Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Slaa hakuw na sababu ya kulike, angeweza kuandika kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Chadema.
Picha za Lema akilawitiwa ziliposambazwa Mzee Mtei alikuja mtandaoni mara moja kumtetea, lakini kwenye hili la Zitto wameishia kubonyeza like.
Ujumbe walioutoa umefika...
CCM ni mtetezi wa wanyonge...

Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.
Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.
Cc Josephine
Wakuu
Ritz
Simiyu Yetu
sixgates
Mingoi
chama kipya..............Mbona mmeitwa na ZeMarcopolo mda wote huo lakini hamtokei.....?
Anakufa huku njooni mumsaidie....Peke yake hawezi..
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.
Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.
Cc Josephine
Ninachojua ni wanachadema.Na hawa wanaomchukia Zitto ni dini gani kamanda.
Mimi sijui chochote wewe si ndiyo umeleta maswala ya dini.Ninachojua ni wanachadema. Chadema imeshaingia migogoro akina JULIANA SHONZA, FELIX MKOSAMALI, DAVID KAFULILA, nk. sijui hao nao ni dini au ni uvurugaji wa chama? Hata hivi karibuni Samson Mwigamba pia bila shaka unajua dini yake.Lakini hao wana ccm niliowataja, wako tayari kubeza viongozi wa CCM wakristo waliojenga chama lakini ikija suala la Mwana CHADEMA muislamu utaona wanakesha humu.cc. Chris Lukosi
ZeMarcopolo peke yake ni sawa sawa na misukule 50 ya Chadema.
Zitto anatetewa na wana CCM waislamu kwa sababu ya UDINI wao.
Mimi ni mkristo mwana CCM, napata uchungu nikiona Ritz, Faizafoxy na chamviga mkibeza mchango wa Nyerere kwa kuwa tu ni mkristo.
Nyie hao hao ndio mnamtetea Zitto kwa kila kitu kana kwamba ni malaika.
CCM imetekwa nyara na WAISLAMU wanaotaka kugawa watanzania.
CCM ni mtetezi wa wanyonge...
Sikukuliza kama 'whoever' ana sababu au la za kulike chochote. Swali langu liko very clear, na nakuuliza tena, ukitaka kumshukuru mtu kwa kutoa taarifa kwenye hili jukwaa unabonyeza kitufe gani, ZeMarcopolo?
Mbona kwenye huu uzi mmekuja fasta...... Habari ya mujini sasa hivi ni Mbakaji Prof. Kapuya...