kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

Madereva wa Malori na wanajeshi, hawa huwaga hawachagui papuchi na huwaga hawanaga time ya kusikiliza ushauri, wao kiwanja chochote kiwe kina mbigili au hakina wanacheza tena peku.

Madereva wa Malori ni mabingwa wakujilipua kwa kuwaoa mabamedi.
 
umewasahau maafisa usafirishaji(bodaboda) muda wote pumbu zipo kwenye tenki la mafuta wasiwaze tu ngono

Nb sio wote lakini[emoji1787]
Hawa ndo kweliii, yaan boxer mkononiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom