Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesemaje nyinyi wote mna-base upande mmoja Ila pande zote mbili zina makosa kwa kiasi chake, raia kataka kuonekana yeye ni mwamba mbele ya mwanajeshi kwa kutaka kumvimbia, hivi unanielewa lakini nakwambia Mimi mifano hai ninayo kuna madogo wanatukana wanajeshi kwa dharau kwamba wanajeshi hawana chochote soma hata comments za humu utaelewa, kwa hio hio mentality raia anatembea nayo anasubiria akutane na mwanajeshi yoyote amuanzishie vurugu popote pale na mwisho raia watamtetea raia na kumuona mwanajeshi hafai hio sio sahihi kabisa,Itafutwe sababu,kwanini watu waweke chuki na mwanajeshi?
Just imagine mwanajeshi anakupiga makofi,kisa mmepishana kauli,hivi kweli si utapambana unavyojua au unataka nipigwe makofi niishie kusema sanahani mwanajeshi,huoni namimi pia ninahitaji kuheshimika pia?
Kwanini daktari au injinia asinipige makofi,ila mwanajeshi anipige makofi,wakati mafunzo hajajigharamia,mimi mwananchi nimelipia yeye akapata mafunzo aje alinde mipaka na katiba ya nchi,ambayo ndiyo sheria mama,aliyoapa kuilinda?
Hii iwe wake up call,raia hawataki kuonewa,leo hii kanali anatakiwa azikwe,kisa ujingaujinga tu,huoni ni hasara?
Acha ushamba wewe unanijua kupitia hapa kwenye keyboard hunijui kiundani,tusichukuliane poa.Nidhamu ya uoga unaijua wewe? Ushawahi kutumia hata Shot Gun Pump Action au unaropoka tu hata Magazine Chamber hujui inafananaje
Acha kujisifia ujinga ukiwa nyuma ya keyboard wewe keyboard warrior huna unachoweza kufanya,Acha ushamba wewe unanijua kupitia hapa kwenye keyboard hunijui kiundani,tusichukuliane poa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hizo reasons,ndiyo zihalalishe askari anipige makofi?Sio kweli, hakuna Askari anaepiga raia unreasonably huo ni uongo, ukijikuta umepigwa na Askari tambua there's a reason behind hawezi akatoka Askari huko akaja kukupiga tu hio haipo, kwa hio hapo nakupinga
Afande alikosa BUSARA! Jua Hadhi yako! Mwalimu wangu wa Physics alipata kusema Class! HAPAMBANI NA MTU AMBAE ANA UHAKIKA ATA SCORE ZERO!Nakubaliana nawe 100% ila Dereva Bajaji hakujua kuwa Jamaa alikuwa ni Mjeda tena Kanali kama inavyodaiwa.
Duuh...! Sasa ona huyu mjeda?. Hapo nani kapata hasara sasa?. Amewaachia tu mzigo tu watoto, ndugu na jamaa wanaomtegemea. Kwani angekutumia hekima tu angepubgukiwa nini?. Sidhani kwamba huko jeshini wanafundishwa kuwa tu wababe tu hata mitaaniInasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Kwa hio kwa mtazamo wako ni haki kumuua kwa sababu kaja maeneo hayo? Kwanini mnakua na mentality za kijinga ni wapi pamewekwa mpaka wa mwanajeshi kutembea kwamba mwanajeshi kutembea mwisho hapa?Iyo baa naijua inaitwa igole huyo pot anajulikana sana baa zote kwaanzia ukwamani mpaka kanisani kwa mwamposa ninacho shangaa wanaacha kulewa kule dar service wanakuja huku chini ukwamani kutafuta malaya achawaone chamoto
Huyu dogo kama wamemdaka,basi wahesabu kapotezaUbishi muda mwingine bhana, ona sasa kaacha cheo chake kizembe
Apumzike panapo mstahili ila tu naomba hii kesi iendeshwe kwa uwazi maana huyo dereva wanaweza kumzima pia
Ikumbukwe hayo ni mauaji kama mauaji mengine tu anastahili kupelekwa mahakama za kawaida tu na sio za kijeshi,
Pole sana dereva bajaji huko uliko kama nakuona hivi ambavo washakufanya hamna.
Kaka wala usipoteze nguvu zako bure. Hao ni waonevu na ilo linasalia kama lilivyoItafutwe sababu,kwanini watu waweke chuki na mwanajeshi?
Just imagine mwanajeshi anakupiga makofi,kisa mmepishana kauli,hivi kweli si utapambana unavyojua au unataka nipigwe makofi niishie kusema sanahani mwanajeshi,huoni namimi pia ninahitaji kuheshimika pia?
Kwanini daktari au injinia asinipige makofi,ila mwanajeshi anipige makofi,wakati mafunzo hajajigharamia,mimi mwananchi nimelipia yeye akapata mafunzo aje alinde mipaka na katiba ya nchi,ambayo ndiyo sheria mama,aliyoapa kuilinda?
Hii iwe wake up call,raia hawataki kuonewa,leo hii kanali anatakiwa azikwe,kisa ujingaujinga tu,huoni ni hasara?
Haswaa! Haswaa! Mi Bodaboda/Bajaj inayoendeshwa na Mtu aliyevaa Kinjunga! Sipandi Ng'oooMadereva wa bodaboda na daladala wengi ni wavuta bangi. Na bisibisi ni silaha yao pendwa. Ikiwezekana epuka kuzozana nao.
Nimesema pande zote zima makosa kwa kiasi chake, tatizo wengi wenu mnaegemea upande wa raia kusema kwamba raia kuua mwanajeshi yupo sahihi, hio sio sawa huo ni ujinga uliopitiliza na haikubariki hata kidogoKwahiyo hizo reasons,ndiyo zihalalishe askari anipige makofi?
Huoni atakua amenivunjia heshima?
Unategemea namimi ambaye siyo askari,nifanyaje nikipigwa makofi,nicheke au nijilinde kadri ya uwezo wangu?
Kwanini kama nimekosea,nisipelekwe mbele ya vyombo vya sheria?
Piga kofi,namimi nijilinde,kama ambavyo sikutegemea ntapigwa kofi,nawewe uwe tayari kwa usichokitegemea kutoka kwangu.
Acha mihemko mkuu kaa kwa kutulia furahia maisha,furahia zawadi ya uzima ambayo Mungu kakuzawadia mengine achana nayo.Acha kujisifia ujinga ukiwa nyuma ya keyboard wewe keyboard warrior huna unachoweza kufanya,