Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Hizi mentality za chuki za raia kw askari wa jeshi zimetoka wapi? Jeshi linamajukumu yake tofauti kabisa sasa inapotokea kuna mmoja anapo misbehave ni swala lake binafsi utaratibu w kinidham unafahamika. Sasa mtu yeye nakuja na kauli zake za chuki sijui mimi mwanajeshi haniambii kitu haya yanatokea wapi, kwaajili gani? Ukisem huyu mwanjeshi ni msenge umezungumzia mmoja kwenye umoja wa jeshi lililotukanwa unalolitaka litakua.
Hili ni jeshi la Wananchi yani wannchi ndo wenye jeshi wakuu tutambue hili Jeshi ni mali ya wnanchi. Jeshi linafanya kazi za watu ila ukitafuta hao watu ni kina nani huwezi wapata Akili ikitulia utajua watu ni Wananchi.
 
Kuna wanajeshi wawili walizoea kuendekeza ubabe kwenye baba moja Sinza. Kuna siku waliingia cha kike kwa black belt mmoja ambae kwa muonekano walidhani wanammudu.
Jamaa aliwanyoosha wote wawili halafu akaondoka zake mdogo mdogo hata hakimbii.
Wajeda kwa aibu wakainuana pale wakaita bajaji wakaondoka kwa aibu.
Simulizi hizi ndio walizojaa nazo vijana wengi na wanatembea na hii mentality ambayo sio sahihi na sio kweli,
 
Hizi mentality za chuki za raia kw askari wa jeshi zimetoka wapi? Jeshi linamajukumu yake tofauti kabisa sasa inapotokea kuna mmoja anapo misbehave ni swala lake binafsi utaratibu w kinidham unafahamika. Sasa mtu yeye nakuja na kauli zake za chuki sijui mimi mwanajeshi haniambii kitu haya yanatokea wapi, kwaajili gani? Ukisem huyu mwanjeshi ni msenge umezungumzia mmoja kwenye umoja wa jeshi lililotukanwa unalolitaka litakua.
Hili ni jeshi la Wananchi yani wannchi ndo wenye jeshi wakuu tutambue hili Jeshi ni mali ya wnanchi. Jeshi linafanya kazi za watu ila ukitafuta hao watu ni kina nani huwezi wapata Akili ikitulia utajua watu ni Wananchi.
Soma comments wewe utaona chuki zilipo mtu anakwambia eti mwanajeshi hatakiwa kwenda kutembea ukwamani huoni km ni chuki za kijinga hizo ni wapi pamewekwa mpaka kwamba mwanajeshi mwisho kutembea ni hapa? Kwanini mnakua na mentality za kijinga kiasi hicho mnajenga chuki za kijinga kiasi cha kufanya mauaji?
 
Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.

Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.

Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Kumbe kanali alikitafuta mwenyewe kilicho mpata.
Kwanza alifanya kosa la barabarani (traffic offence) pili alifanya kosa la jinai kumshambulia mtu na kumdhuru.

Pole kwa wafiwa na pole zaidi kwa jamaa wa Bajaj sababu marehemu kamharibia maisha yake.
 
wanajeshi hawalipwi mshahara wanapata posho. kazi ya kujitolea hainaga mshahara.
Hiyo unayoiita posho,unajua inatoka kwa nani kama siyo wananchi?
Hata mafunzo ya mwanajeshi,unajua pesa ya nani ilitumika kuwezesha ayapate kama siyo kodi ya mwananchi,halafu leo umepata mafunzo ambayo mimi nimekugharamia,halafu uje unipige makofi,unategemea nini?
 
Nimesema pande zote zima makosa kwa kiasi chake, tatizo wengi wenu mnaegemea upande wa raia kusema kwamba raia kuua mwanajeshi yupo sahihi, hio sio sawa huo ni ujinga uliopitiliza na haikubariki hata kidogo
Hakuna anayesema raia kuua mwanajeahi ni halali. HAKUNA UHALALI HUO na kinyume chake pia sio HALALI. Watu wanaangalia msingi wa tatizo,ni vile tu hatuna taarifa za kutosha sana kwamba huyo raia alitamka maneno gani ya kumfanya kanali ampige makofi,ingekuwa raia kaanza kwa kurusha ngumi halafu kanali akarusha kofi hapo ingeleweka kiwepesi sana. Kwa inavyoonekana kutokana na maelezo ya mleta mada ni kwamba kanali kafunga njia,huyo kijana akawa anamtaka asifunge/ampishe, na hapo hatujui lugha iliyotumika pia lakini hailalishi kumpiga makofi.
Kitendo cha kumpiga kinaamsha hisia za mapambano na kujilinda na katika hali hiyo wakulaumiwa ni kanali,kwa hadhi yake na umri wake busara inapaswa kufanya kazi zaidi. Moja ya mambo ambayo askari anaelekezwa ni "kutojaa upepo",kanali alijaa upepo.
 
Soma comments wewe utaona chuki zilipo mtu anakwambia eti mwanajeshi hatakiwa kwenda kutembea ukwamani huoni km ni chuki za kijinga hizo ni wapi pamewekwa mpaka kwamba mwanajeshi mwisho kutembea ni hapa? Kwanini mnakua na mentality za kijinga kiasi hicho mnajenga chuki za kijinga kiasi cha kufanya mauaji?
Wengine ni kufata mikumbo tu yakijinga. Lakini ukimuuliza kinaga ubaga hana sababu .
 
Hiyo unayoiita posho,unajua inatoka kwa nani kama siyo wananchi?
Hata mafunzo ya mwanajeshi,unajua pesa ya nani ilitumika kuwezesha ayapate kama siyo kodi ya mwananchi,halafu leo umepata mafunzo ambayo mimi nimekugharamia,halafu uje unipige makofi,unategemea nini?
Unamtia bisi bisi tu.
Mnagawana majengo ya serikali.
Wewe jela yeye Lugalo Morgue (mortuary) akaitie hasara zaidi serikali kwa kumuwashia freezer.
 
Dawa ni kununua pepper spray au taser gun , wananchi mnunue hizo kitu na mtembee nazo . Self defense ni muhimu ,asitokee mseng£ yoyote akakuletea ishu za kuqumah mtie adabu ,mnyooshe mpaka akili zimrudi , hauhitaji kisu wala bunduki ,tumia moja kati ya hizi silaha taser gun / pepper spray .
 
Unamtia bisi bisi tu.
Mnagawana majengo ya serikali.
Wewe jela yeye Lugalo Mogue (mortuary) akaitie hasara zaidi serikali kwa kumuwashia freezer.
Unaona chuki za kijinga km hizi, yaan mtu chuki km hii anatembea nayo akiona mwanajeshi mind yake ina-triger kwenye kuwaza ujinga km huu, kwamba nitampiga bisibisi sasa km sio ujinga na chuki za kijinga ni nini?
 
Dawa ni kununua pepper spray au taser gun , wananchi mnunue hizo kitu na mtembee nazo . Self defense ni muhimu ,asitokee mseng£ yoyote akakuletea ishu za kuqumah mtie adabu ,mnyooshe mpaka akili zimrudi , hauhitaji kisu wala bunduki ,tumia moja kati ya hizi silaha taser gun / pepper spray .
Wewe ni mjinga, huwezi ukachochea chuki ukiulizwa sababu ya kufanya hivyo ni nini huna basi tu na wewe unataka uonekane unaweza kumkabiri mwanajeshi ni ujinga,
 
Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.

Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.

Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Mweeeh! 😳
 
Back
Top Bottom