Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

Rubbish! Mbunge amuombe Magufuli?? Anamuomba nn?? Magufuli ana hela??
Mbunge anaongea bungeni.

Mtu unavunja taratibu zilizowekwa za nchi hadi unaona ndiyo taratibu sahihi.

Magufuli mwenyewe tunamlipa sisi, kwa kodi zetu.

Everyday is Saturday...............................😎
 
Niko kawe now na nashuhudia watu wengi, rika tofauti kwa mguu yao Wenyewe wakielekea ktk mkutano wa ccm.
 
Serikali itatoa Ajira ngapi wewe ?? Hata akiajiri bado watu wengi watabaki mtaani. Tatizo la ajira halijaanza leo! Mbona zimetolewa ajira za madaktari na walimu , hamulioni Hilo!. Miuondombinu inayojengwa si kuna ajira zinazalishwa mule?? Acheni kujitia upofu!.
 
Rais mpaka aombwe? kwa hiyo asipoambiwa atalala tu maana mambo super. Na hizo halmashauri na viongozi kazi zao ni nini? sasa kama Dar kampeni zinapigwa kama watu wajinga huko vijiini hali ikoje? hatari sana....
 
Wabaguzi wawili wanakutana leo! Huyu anabagua wanawake na yule anabagua Waislam!
Very minor Propaganda Pia namuona Rais Magufuli anawapungia mamilioni ya watanzania ambao wanamsubiria kwa hamu alihutubie Taifa
 
Mimi ni mwana CCM damu, Lakini kuna mengi Raisi wangu anayoyafanya siyakubali. Raisi kama Raisi huhitaji kufatwa na mbunge akuombe kuyatatua matatizo ya jimboni kwake, Una Meya an hata Mkuu wa Mkoa, wote hawa pia wanukuletea habari, mbona huzitimizi, kwa katiba yetu sio Haramu kumchagua kiongozi wa chama cha upinzani, kama ni tatizo basi fungeni vyama vya upinzani tuwe na chama kimoja kama zamani.

Pili Mheshimiwa Raisi, Wana kawe hawana Udini na hawaleti udini, Mtu mdini hapa ni huyu GWAJIMA aliyekuwa chaguzi lako, na udini wake uko recorded. Pia unampigia campaign tofauti na wengine, tunashindwa kukuelewa.
 
Kama miradi yote hii iliyojengwa hukupata ajira ujue wewe ni wale wale ambao wanawza zile ajira za kukaa ofisini kama walivyoambiwa na mababu zao> Mimi nipo kwenye ajira miaka 16 ila kipato cha nje ya ajira ni kikubwa hadi huwa najiuliza huu utumwa wa vyeti ulinipotezea muda sana, njoo kanda ya ziwa kwenye migodi ya wachimbaji wadogo wadogo uone wenzako graduates wa vyuo vyenye heshima kama MUHAS wanavyokamua pesa wewe!
 
Wamesombwa kama wote wa mbagala. Kisarawe n.k

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wabunge ambao wanafunga plaster midomo yao, wanajiweka karanti baa na konyagi pembeni zikiwazidi wanaanguka na kuumia na kuuambia umma kuwa wamepigwa na wasiojulikana!
 
Wakati wa Kikwete mbona aliajiri kila mwaka? Hilo ndio jukumu la serekali kuhakikisha ustawi wa jamii.

Kama haiwezi kuajiri wapishe wanaoweza
 
Niende Moja kwa Moja kwwnye mada
Napenda kumpa sifa Sana magu kwa kujiamini
Katika kampeni zake unaona jinsi ambavyo hahitaji kusindikizwa na wazee wastaafu Wala Nini

Hahitaji support ya JK Wala mwinyi Wala sijui Nani anaenda mwenyewe na anamaliza

Watu wameongea Sana kwamba atafeli kwa vile amewatenga wastaafu lakini ndio kwanzaaaa anazidi kupaaa

Binadamu tunakosa Sana kujiamini Katika mabo Yetu ya kila siku ndio maana tunafeli
Tukiona watu Fulani hawatuungi mkono basi tunakata tamaa kabisaa tunaacha
 
Halima mdee uchaguzi huu hana chake, ni muda muafaka wakujifungia ndani na bulaya
 
Achana na Mimi! Nyie si mnajifanyaga vipofu hamuoni !! Tunawapiga spana tu mpaka akili ziwakae sawa!.
spana anapigwa magu ndo maana bila baada ya kampeni lazima aingie gereji ,nye mbuzi katoliki kweli
 
Wakati wa Kikwete mbona aliajiri kila mwaka? Hilo ndio jukumu la serekali kuhakikisha ustawi wa jamii.

Kama haiwezi kuajiri wapishe wanaoweza
Kikwete alijitahidi kuajiri! lakini bado watu wengi tu walikua hawana ajira mtaani..msifikiri tatizo la ajira kalileta Jpm ! Mbona kaajiri walimu na madaktari hamlioni hilo?? .
 
Ameyasema haya akiwa ktk viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe.

Amemuombea dua Rais Magufuli na akasema wanao mpinga yatawapata mabaya, lakini pia amewaombea wagombea wote wa CCM nafasi mbali mbali nchini na akasisitiza juu ya ushindi wao.

My Take; Shekhe mkuu wa Dar bwana al haji Mussa anaonesha makucha yake ni nani haswaa, ni mwana ccm na mfuasi mzuri wa ccm, sio makosa kisheria, ila ki maadili sijui anakua ktk nafasi gani?

Bakwata wanapaswa kumpa ushauri huyu na akumbushwe kwamba waumini wake wengine ni wavyama vingine, alipaswa kutoa dua tu na sio kupiga kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…