Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Hadi muda huu tunavyo zungumza dereva bajaji hajafa. Tulimpata saa 8 za usiku akiwa anatoroka mapaka saa 9 tulifanikiwa kumminya kende na Kwa bahati mbaya kende Moja tumeipasua🤣🤣

Hakuna sehemu kwenye mwili wake ambayo hatujaigusa tulikuwa tunamfinya akipoteza fahamu tunamzindua Kwa madripu akiamka kipigo na kifinyo kinaendelea.

Mpaka muda huu tumefanikiwa kuichakaza vibaya ngozi yake kiasi ukimuangalia huwezi kutamani kula nyama na huwezi kuamini kuwa huyu ni mtu😭😭😭

Kwa kifupi huyu mtu alileta taflani kubwa iliyopelekea Jana usiku wanausalama wakarushiana risasi wenyewe Kwa wenyewe.

Ndugu zangu tujifunze kudhibiti hasira Kwa kilicho tokea jeshi Lina omboleza hivyo na lenyewe haliwezi kukubali hii ni kama kulizalilisha Jeshi.

Na kama mjuavyo history ya jeshi letu halijawahi kushindwa 🤣🤣🤣 kitu pekee ilicho wahi kushindwa ni Yale maasi ya kumpindua Nyerere TU.

In advance Rest in Peace dereva bajaji. Maana najua hata tukimuachia aende zake Kwa alicho kipata awezi kufikisha masaa 72 akiwa hai😭😭😭​
 
Tuepuke kufanya Jokes kwa Mambo ya maana ( very Sensitive ) hapa JamiiForums ili kuficha Utoto, Ushamba na Upumbavu unaotukabili.
 
Africa
acha kusifia ujinga,mipaka ya nchi inalindwa kwa kupiga raia?.

na jeshi la polisi litakuwa na kazi gani kama jwtz wanaingia mtaani kukimbizana na vijana wa bodaboda?.
Sio ulaya kule ata raia anamfokea mwanajeshi tena hadharani naam fanya uku uone tuwe na mipaka sawa wale ni wa kama sie ila wameamua kujitoa kwa ajili yetu hata kama wanalipwa we mbona ukiambiwa ukubali so kuwa mpole hata daktari ukimletea nyodo ikamuingia kisawasawa unakwenda na maji vizuri tu
 
safi sana,nimependa alichofanya dereva bajaji. hakuna kudharaulina zama hizi.

iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za kijinga za kutaka kuonyesha mamlaka ya ofisini kwao kwa raia wa mtaani eti ili tu wakutambue wewe ni nani.

wenye vyeo kwenye taasisi za kiserekali muwe makini, watu wamevurugwa siku hizi.
 
Ndugu zangu wenye vitengo jitahidin sana kuwa wastaarabu...
Pole kwa familia ya kanali ila kiuhalisia tu maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana
Binadam ni binadam tu haijalishi uwe na nguvu, pesa, au cheo flani wote sisi ni dhaifu
Kuna chuki kubwa sana baina raia na jeshi la polis na Jwtz hii mbaya sana kiusalama na inaweza pelekea mfumuko wa vikundi vya kigaidi na hii hali ya nchi kua chini ya udikteta wa chama kimoja ni mbaya zaidi

Raia tuheshim wanajesh wetu tuwe wazalendo na wanajesh heshimuni raia msiwachukulie poa sana watu kiukweli wapo kwenye hali mbaya yani wamevurugwa

Kuna situation ilinitokea na mwanajesh yani bila foleni nadhani sahiz ningekua nyuma ya nondo au washanizika ndugu

Hakuna mwanaume anapenda kuonewa
 
Poleni sana wafiwa na hili ni angalizo kwa wenye vyeo wote watumie hekima na busara wawapo nje ya kazi.
Kwenye pombe hakuna hekima wala busara, wala mwenye cheo kikubwa, ni kazi yetu sisi, amba hatuna pombe kichwani, kumwele mtu, hapa kinachompa nguvu ni ulevi, na kumwepuka.
Kama tunavyofanya barabarami, kwa hao bajajiji na bodaboda, maana kama si busara za madereva wa magari misiba ingekua mingi sana, kwa madereva wa bajaji, na bodaboda.

Ila tukumbuke, aliekufa hana cha kujilaumu, wala kujutia, bali anaejilaumu na kujutia alie hai.
 
Hizo Tabia za kunasa vibao wanaume wenzenu mnazitoa wapi

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
acha kusifia ujinga,mipaka ya nchi inalindwa kwa kupiga raia?.

na jeshi la polisi litakuwa na kazi gani kama jwtz wanaingia mtaani kukimbizana na vijana wa bodaboda?.
Kwa hio ukiwazingua unataka wakuchekee au sio? Yaan umeenda kunya Lugalo Barracks pale getini umekunya mafungu mafungu, alafu unataka wajeda wakuchekee tu? Jipime akili yako mkuu utakua una matatizo ya kiafya
 
Kuna vya kujifunza hapa:-
1. Kwenye mgogoro tumia busara zaidi kuliko nguvu yako. Bodaboda na bajaji ni watu wapo tayari kwa lolote, nawafananisha na Hamas au Boko Haram. Jamaa hawaogopi lolote ajali au kifo....barabarani deal nao kwa akili sana ukiwa na chombo cha moto.
2. Mtu wa cheo cha Colonel, pale Kawe kuna bar gani ya kunywa yeye? Au alikua anatafuta malaya?
3. Wanajeshi wamewekewa almost kila kitu huko kambini ikiwemo ulabu, nasikia majungu ni mengi.....yule mlevi sana, yule anapenda madame, n.k bsi mkija huku uraiani.....muwe kama watu wengine. Acheni kujiona mko na recruits wenu.
 
Kwa hio ukiwazingua unataka wakuchekee au sio? Yaan umeenda kunya Lugalo Barracks pale getini umekunya mafungu mafungu, alafu unataka wajeda wakuchekee tu? Jipime akili yako mkuu utakua una matatizo ya kiafya
Busara itumike, marehem kauwawa nje ya jeshi. Huko busara ingetumika kijana angekamatwa still na wala yeye asingejeruhiwa .
 
KANALI ALIFELI
Yaani kanali mzima, chini yako kuna luteni kanali, meja, kepteni, Luteni na luteni usu achilia mbali ncos na askari, alishindwa nini kuita msaada maana Lugalo sio mbali?

NI DREVA BAJAJI AU KIBAKA
sijajua Kama dreva bajaji anapata wapi ujasiri wa kuchomoa bisibisi na kumchoma afisa wa jeshi aliyebakisha nyota moja tu kuwa Brigedia jenerali!

WITO
Sijui protokali za jeshi lakini maafisa senior wakatazwe kunywa kwenye vijiwe vya raia
 
Hawa ndio tulikuwa tunawategemea watoe kauli kwa pamoja au kumshauri Mkuu wao kuwa mambo ya kupiga Raia yamepitwa na wakati

Yale yalikuwa zamani siku hizi watoto hawakubali ule uonezi
Nimeshuhudia mjeda kapigwa ngumi na raia tena akiwa na bunduki akiwaonea barabarani sijui ilikuwa Nigeria?
Ila nao sasa wajitafakari sana na waache kipiga watu hovyo

Wapo wazee wenye vyeo wakiona vurugu wanaondoka zao baa hawana makuu na uwezo wanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…