Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Ni muda muafaka kuanza upimaji wa lazima kwa nchi nzima maana hatuwezi kukaa na virus miilini mwetu wakati vipimo vipo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua jiwe......we unajua kiswahili?
Ni muda muafaka kuanza upimaji wa lazima kwa nchi nzima maana hatuwezi kukaa na virus miilini mwetu wakati vipimo vipo dar
Niliposikia kiongozi anasema ugonjwa hautaingia kwenye nyumba za ibada maana ni ugonjwa Wa kishetani nikaona hapa tumeamua kumjaribu MUUNGU wetu , huwa hajaribiwi.Ni muda muafaka kuanza upimaji wa lazima kwa nchi nzima maana hatuwezi kukaa na virus miilini mwetu wakati vipimo vipo dar
Sasa msipochapa kazi mnategemea chakula mtapata wapi ?Hatua zipi serikali imechukua mkuu? Kutembeza bakuli au kutuambia tukachape kazi?
Cha muhimu ili Serikali iweze kuzuia maambukizi mapya na ugonjwa wa corona kufika sehemu ambazo bado hazijapata hata mgonjwa mmoja, ingegawa mask (barakoa) hasa kwa mikoa yenye magonjwa wa corona na kutoa amri kila mtu avae pindi anapokhwa nje ya nyumba yake au kwenye shughuli zake binafsi na kuzuia safari za kuvuka mkoa (mabasi na gari binafsi) isipokuwa maloli tuu ya mizigo ili kuendeleza shughuli za kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvaa mask yanaweza kuwa ni masharti ya watoa misasda maana ndo wanafanya hivyo kwao ila la dhahama ijayo linafikirisha zaidi ila Mungu aweza kuturehemu
Huna sera......lala tu bro usitake kupoteza muda wa watubasi jifunze kwanza kiingereza.
Alafu rudia hicho ulichokileta alafu uje tena.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Si ndo tunachapa kazi huku tukiambukiza corona.maana sisi ni masikini na serikali tuliyoaminishwa na kiongozi wake kuwa ndo tajiri ndo choka mbaya kuliko sisi wanyongeSasa msipochapa kazi mnategemea chakula mtapata wapi ?
Ummy ni mpumbavu sana, analeta panic za kijinga, na mdomo wake uliochongoka kwa umbea
Nadhani watu wapaswa kufahamu.nadhani waziri angeeleza kwamba wamepima wangapi,waliokufa positive ni wangapi nk, Kila siku
Kwa taarifa ya leo inaonesha wazi huu ugonjwa umeshakolea nilikuwa ngumu kusema wazi ila sasa hali imeshafika pahala hawawezi kuzusha tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusoma between the lines! Najua mtazamo wako, na nimekuelewa sana!Mkuu namna alivyoiwasilisha kwa wengi ni kama amewatisha na imezua taharuki pia Kwao. Na hii ni kwa mtazamo wangu ambao simlazimishi Mtu mwingine akubaliane nao japo anatakiwa Kuuheshimu kama nami pia ninavyoheshimu Mitazamo yao.
Tulihitaji hata partial lockdown tulipopata kesi za kwanza kabisa za covid-19,,mikusanyiko ya kwenye nyumba za ibada,sherehe ingezuiwa kipindi hicho . Tukifikia kwenye community transmission serikali itatangaza lockdown ambayo itakua too late,,,wazee wa mapambio wataendelea kusifia kama kawaida[emoji24][emoji24][emoji24] .
Sent using Jamii Forums mobile app