Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

!
!
Jamaa Kilaza Sana Yaani

1. Uhuru Ni Mchakato Wa Muda Mrefu. Unajumuisha Harakati Zote Kuanzia Kina Kimweri, Mkwawa, Majimaji Na Kadhalika. Kusema Kwamba Hakuna Aliyemwaga Damu Kupigania Uhuru Wa Tanganyika Ni Ukilaza Wa Hali Ya Juu.

2. Kwamba Ni Lazima Aombwe! Yeye Kama Nani? Mbona Hakukataza TRA Kuchukua Kodi Maeneo Hayo? Kilaza Sana Yani.

3. Chadema Wako Hapo Kwa Miaka 15 Tu. Kuanzia 1961 Waliingoza Masisiem Enheee Niaje Hapo? Kilaza Sana
 
Zungu naye hakumuomba mbona K/koo kote mpk jangwani hali ilikuwa tete hiyo jana kwa hiyo mitaro ni Kawe tu na mafuriko?
 
Huyu mzee hana akili kweli, anaposema anajua haya maeneo yanasumbua kwa mvua ila sijawahi kuombwa kama anajua yanasumbua kwanini hadi aombwe wakati ni wajibu wake ,viongozi wa chadema walishaomba sana mnawapotezea ili kuonekana hawajali ...huo usanii wako peleka Chato tar 28 lazima tukurudishe Chato kwa bodaboda fisadi mkubwa
Tutafanya mabadiliko ya makusudi kumtoa.. Hatukumchagua kujenga mitaro au majengo na kuzalisha kanga au Tausi Ikulu ya Tanzania.
 
Hovyooo kwelii eti haukuombwa?? Hivi kwa uelewa wake huwa anafikiri kupeleka maendeleo kwa wananchi ni hisani au kupenda kwake??, Anayeweza kuombwa ni Mungu tu Rais anatimiza wajibu wake kikatiba na haihitaji kusubiri kuombwa, yeye ndiye anaomba kura kwetu sio sisi tuombe maendeleo kwake. Hizo Ni pesa zetu Wala hauzi mbuzi Wala haozeshi bintie Ili apate pesa zakuleta maendeleo kwetu.
 
Kiki ya upinzani kutaka kuitumia mvua kama kelele ya kampeni imekufa kifo cha mende baada ya miundombinu ya kuondosha maji kufanya yake DAR
 
Shekhe ubwabwa hana jipya, waislam tungemuona wa maana angeitumia hiyo nafasi kuwapigania mashekhe wenzake wanaoozea magerezani kwa kesi za kutunga.
 
MaCCM yameshituka wakimpandisha Mond kabla ya mgombea wao kuhutubia wananchi wanasepa...Fiesta plus Wasafi festival ila kuna jitu linaenda kufa
 
Ameyasema haya akiwa ktk viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe.

Amemuombea dua Rais Magufuli na akasema wanao mpinga yatawapata mabaya, lakini pia amewaombea wagombea wote wa CCM nafasi mbali mbali nchini na akasisitiza juu ya ushindi wao...
Yani nilikuwa pale Tegeta kwa ndevu wakati Magufuli anahutubia nikajikuta kukasirika. Anadanganya live kabisa. Eti hakuwahi kuombwa hela ya mitaro kwa Kawe. Je kwa Ilala, Kigamboni, Segerea, Kinondoni ambako kulikuwa na wabunge wa CCM nako hawakumuomba? Yani huyu jamaa ni muongo na nimejiridhisha kuwa hata wanaomshabikia ni wachumia tumbo ambao wanataka ashinde ili waendelee kula. Nimekasirika kabisa.

Uzuri ni kuwa leo kwa mara ya kwanza amehutubia huku bendera za Chadema zikimkodolea macho maana hawakupanga hizo hotuba za leo jimbo la Kawe.
 
Ameyasema haya akiwa ktk viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe.

Amemuombea dua Rais Magufuli na akasema wanao mpinga yatawapata mabaya, lakini pia amewaombea wagombea wote wa CCM nafasi mbali mbali nchini na akasisitiza juu ya ushindi wao....
Atakuwa kakatiwa burungutu huyo... CCM kwa Sasa wako kwenye panic mode. Anything is possible.
 
Johnthebaptist ID mpya CCMdamu??

2015 Magufuli akubali akatae, kina Nape, Kinana, Makamba, Mwigulu, JK, Mkapa CCM ilihakikisha Magufuli haongei sana, push-ups kidogo, wanaongea wao kumnadi.

2020, tumemuona Magufuli in his true colors..looh!!
Kingunge was ABSOLUTELY right!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Dalili mbaya usha anza kuziona, pole kwa yatakayo kukuta.
Kuhusu rangi ya bendera tuambie kama iko kwenye ilani ya chama chako.
Au angeliongelea msajili wa vyama labda.
 
Askofu Gwajima vitu vidogo tu mpk asome kaandika kwenye simu na note book. Huyu angebaki tu kwenye kanisa lake huku ule mvuto aliokuwa nao wakati wa masakata yake na Pengo na Makonda nk kiasi watu kuwa radhi kumsikiliza kwenye clip na kwenda kanisani huku hana kbs kwenye siasa anazungusha kiuno tu
 
Back
Top Bottom