Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Mpige makofi ule bisibisi ya moyo ukapigiwe saluti na mizoga huko makaburini. Maisha hayana ubabe hekima na nidhamu binafsi ni Heri kuliko. Haya kafaidika nn na mibao yake??? Mvuta bangi always maisha yake ni km mfu kila siku bora ya jana haya huyo kaacha cheo, mke, familia, mshahara mzuri na marupurupu, sifa na kupigwa saluti, nk kwa ajili ya kukosa nidhamu binafsi. Nani kapoteza zaidi.??
 
Hakuna tofauti ya hawa MP na wahuni wengine,
Akili kidogo, kama za kuku, hawa wajeshi wa siku hz, ni wa Levi, mbwa,siku zote kawe imejaa vibaka wengi, na wanajeshi, wengi wanaoishi pale, ni walevi walevi,
Eneo ni makazi ya wanajeshi wengi wa vyeo vya chini,Ila ndio kuna uharifu wa kutisha, wameshindwa kabisa kutatua tatizo, LA uharifu kawe, na hii sio Mara ya kwanza kwa mtu kuuliwa.
 
Ningekuwa mimi ndiyo Kanali, baada ya kuulizwa na dereja bajaji kwa nini nimemkinga, ningemwambia, "ooh sory kijana, ngoja nitoe gari langu upite" halafu nikasepa, kuliko kushuka kwenye gari na kumzaba kofi kijana aliyevurugwa.

Halafu kwa nini huyo kijana alishindwa kukimbia ili wahangaike kumtafuta?
 
Hiyo ndiyo busara inaitwa

Ova
 
Ila wewe jamaa bhana😀😀😀ni masikitiko kwakweli!
 
Pumbavu
 
Hawa SI huwa tunawaona waki showcase kupangua visu kwa mateke kwenye shrehe za uhuru ? Babu yangu aliniwahi niambia " mjukuu wangu watu watemi au wababe hawadumu"
 
Magari yamepita asubuhi Mzee wewe umelala yamepita malori kibao yamebeba wanajeshi yanatoka Lugalo, endelea kulala wao hawalali wanakulinda wewe na mipaka ya Nchi yako
Sasa pale Kawe Kuna mpaka gani mkuu?tusaidie
 
Duh!!!,Ila Wanajeshi wa Bongo Chenga sana.Sasa km umekosea usiambiwe kisa Mjeda?,Ona sasa anaacha familia Kwasababu ya kukosa unyenyekevu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanajeshi inatakiwa tabia yao wajirekebishe yani sio zuri waonevu sana, sasa ukute tu mtu mahati baya, kakosea njia pori lao maskini mtu kapotea, baada yakwamba apate mshaada kutoka kwao kama jeshi la wananchi inavyotamkwa, atakutana na adhabu kali ambayo hajawahi pata, au nusu kifo na kifo kamili. Na mengine mengi tu jeshi linafanya kwa raia adhabu za kikatili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…