makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Shida wabongo mtu akiwa na cheo,fedha nibwachache saana wenye kutumia busara wengi wanakurupuka kwa vyeo vyao, matokeo yake ndio hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii dhana mnatulinda kama vile mnafanya kazi bure iondoeni. Shida yenu ya kukosa ajira iliwapeleka huko. Sisi pia tunajenga nchi kama ninyi.Kuna mwanajeshi mkubwa nimekutana nae asubuhi hii yupo very frustrated how come raia mnakua na uadui na wanajeshi wa Nchi yenu why muwadharau watu wanaowalinda why mnawaonyesha dharau kiasi cha kuanza kuwaua wakianza kujibu mapigo mtaanza kulialia maana hawashindwi Ila taratibu na kanuni zao zinawabana, sio fair hata kidogo kwanini usimsikilize hata km kablock njia na mmepishana kauli ndio uchukue maamuzi ya kumuua?
Angetumia elimu yake ya jeshi na hekima asingetupotea mapema hivi....Hawez achwa huyo cheo cha kanali jeshin ni kikubwa sana na hpo serikal ishapoteza hela nyngi sanaaa kumsomesha.
Hpo weng watabebwa na weng kurud sjui
Hata kama wanasema jeshi lina siasa ila kwa hapa nakataa eti kigogo sijui kinani aamuru jeshi msimguse fulani na kamuua askari? Maajabu hayaUjinga plus kigogo ni nani mbele ya Jeshi yaan kigogo umtume bodaboda akaue mwanajeshi alafu unavimba kua akiguswa utaua wewe nani useme akiguswa utaua mamlaka hayo unayatoa wapi?
Huna adabu nenda kafanye kiburi chako kambini pale alafu utasimulia,Wewe utakuwa ni mmoja wao. Unatetea ujinga. Mimi nashauri busara itumike
Sasa hapo nani katiwa adabu?
Acheni ufala wenu. Ninyi ni watu kama sisi na hamna uwezo huo mnaojidai nao tukiwa mmoja mmoja.
Mimi labda mje wengi. Nikiwa peke yangu nawe uko mwenyewe ntakupasua ukigusa mwili wangu. Huwezi kunionea kijinga jinga. Pelekeni ubabe wenu huko kwa wake zenu.
Barikiwa mkuuHii dhana mnatulinda kama vile manafanya kazi bure iondoeni. Shida yenu ya kukosa ajira iliwapeleka huko. Sisi pia tunajenga nchi kama ninyi.
Mnalinda mipaka ya nchi, tuko hospitali, shuleni, tanesco,nssf,baharini, bank, n.k tunapambana na majukumu yetu kama ninyi. Sisi tusipofanya hayo mengine nyie mnalinda nini?
Na tunalipa kodi inayowapa kiburi cha kuvimba vitambi na kukopa vigari mnavimba mitaani kupitia hizo posho na mishahara.
Tuheshimiane.
Mambo mengine ni kuachana nayo tuAngetumia elimu yake ya jeshi na hekima asingetupotea mapema hivi....
Hapo mmoja anaenda kukaa kwenye majengo ya serikali mwingine jengo a mileleNimesoma comments mpaka nimechoka haya bana!
Nampa pole boda boda na mwanajeshi wake
kwamba hao wengine walishiriki kwa kumdhibiti marahemu ili jamaa apate chance ya kumchoma bisibisi?....Hpo weng watabebwa na weng kurud sjui
Nishakupa jibu sahihi, ukikosa nidhamu, heshima na utii unachezea mabanzi tu uwe na adabu sio kujitia una dharau dharau za kijingajinga utanyooshwa uende ukasimulie, jichanganye uwe mfano, wewe hauna Ajira inahusiana vipi na Jeshi una akili wewe au afya yako ya akili haipo sawa?Hii dhana mnatulinda kama vile manafanya kazi bure iondoeni. Shida yenu ya kukosa ajira iliwapeleka huko. Sisi pia tunajenga nchi kama ninyi.
Mnalinda mipaka ya nchi, tuko hospitali, shuleni, tanesco,nssf,baharini, bank, n.k tunapambana na majukumu yetu kama ninyi. Sisi tusipofanya hayo mengine nyie mnalinda nini?
Na tunalipa kodi inayowapa kiburi cha kuvimba vitambi na kukopa vigari mnavimba mitaani kupitia hizo posho na mishahara.
Tuheshimiane.
Sasa mkileteana ubabe huko uraiani siNishakupa jibu sahihi, ukikosa nidhamu, heshima na utii unachezea mabanzi tu uwe na adabu sio kujitia una dharau dharau za kijingajinga utanyooshwa uende ukasimulie, jichanganye uwe mfano, wewe hauna Ajira inahusiana vipi na Jeshi una akili wewe au afya yako ya akili haipo sawa?
Shida ni raia wana chuki na Jeshi lao, chuki za kijinga kabisaMambo mengine ni kuachana nayo tu
Kwanza utaepuka na mambo mengi tu
Ona sasa kisa mtu kukublock mnatoana uhai,uhai ndiyo haurudi
Ova
Mabanzi mtawapiga wazembe.Nishakupa jibu sahihi, ukikosa nidhamu, heshima na utii unachezea mabanzi tu uwe na adabu sio kujitia una dharau dharau za kijingajinga utanyooshwa uende ukasimulie, jichanganye uwe mfano, wewe hauna Ajira inahusiana vipi na Jeshi una akili wewe au afya yako ya akili haipo sawa?
Raia hawana shida na mtu. Ninyi mnapenda kuvimba kila mahali. Na hasa barabarani, nishashuhudia visa vingi sana vya wanajeshi. Kosa ni lake ni bado anakuletea ubabe. Acheni hizo.Shida ni raia wana chuki na Jeshi lao, chuki za kijinga kabisa
Sheria za Jeshi haziruhusu mwanajeshi kufanya vurugu kwa raia unreasonably, unaelewa sijui? Pima kilichotokea bila kuegemea upande kila mmoja ana makosa kwa namna yake kwa hio usiseme mwanajeshi ndio mwenye makosa, unakua unakosea sababu Barabara hawajatengezewa bodaboda tu hata km ikiwa blocked na mwanajeshi unajua kwanini ameblock kwanini usiulize kwa utaratibu ukajibiwa kwa utaratibu unatumia maamuzi ya kumuua kwanini mna-support ujinga nyinyi?Sasa mkileteana ubabe huko uraiani si
Unakutana na watu wengine wendawazim,mwishowe mnatoana uhai
Mambo mengine ni ya kuyapuzia tu
Unayaacha kama yalivyo maisha yanaendelea
Ova
Kulinda mipaka ya nchi si ndio kazi yao? Je kunawapa haki ya kupiga raia?Magari yamepita asubuhi Mzee wewe umelala yamepita malori kibao yamebeba wanajeshi yanatoka Lugalo, endelea kulala wao hawalali wanakulinda wewe na mipaka ya Nchi yako
Mwenzako alijitamba hivyo hivyo sasa kafunga Banda lake la chips na amehama eneo, jisifie ujinga hivyo hivyoMabanzi mtawapiga wazembe.
Sasa huyo kanali na ubabe wake kimempata nini?
Mnapotaka kutumia ubabe badala ya busara ndipo madhila huwakuta. Nakumbusha muwe mnapimwa afya ya akili pia sio UKIMWI tu kila mara mkienda kozi.
Raia wana chuki na Jeshi, sababu ya chuki hizo hazifahamiki Ila ipo hivyo wengi wanawachukia wanajeshi mna matatizo gani nyinyi? Chanzo ni chuki sio kingine chochote,Kulinda mipaka ya nchi si ndio kazi yao? Je kunawapa haki ya kupiga raia?