Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Haya kaa kutulia sasa!spana anapigwa magu ndo maana bila baada ya kampeni lazima aingie gereji ,nye mbuzi katoliki kweli
Tutafanya mabadiliko ya makusudi kumtoa.. Hatukumchagua kujenga mitaro au majengo na kuzalisha kanga au Tausi Ikulu ya Tanzania.Huyu mzee hana akili kweli, anaposema anajua haya maeneo yanasumbua kwa mvua ila sijawahi kuombwa kama anajua yanasumbua kwanini hadi aombwe wakati ni wajibu wake ,viongozi wa chadema walishaomba sana mnawapotezea ili kuonekana hawajali ...huo usanii wako peleka Chato tar 28 lazima tukurudishe Chato kwa bodaboda fisadi mkubwa
Umeshaingia mp wewe sio bureKwa kweli Halima dada yangu namshauri kwenye hili la ubunge apumzike tuu
Hivi waisilamu watampa kura huyu director wa filamu za ngono?Wabaguzi wawili wanakutana leo! Huyu anabagua wanawake na yule anabagua Waislam!
Mimi nimemaliza mkuu, ila mke wako na mama yako wameniambia wanaingia leo. mwamwala iyunga ndio uwanawake tunaojivunia huo😁😁😁Umeshaingia mp wewe sio bure
Hongera sana maana muda wowote kuanzia Sasa unaweza kuwa conceivedMimi nimemaliza mkuu, ila mke wako na mama yako wameniambia wanaingia leo. mwamwala iyunga ndio uwanawake tunaojivunia huo[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo ni sifa nyingine ya kila mwanamke, Kila mwanamke anayeconcive ana uwezo kuzaaHongera sana maana muda wowote kuanzia Sasa unaweza kuwa conceived
Yani nilikuwa pale Tegeta kwa ndevu wakati Magufuli anahutubia nikajikuta kukasirika. Anadanganya live kabisa. Eti hakuwahi kuombwa hela ya mitaro kwa Kawe. Je kwa Ilala, Kigamboni, Segerea, Kinondoni ambako kulikuwa na wabunge wa CCM nako hawakumuomba? Yani huyu jamaa ni muongo na nimejiridhisha kuwa hata wanaomshabikia ni wachumia tumbo ambao wanataka ashinde ili waendelee kula. Nimekasirika kabisa.Ameyasema haya akiwa ktk viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe.
Amemuombea dua Rais Magufuli na akasema wanao mpinga yatawapata mabaya, lakini pia amewaombea wagombea wote wa CCM nafasi mbali mbali nchini na akasisitiza juu ya ushindi wao...
Atakuwa kakatiwa burungutu huyo... CCM kwa Sasa wako kwenye panic mode. Anything is possible.Ameyasema haya akiwa ktk viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe.
Amemuombea dua Rais Magufuli na akasema wanao mpinga yatawapata mabaya, lakini pia amewaombea wagombea wote wa CCM nafasi mbali mbali nchini na akasisitiza juu ya ushindi wao....