Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Magenerali wanakufa vitani tena muda mwingine kwa kutekwa kila kitu ni Timing sio uzoefu wala vyeo...Mkuu mambo ya kisu au bisibisi ni yiming hata uwe vandame mtu akikutime anakuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magenerali wanakufa vitani tena muda mwingine kwa kutekwa kila kitu ni Timing sio uzoefu wala vyeo...Mkuu mambo ya kisu au bisibisi ni yiming hata uwe vandame mtu akikutime anakuua
Kanali mpishi wa jeshiKanali na cheo chote hicho hajui self defense! Anajua kutumia mtutu peke yake!
Aibu yake.
Bisi bisi noma sanaaa, awo vijana wana vifaa vidogo vidogo vya hatari ukizubaa tuu wanakuswekaaDuh sometime Cheo ni Kikubwa ila kuna watu wana nguvu na hawana cheo cha muhim ukiona umri umeenda kuna mahali tumia hekima maana kuna vijana hawana cha kupoteza wapo tayari kwa lolote
Mimi nimemjibu kulingana na majukumu aliyoyaulza sasa haya maelezo yako yana husiana vipi na nilichokijibu mkuuAkasome wapi wamewakuta Raia wapole ingekua kama Disouza watu nao wana siraha wangeenda kupiga watu na mikanda yao Watanzania sio violent hata kwenye haki yake hapo unamkuta abiria mgonjwa hajui hili wala lile nae anapigwa tuu...waendelee kuwapiga ila ipo siku watajuta kufanya huo utoto wao...
Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Lakini wakati mwingine hawa mandava wanakoseaga! Wakiwa uraiani wanataka kuabudiwa! Wanavunja sheria wakitaka waogopwe! Hayo mambo ya kutishatisha watu uraiani yamepitwa na wakati! Raia wamevurugwa!Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Ila wahuni kupiga askari ndio nidhamu sio?Jeshi la kupiga raia, ni jeshi lisilo na nidhamu
Jeshi makini haliwezi kuact kama thugs
Hata kama angejua wao Wana nafasi ya kuwa polite kwa raia na wafanye maamuzi ya busara Sana, huwa wanakosea hapo Tu kuwa wanaweza Fanya chochote eneo lolote bila kujali wanasumbua raia pia. Binadamu tuna Julia tofauti Sana, kama inawezekana wapigwe stika usoni isema JWTZ mpaka akizeekaNakubaliana nawe 100% ila Dereva Bajaji hakujua kuwa Jamaa alikuwa ni Mjeda tena Kanali kama inavyodaiwa.
OK sawa mkuu ila hata kama pana vifungu vipo hivyo ni vya hovyo au wewe unaonaje unadhani hivyo vifungu vinaweza kutumika hata hapo DRC Jeshi lichape raia hovyo kama hapa uone kama patakalika...Mimi nimemjibu kulingana na majukumu aliyoyaulza sasa haya maelezo yako yana husiana vipi na nilichokijibu mkuu
Kwa scenario ya mleta mada Kanali ndio tatizo, why umipige at first na Nina uhakika alifanya kusudi cause of title...Ila wahuni kupiga askari ndio nidhamu sio?
Na ndugu wa huyo dogo nao hawatakubali kwahiyo wataisha wengiHuyo bajaji man atateswa sanaaaa kabla ya kupotezwa..atapata kifo Cha mateso otherwise mamlaka za juu za jeshi ziingilie ....maana hiyo kesi najua haitaenda polisi itamalizwa hapo jeshini....
Broo sio kweli kuhusu karateka sisi ni watu waungwana mno hatufanani na hao wapuuzi wengineWacheza karate, Boxing, anaye miliki silaha, mwanajeshi, polisi, usalama wa taifa na hawa field force ni kundi la watu ambao hata ukimkanyaga mguuni bahati mbaya wakati unapanda daladala lazima atataka akuthibitishie kwamba ye ni nani(sio wote baadhi)...
Sasa uraiani watu maisha yamewachanganya, ukitaka kuleta habari zako za ubabe wa kishamba utamalizwa unajiona.
Mi ningekuwa familia ya askari, nisingeenda mahakamani, ningewaroga ukoo mzima wapukutike kama mkungu wa ndizi unaoozea mtiniUbishi muda mwingine bhana, ona sasa kaacha cheo chake kizembe
Apumzike panapo mstahili ila tu naomba hii kesi iendeshwe kwa uwazi maana huyo dereva wanaweza kumzima pia
Ikumbukwe hayo ni mauaji kama mauaji mengine tu anastahili kupelekwa mahakama za kawaida tu na sio za kijeshi,
Pole sana dereva bajaji huko uliko kama nakuona hivi ambavo washakufanya hamna.
Watamdedisha tuHasira hasara, huyo dereva bajaji sijui kama watamuacha salama.
Kwahiyo magari wanayonunua na majumba wanayojenga ni kwahiyo posho?tumia akili kuku wewewanajeshi hawalipwi mshahara wanapata posho. kazi ya kujitolea hainaga mshahara.
Na ndugu nao hawatakubali watamalizana kimilaWatamdedisha tu