Mwenzie Mongera hakuliona hilo lkn yeye kafika wiki mbili tu tayari!Hapa tunaweza kuwa tukakubaliana kwenye kufikiria vyema. Ila haiondoi ukweli wa kile ambacho yeye kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Mwanza anaweza kuwa alikuwa anakijua kuhusu watu wa Mwanza.
Kwa sababu Chalamila ni Petrol.Mwenzie Mongera hakuliona hilo lkn yeye kafika wiki mbili tu tayari!
Mwenzie Mongera hakuliona hilo lkn yeye kafika wiki mbili tu tayari!
Tabia za Chalamila kama za mwendazake tu kashindwa kujizuia kaamua kujilipua Mama kamla kichwa.
Madaraka hayamfai mtu mshamba.Wakiishia jela akili zitawarudi.Serikali iwe makini linapokuja suala la kupata viongozi
Vinginevyo Polisi na wanausalama wetu wataumia bure tuu kutumikishwa hata Kwa mambo yasiyo na haki
Kwa sababu Chalamila ni Petrol.
Madaraka hayamfai mtu mshamba.Wakiishia jela akili zitawarudi.
Unapokuwa kiongozi hakikisha unaboresha mazingira ya jela Ili kesho ukiwa jela ulale pazuri.
Laana na baraka ya mwanadamu imo kwenye ulimi wake.Technologia utunza kauli,Kiongozi asiyeweza kujizuia ni mbaya Kwa sababu Hana tofauti na Mnyama.
Yeye huendeshwa na hisia zake kuliko akili
Laana na baraka ya mwanadamu imo kwenye ulimi wake.Technologia utunza kauli,
Mkuu unamaumivu makali saba. Pole kwa kuondokewa na mwendazake naona ulipotea nakususa kabisa. Rudisha basi ile avatar picha yako ya nyani anatembea kwa maringoKuna swali moja umeshindwa kujiuliza kuwa huyu ni mkuu wa mkoa na ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Mchukue yeye na kila kitu kuhusu yeye kama upumbavu Ila mbakizie tu hiyo nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa na itafakari kauli yake chini ya nafasi hiyo.
PumbahDChalamila eti na yeye ana PhD
Linda Sana ulimi wako kwan ndipo zitokapo chemchem za uzima wako.Hata maandiko yalisema, ulimi ni kiungo kidogo lakini kinaweza washa moto WA vita
Madaraka hayamfai mtu mshamba.Mshamba ni naniNaam Mkuu.
Kutumia hisia zaidi kuliko akili.
Umetaniwa kidogo na Vijana unawaweka Ndani,
Umechekwa kidogo unarusha ngumu, sasa hio ni akili au matope
Mkuu kwenye hili tunakubaliana kabisa. Lakini kauli yake tuichukue kama ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Kama mtu ambaye pamoja na upumbavu wake kuna watu walikuwa wanaripoti kwake taarifa nyeti kabisa za mkoa. Tatizo hapa siyo kile alichokuwa anakijua. Tatizo ni kukosa kwake busara na kuja kukiropoka hadharani. Lakini angalau ametusaidia kujua fikira za hawa washamba wa Mwanza.Sema ni mpumbavu sio petrol
Kiongozi asiyeweza kujizuia ni Kama Mnyama hutumia hisia zaidi kuliko akili.
Na hapo ndipo upumbavu hujitokeza.
Kiongozi asiyeweza kujizuia huweza kutumia mamlaka yake vibaya na kutumia nguvu hata kwenye mambo madogo kabisa.
He he he he he mkuu naona wewe mzee naona wewe ndo umevurugwa maana naona umebadilisha hadi jina mkuu. Nipo mkuu sema Sasa hivi niko busy na uzi wa kulana kimasihara😂😂😂😂😂.Mkuu unamaumivu makali saba. Pole kwa kuondokewa na mwendazake naona ulipotea nakususa kabisa. Rudisha basi ile avatar picha yako ya nyani anatembea kwa maringo
Mkuu kwenye hili tunakubaliana kabisa. Lakini kauli yake tuichukue kama ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Kama mtu ambaye pamoja na upumbavu wake kuna watu walikuwa wanaripoti kwake taarifa nyeti kabisa za mkoa. Tatizo hapa siyo kile alichokuwa anakijua. Tatizo ni kukosa kwake busara na kuja kukiropoka hadharani. Lakini angalau ametusaidia kujua fikira za hawa washamba wa Mwanza.
Tena ninashauri kabla hajamuacha amchangie yeye na watoto wake wampige, tena wampige kisawasawa, ameikosesha familia asali na siagi kwa mambo ya kipumbavu sana!!!Hapana, I feel sad for his wife, ningekuwa mke wake ningemuacha mchana kweupe
Chalamila ana PhD ya wapi?Mkuu, unajua huyu ni mtu mzima, tena msomi nasikia sijui ana PhD sijui ya nini, tena ni Mwalimu.
Hii inatoa picha gani?
Hayo maneno washamba wa Mwanza ndio huwa petrol inayoanzisha uhasama baadae.Mkuu kwenye hili tunakubaliana kabisa. Lakini kauli yake tuichukue kama ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Kama mtu ambaye pamoja na upumbavu wake kuna watu walikuwa wanaripoti kwake taarifa nyeti kabisa za mkoa. Tatizo hapa siyo kile alichokuwa anakijua. Tatizo ni kukosa kwake busara na kuja kukiropoka hadharani. Lakini angalau ametusaidia kujua fikira za hawa washamba wa Mwanza.