Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

Serikali iwe makini wakati mwingine, hasa TISS vinginevyo watu Kama hawa wanaharibu Sana nchi
nadhani msimu uliopita.. mkuu alikuwa hasikilizi vetting. anaamua yeye anavyoona. matokeo yake kapata magugu maji
 
maisha bila exposure ni tatizo saaaana, hawa viongozi wetu wengi wamesoma ila hawana exposure ya maisha zaidi...

Chala boy ni mhuni tu kama wahuni wengine wa kizamani tu... afundishwe uhuni wa kisasa bado ana uhuni wa kizamani kama yule jamaa...
 
Chalamila hakutaka kuendelea na kazi, kwa hiyo alikuwa kajipanga kwa aina hiyo!!
 
Kwani hizo taarifa anazikusanya yeye, kama Kuna wanaokusanya hizo taarifa na kumpa yeye kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa, hao watu nao walikuwa na siku ngapi hapo mwanza?
 
nadhani msimu uliopita.. mkuu alikuwa hasikilizi vetting. anaamua yeye anavyoona. matokeo yake kapata magugu maji

Chamoto walikipata
maisha bila exposure ni tatizo saaaana, hawa viongozi wetu wengi wamesoma ila hawana exposure ya maisha zaidi...

Chala boy ni mhuni tu kama wahuni wengine wa kizamani tu... afundishwe uhuni wa kisasa bado ana uhuni wa kizamani kama yule jamaa...

Sasa kiongozi kuna mambo ukiongea hata Mbuzi wanashangaa
 
Haya ni matokeo ya kusema kabla ya kufikiri kwa kina, au kusema bila ya kuwa na uwezo wa kufikiri kwa kina.
 
Kwani huyu RC chalamila yupo wapii? hadi muda huu, kwann asizikanushe hizi tuhuma zinazozushwa juu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…