Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

Hayo maneno washamba wa Mwanza ndio huwa petrol inayoanzisha uhasama baadae.

Rwanda ilichafuka 1994 kwa maneno machache tu kama hayo.

Kule ulaya mashariki kwa kina Albania kulichafuka kwa maneno machache tu.
Ninachoshukuru hujanielewa.
But naaamini hamtaishia kumtumbua tu huyu mkosa busara Chalamila, bali mtatafakari pia na kauli yake ili mjue kama ni ya Chalamila lopo lopo, au Chalamila Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa.
 
Haya mabaki ya Mwendazake lazima tuyang'oe kama magugu shambani na hayawezi kujificha. Yako mengi tu pamoja na ;
Ali Happi, Biswalo Mganga, Lazaro Mambosasa, Wilson Mahera, Dotto James, Palamagamba Kabudi, Bashiru Ally na Humphrey Polepole.

Hao ni sumu kwa Utawala wa Rais SSH
 
Ninachoshukuru hujanielewa.
But naaamini hamtaishia kumtumbua tu huyu mkosa busara Chalamila, bali mtatafakari pia na kauli yake ili mjue kama ni ya Chalamila lopo lopo, au Chalamila Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa.
Kapigwa chini yeye na kamati inaendelea na kazi chini ya RC mpya mwenye uwezo wa kuuchunga mdomo wake.
 
Hapa tunaweza kuwa tukakubaliana kwenye kufikiria vyema. Ila haiondoi ukweli wa kile ambacho yeye kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Mwanza anaweza kuwa alikuwa anakijua kuhusu watu wa Mwanza.
Yani kwa wiki Mbili uyajue mawazo na maoni ya wana Mwanza tena kwa Jambo kubwa kama hilo
 
Kapigwa chini yeye na kamati inaendelea na kazi chini ya RC mpya mwenye uwezo wa kuuchunga mdomo wake.
Hiyo Genocide unayosema moja ya sababu ilikuwa kufunika kombe mwanaharamu apite, hata pale ilipokuwa inaonekana wazi kuwa mwanaharamu hawezi pita.
 
Hakupaswa muropoka hadharani Ile kamati ni confidential kama kuna taarifa peleka kunakohusika. Albert ni mjinga sana.
 
Hakupaswa muropoka hadharani Ile kamati ni confidential kama kuna taarifa peleka kunakohusika. Albert ni mjinga sana.
Mkuu kwenye hili hata Mimi naungana nawe kabisa. Hapa jamaa ameonyesha ujuha. Swali linabaki hii kauli tuichukue kama kauli ya juha huyu tu kaamua kujiropokea kutokana na ujuha wake. Au ni ukweli ambao umeropokwa na juha.
 
Sijui wanatumiaga vigezo vipi kumpata mkuu wa mkoa maana Chalamila hata mjumbe wa mtaa ulikua haumfai kutokana na lugha zake chafu
 
KAMWENE 😁😁
 
CLIP NZIMA ITAFUTE ALIONGEA VIZURI TU,ALITAKA WAANZE KWENDA KWAKE NA HAYO MABANGO SABABU ALISEMA HATA YEYE KUNA MAMBO YANAWEZA KUWA YANAFANYIKA ILA ANAFICHWA PIA ALISEMA KABLA YA RAIS KUJA KUPITIA HAYO MABANGO YEYE NA TIMU YAKE WATAYAFANYIA KAZI NA MTU AMBAYE BADO ANAKINYONGO AU UNAHISI AMEONEWA AJE HATA NA MABANGO YA MATUSI OFISI KWAKE WATAMSIKILIZA SHIDA YAKE...ILA HIYO INAYOZUNGUKA MITANDAONI WAJANJA WAME´EDIT .....ila nadhani mama samia kumtumbua sio kwa sababu ya ile clip maana habari kamili alikuwa nayo...kamtumbua kwa sababu ya makandokando yake ya huko nyuma
Alizoea kutamka maneno ya kumfurahisha mwendazake, juzi alizidisha viungo akaharibu mchuzi. Ninaamini Chalamila hakuazimia kusema watu waende na mabango ya matusi.
I
 
Huyu Chalamila nadhani kichwani kuna mahali hapapo sawa. Mtu mwenye akili timamu kabisa hawezi kuropoka kiasi hicho.

Mh. Samia atambue kuwa mtangulizi wake, mara nyingi alikuwa akiwapenda watu wenye akili na tabia za ajabu ajabu. Na kuna wakati aliwahi kutamka kuwa amemteua jamaa mmoja kwa sababu ni kichaa kama yeye. Rais awachunguze wateule wote wa mtangukizi wake, wale ambao akili, tabia na hekima havijatimia awaondoe mapema. Kuendelea kuwalea, kuna siku Mh. Rais atakuja kujutia kwa nini hakuwaondoa mapema.
 
Mkuu wa mkoa yule ndugu Bashite aliwahi taka kuzuia Viongozi wa Upinzani na watu asiowapenda wasikanyage ama waondoke Dar.
Hii Dunia hii.
Magufuli aliwahi tanks ikifika mwezi wa Saba mwaka ule Kuna watu wataondoka mjini(Dar).
Hii Dunia hii.
 
Mkuu wa mkoa yule ndugu Bashite aliwahi taka kuzuia Viongozi wa Upinzani na watu asiowapenda wasikanyage ama waondoke Dar.
Hii Dunia hii.
Magufuli aliwahi tanks ikifika mwezi wa Saba mwaka ule Kuna watu wataondoka mjini(Dar).
Hii Dunia hii.
Madaraka ayawafai watu washamba
 
Hata Ntibayonzika na Madelu ndiwo haohao.Kwa ujumla Rais wetu ana kazi kwerikweri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…