ina ‘cinema’ nyingi za bure (that’s if, you like movies).
Don’t do that to yourself, people don’t care of your opinion about them; it’s in your head.
Oh my god
What do you think is gonna happen, unapopanda ‘majukwaani’ na kuongea maneno ambayo ni uchokozi kwa serikali na kwenye ‘penal code’ ya Tanzania yana tafsiri ya ‘sedition’ uhaini kwa namna nyingine.Unaposema Lisu ni "idiot " ningependa kuuliza grounds zako za hii statement, nawasilisha.
Since you dint ignore me as you promised, let me help you.Wow, two hours of explosions and zero plot. Truly a cinematic
masterpiece kweli?
Then come around huku JF that I love how every character makes the exact same stupid decision. So realistic.
Congrats to the director for thinking ‘louder’ equals ‘more emotional.
Una shida wewe!
Huyo ni mjuaji wa hovyo, kuna siku kaleta ubishi usio na tija kuhusu mto wa MwiguluItakuwa umeelewa sana mada au hujaolewa kabisa.
Kwa mtazamo wako bila watu aina ya Lisu kwenye nchi kama Tanzania mapinduzi yanapatikanaje kila mtu akitumia docile approach?What do you think is gonna happen, unapopanda ‘majukwaani’ na kuongea maneno ambayo ni uchokozi kwa serikali na kwenye ‘penal code’ ya Tanzania yana tafsiri ya ‘sedition’ uhaini kwa namna nyingine.
Siafiki adhabu aliyopewa; Lakini aindoi upumbavu wake na uropokaji ulimpomfikisha kisheria.
Sasa sarakasi za mahakamani don’t concern me, issue ni kwa nini utikise kiberiti mbele ya mafuta ya taa.
Msingi wa siasa na mwanasiasa wa kumuamini ni values za siasa anazo simamia na kuzipigania.Kwa mtazamo wako bila watu aina ya Lisu kwenye nchi kama Tanzania mapinduzi yanapatikanaje kila mtu akitumia docile approach?
Chit chat? ,Sorry my conversation slots reserved for people who matter.I don’t do chit-chat
You are ignored.
I am concerned with political discussions, not people’s emotions.
Deal with your nonsense independently, it’s not my problem.