kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote.
Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule aliyesema wanafunzi wa shule za msingi na secondary wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao?
Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule aliyesema wanafunzi wa shule za msingi na secondary wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao?