kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

Mwanaume siku zote tokea enzi na enzi, ngono kwake ni zoezi la kuendeleza "ufalme wa kiume"...

Tena siku hizi ni kama tumepunguza kasi hadi kwenye kuoa imekuwa ni mwanamke mmoja tu...
Tumepunguzwa nguvu na mitindo ya maisha pamoja na madawa yao wanayoweka kwenye vyakula toka vikiwa shambani na kwenye processed foods.
 
Loooooh..........Umesahau Namba Moja Afaa jua Nani..............

1. Mwanamuziki.....

Hapa hakuna mjadala, hawatongozi, majike hujitupa wenyewe, fungu peni....wachagua mwenyewe, Leo mwembamba kesho libonge....Mfano Mkubwa( Tabu Ley-Rochereau.......aliwacha watoto 150 na wanawake alio wala haijulikani Hesabu.............
 
Ukiwa na maono ya utajiri na mafanikio,mawazo ya ngono zembe yatakuwa hayana nafasi,ila wenzangu na mimi kula kulala,akina kajamba nani,hao muda wote ni kuwaza zinaa tu kama chai yaani.
 
Ukiwa na maono ya utajiri na mafanikio,mawazo ya ngono zembe yatakuwa hayana nafasi,ila wenzangu na mimi kula kulala,akina kajamba nani,hao muda wote ni kuwaza zinaa tu kama chai yaani.
100%
 
Back
Top Bottom