Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli

Karibuni nyote.

Rip Mwalimu Nyerere

Up dates;
Siku ya Nyerere imenajisiwa vibaya Dar. Magufuli anatembea na chombo cha umma-TBC kama Mwanamke mweupe mchepuko wake bila aibu. Anatumia mav8 ya Serikali yaliyobandikwa stika za kijani, analipa wasanii kutoka hazina. Yote haya yanafanyika siku ya Nyerere tena mbele kidogo ya Ikulu. Huyu Jiwe kweli anamuenzi Nyerere?!
 
Mgombea urais wa chama cha mapinduzi dr. John Magufuri muda huu yupo hapa boko basihaya akinadi sera za chama chake.

Wakati huohuo wananchi wanashangaa chopa yenye rangi za kijani ikizunguka angani kushangaa mafuriko ya eneo hilo.

updates itakujia soon.
 
Yupo na msafara mkubwa huku juu inapita chopa. Tanganyika Packers pamedoda ameamua kupita mitaani
 
LICHA YA MVUA;MAHABA KWA RAIS MAGUFULI YAJAZA MITAA YA DAE ES SALAAM ANAPOPITA RAIS MAGUFULI KUELEKEA UWANJA WA TANGANYIKA PACKERS AMBAO MPAKA SASA UWANJA HUO UMEJAA POMONI.

-Kutokanana na Mvua kubwa ya Jana iliyoharibu miundo mbinu ya Jiji la Dar es Salaam,Rais Magufuli ametenga bilioni 32 kushughulikia mitaro ya Jiji la Dar es Salaam.

#TBC1
#DarTunaJamboLetuTanganyikaPackers
#ShereheYaMiakaMitanoYaMafanikio.
 
Hana sera ana ajenda ya kuendelea kuitawala nchi kidikteta.
Acha aendelee tu maana mlikosa adabu baada ya kuwa mnafisadi nchi,
Jikumbushe kauli ya TL kama unampenda baada ya kuzuia makinikia akizungumza , mara mbili bungeni mpaka kuwatukana wazee wa kamati kuwa ni professorio rubish, mpaka zungu akamwambia aondoe yale maneno rubish.
Na akasema tutajuta kwa kuzuia makontena.
Leo ndo unamwaminia eti anataka haki na uhuru?
Kwa zile dharau na kuwaona watu wengine ni sifuri ila yeye ndio mjanja?
Yeye ni zaidi ya dictator.
 
Jamaa anapanda sana kunyenyekewa. Eti hajawahi kuombwa. Aombwe kwani pesa ni zake. Ajifunze kupeleka pesa kutokana na bajeti ilivyopangwa. Wabunge zaidi ya 250, kama Kila moja atawasiliana directly na Rais kuomba, sijui hizo kazi atazifanya saa ngapi?
 
Meko anataka connection ya nini? Kule Kasulu si kuna connection na watu wanakunywa matope? Mkutano si ulikuwa Tanganyika Packers au huko kumedoda?
 
Ila Magufuli anapendwa na watu jamani jamani.

Sio kwa upendo huu.

Hivi wanaompinga anavyosimamia mema ya wananchi wake.Hata hawajishtukii[emoji3]
Mkuu watu wanamuelewa magufuli!, ni kikundi kichache tu ambacho hakifiki hata asilimia 10 ya watanzania ndio hawamuelewi!..
 
Kumbe kila shida wapatayo wananchi iliitatuliwe ni lazima Mbunge wa eneo husika ampigie Rais simu?
Ni vema kufata mifumo ya mawasiliano na namna ganiya kutatua matatizo ya wananchi kuliko hizi siasa za miaka ya 80.
kumbe kujaa maji mitaani na barabarani nikwasababu wabunge hawampigii Rais simu kumueleza shida zilizopo mitaani kwao?
 
Mkuu watu wanamuelewa magufuli!, ni kikundi kichache tu ambacho hakifiki hata asilimia 10 ya watanzania ndio hawamuelewi!..
Vijana wasio na ajira ni wangapi? Hao tu hawana sababu ya kumshabikia Magufuli sababu hajawasaidia lolote miaka hii 5 zaidi aliwadanganya kuhusu ajira million 2.

Bado wakulima ambao nao kila sehemu ni kilio kuanzia korosho mpaka pamba. Watu wanazalisha ila masoko changamoto na serikali haisaidii lolote. Embu nipe sababu ya hao watu kumchagua magufuli?
 
Meko anataka connection ya nini? Kule Kasulu si kuna connection na watu wanakunywa matope? Mkutano si ulikuwa Tanganyika Packers au huko kumedoda?
Hayo masuala ya connection ndio ubaguzi, yeye haombi kuwa Rais wa chama, anaomba kuwa Rais wa Nchi, kukomesha mambo kama haya ni bora tu tuwe na majimbo na kila jimbo lijiendeshse kutokana na vyanzo vyake vya mapato.
 
Huyu mzee hana akili kweli, anaposema anajua haya maeneo yanasumbua kwa mvua ila sijawahi kuombwa kama anajua yanasumbua kwanini hadi aombwe wakati ni wajibu wake ,viongozi wa chadema walishaomba sana mnawapotezea ili kuonekana hawajali ...huo usanii wako peleka Chato tar 28 lazima tukurudishe Chato kwa bodaboda fisadi mkubwa
 
Back
Top Bottom