Kauli za sasa za Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuhusu CORONA zimeshaanza Kuzua 'taharuki' nchini, hivyo ama adhibitiwe au ajiuzuru upesi

Kauli za sasa za Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuhusu CORONA zimeshaanza Kuzua 'taharuki' nchini, hivyo ama adhibitiwe au ajiuzuru upesi

basi jifunze kwanza kiingereza.
Alafu rudia hicho ulichokileta alafu uje tena.
Anajua jiwe......we unajua kiswahili?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
ukijiona unaumwa si unaenda hospital.
Ni muda muafaka kuanza upimaji wa lazima kwa nchi nzima maana hatuwezi kukaa na virus miilini mwetu wakati vipimo vipo dar

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Ni muda muafaka kuanza upimaji wa lazima kwa nchi nzima maana hatuwezi kukaa na virus miilini mwetu wakati vipimo vipo dar
Niliposikia kiongozi anasema ugonjwa hautaingia kwenye nyumba za ibada maana ni ugonjwa Wa kishetani nikaona hapa tumeamua kumjaribu MUUNGU wetu , huwa hajaribiwi.

Ukila chakula chenye hao wadudu mfano cholera , hakika utaugua bila kujalisha unakesha unasli au hausali. Yesu aliambiwa ajirushe toka kileleni ,akakataa na kujibu ineandikwa usimjaribu Mungu wako.

Hilo ni funzo kwetu wanaoishi leo . sio busara kunukuu vubwagizo vya kiimani kwa kiongozi mwenye dhamana na roho zetu Wa Tz na kuifanya ni Sera ya kutuongoza tufike huko tunakolenga. Viongozi kuweni makini na kauli hata zitawafanya mpendwe kwa muda lakini hatimae kauli zenu rahisi mbeleni ni majuto kwa taifa . Tafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE,
Nafikiri kuna kitu kilikuwa kinafichwa, sasa haiwezekani tena kukificha ndiyo maana wameamua kusema hivyo.

Yawezekana kuna maambukizi mengi na vifo pia vimefichwa, ila kuna watu wametoa siri hizo ndiyo maana amejiami kwa kutangaza.
 
muyovozi,
Huyu hapa yupo kanisani huku naibu rais akitumiza tukapige kazi tuache uvivu maana haka ni kagonjwa kadogo
 

Attachments

  • VID-20200405-WA0004.mp4
    1.5 MB
Cha muhimu ili Serikali iweze kuzuia maambukizi mapya na ugonjwa wa corona kufika sehemu ambazo bado hazijapata hata mgonjwa mmoja, ingegawa mask (barakoa) hasa kwa mikoa yenye magonjwa wa corona na kutoa amri kila mtu avae pindi anapokhwa nje ya nyumba yake au kwenye shughuli zake binafsi na kuzuia safari za kuvuka mkoa (mabasi na gari binafsi) isipokuwa maloli tuu ya mizigo ili kuendeleza shughuli za kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuvaa mask yanaweza kuwa ni masharti ya watoa misasda maana ndo wanafanya hivyo kwao ila la dhahama ijayo linafikirisha zaidi ila Mungu aweza kuturehemu

Hizo barakoa zitatolewa bure na serikali?... Je unajua Bei ya barakoa moja? Ni kweli familia duni itaweza kununua barakoa za familia nzima kila siku...?!
 
basi jifunze kwanza kiingereza.
Alafu rudia hicho ulichokileta alafu uje tena.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Huna sera......lala tu bro usitake kupoteza muda wa watu
 
Tulihitaji hata partial lockdown tulipopata kesi za kwanza kabisa za covid-19,,mikusanyiko ya kwenye nyumba za ibada,sherehe ingezuiwa kipindi hicho . Tukifikia kwenye community transmission serikali itatangaza lockdown ambayo itakua too late,,,wazee wa mapambio wataendelea kusifia kama kawaida[emoji24][emoji24][emoji24] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi nchi za kijamaa zinakawaida ya kuficha takwimu sahihi mpaka amesema hivyo ujue maambukizi yako kwa maelfu
 
Penye ukweli lazima aseme ukweli, na hata yeye sio wa kwanza kutoa taarifa kwa mfumo huo kwani nilimquote hata raisi wa America akiwaeleza waamerca wajiandae kwa idadi ya kutisha ya vifo kutokana na korona
 
Mkuu namna alivyoiwasilisha kwa wengi ni kama amewatisha na imezua taharuki pia Kwao. Na hii ni kwa mtazamo wangu ambao simlazimishi Mtu mwingine akubaliane nao japo anatakiwa Kuuheshimu kama nami pia ninavyoheshimu Mitazamo yao.
Nakusoma between the lines! Najua mtazamo wako, na nimekuelewa sana!
 
Acha usanii.
Ukiona una dalili nenda hospital
Tulihitaji hata partial lockdown tulipopata kesi za kwanza kabisa za covid-19,,mikusanyiko ya kwenye nyumba za ibada,sherehe ingezuiwa kipindi hicho . Tukifikia kwenye community transmission serikali itatangaza lockdown ambayo itakua too late,,,wazee wa mapambio wataendelea kusifia kama kawaida[emoji24][emoji24][emoji24] .

Sent using Jamii Forums mobile app

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom