Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

CCM sio chama cha uwana harakati useme wapenzi wake wasugue lapa kutoka morogoro hadi dar kisa tu mapenzi ya chama wakati mgombea wenu yupo ndani ya v8 huo ni uzwazwa wanauweza chadema peke yake.
 
Tafiti nyingi zinaonesha Lissu atashinda kwa kati ya asilimia 60 mpaka 67
 
Kinachofanyika sasa ni kulinda ushindi dhidi ya Intarahamwe CCM. Na this time hatutakubali
 
Kuna Coaster niliikuta Bunju imebeba wana CCM tupu ndani, huku kila mmoja akipewa 5000 kuwa ni nauli ya kurudi toka kwa "Mheshimiwa".
Kwani kuna ubaya? Mtu hafundishwi jinsi ya kutumia hela yake bali anafundishwa jinsi ya kutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…