Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Kuna mwanajeshi mkubwa nimekutana nae asubuhi hii yupo very frustrated how come raia mnakua na uadui na wanajeshi wa Nchi yenu why muwadharau watu wanaowalinda why mnawaonyesha dharau kiasi cha kuanza kuwaua wakianza kujibu mapigo mtaanza kulialia maana hawashindwi Ila taratibu na kanuni zao zinawabana, sio fair hata kidogo kwanini usimsikilize hata km kablock njia na mmepishana kauli ndio uchukue maamuzi ya kumuua?
Hii dhana mnatulinda kama vile mnafanya kazi bure iondoeni. Shida yenu ya kukosa ajira iliwapeleka huko. Sisi pia tunajenga nchi kama ninyi.
Mnalinda mipaka ya nchi, tuko hospitali, shuleni, tanesco,nssf,baharini, bank, n.k tunapambana na majukumu yetu kama ninyi. Sisi tusipofanya hayo mengine nyie mnalinda nini?
Na tunalipa kodi inayowapa kiburi cha kuvimba vitambi na kukopa vigari mnavimba mitaani kupitia hizo posho na mishahara.
Tuheshimiane.
 
Ujinga plus kigogo ni nani mbele ya Jeshi yaan kigogo umtume bodaboda akaue mwanajeshi alafu unavimba kua akiguswa utaua wewe nani useme akiguswa utaua mamlaka hayo unayatoa wapi?
Hata kama wanasema jeshi lina siasa ila kwa hapa nakataa eti kigogo sijui kinani aamuru jeshi msimguse fulani na kamuua askari? Maajabu haya
 
Wewe utakuwa ni mmoja wao. Unatetea ujinga. Mimi nashauri busara itumike
Sasa hapo nani katiwa adabu?
Acheni ufala wenu. Ninyi ni watu kama sisi na hamna uwezo huo mnaojidai nao tukiwa mmoja mmoja.
Mimi labda mje wengi. Nikiwa peke yangu nawe uko mwenyewe ntakupasua ukigusa mwili wangu. Huwezi kunionea kijinga jinga. Pelekeni ubabe wenu huko kwa wake zenu.
Huna adabu nenda kafanye kiburi chako kambini pale alafu utasimulia,
 
Hii dhana mnatulinda kama vile manafanya kazi bure iondoeni. Shida yenu ya kukosa ajira iliwapeleka huko. Sisi pia tunajenga nchi kama ninyi.
Mnalinda mipaka ya nchi, tuko hospitali, shuleni, tanesco,nssf,baharini, bank, n.k tunapambana na majukumu yetu kama ninyi. Sisi tusipofanya hayo mengine nyie mnalinda nini?
Na tunalipa kodi inayowapa kiburi cha kuvimba vitambi na kukopa vigari mnavimba mitaani kupitia hizo posho na mishahara.
Tuheshimiane.
Barikiwa mkuu

Majukumu yamegawanyika kisekta.
 
Kosa ni la huyo mwanajeshi unaziba vipi njia hujali kuhusu watumiaji wengine wa barabara kisa ni cheo chako unaona wengine hawana umuhimu, huyu mwanajeshi anawakilisha uhalisia wa tabia za viongozi wetu wanavyojiona miungu wanataka waabudiwe wanyenyekewe
 
Hii dhana mnatulinda kama vile manafanya kazi bure iondoeni. Shida yenu ya kukosa ajira iliwapeleka huko. Sisi pia tunajenga nchi kama ninyi.
Mnalinda mipaka ya nchi, tuko hospitali, shuleni, tanesco,nssf,baharini, bank, n.k tunapambana na majukumu yetu kama ninyi. Sisi tusipofanya hayo mengine nyie mnalinda nini?
Na tunalipa kodi inayowapa kiburi cha kuvimba vitambi na kukopa vigari mnavimba mitaani kupitia hizo posho na mishahara.
Tuheshimiane.
Nishakupa jibu sahihi, ukikosa nidhamu, heshima na utii unachezea mabanzi tu uwe na adabu sio kujitia una dharau dharau za kijingajinga utanyooshwa uende ukasimulie, jichanganye uwe mfano, wewe hauna Ajira inahusiana vipi na Jeshi una akili wewe au afya yako ya akili haipo sawa?
 
Sasa mkileteana ubabe huko uraiani si
Unakutana na watu wengine wendawazim,mwishowe mnatoana uhai
Mambo mengine ni ya kuyapuzia tu
Unayaacha kama yalivyo maisha yanaendelea

Ova
 
Mabanzi mtawapiga wazembe.
Sasa huyo kanali na ubabe wake kimempata nini?
Mnapotaka kutumia ubabe badala ya busara ndipo madhila huwakuta. Nakumbusha muwe mnapimwa afya ya akili pia sio UKIMWI tu kila mara mkienda kozi.
 
Sheria za Jeshi haziruhusu mwanajeshi kufanya vurugu kwa raia unreasonably, unaelewa sijui? Pima kilichotokea bila kuegemea upande kila mmoja ana makosa kwa namna yake kwa hio usiseme mwanajeshi ndio mwenye makosa, unakua unakosea sababu Barabara hawajatengezewa bodaboda tu hata km ikiwa blocked na mwanajeshi unajua kwanini ameblock kwanini usiulize kwa utaratibu ukajibiwa kwa utaratibu unatumia maamuzi ya kumuua kwanini mna-support ujinga nyinyi?
 
Mabanzi mtawapiga wazembe.
Sasa huyo kanali na ubabe wake kimempata nini?
Mnapotaka kutumia ubabe badala ya busara ndipo madhila huwakuta. Nakumbusha muwe mnapimwa afya ya akili pia sio UKIMWI tu kila mara mkienda kozi.
Mwenzako alijitamba hivyo hivyo sasa kafunga Banda lake la chips na amehama eneo, jisifie ujinga hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom