kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya,

wajenzi wa nyumba
wachimbaji wa madini
wavuvi
mafundi gereji
mafundi simu

Mwanaume siku zote tokea enzi na enzi, ngono kwake ni zoezi la kuendeleza "ufalme wa kiume"...

Tena siku hizi ni kama tumepunguza kasi hadi kwenye kuoa imekuwa ni mwanamke mmoja tu...
 
Wacha we!!
 
Back
Top Bottom